Mvumbagumo

Washkaji Podcast

Business EN ↓ Odcinki: 9

“Story na Washkaji” is a podcast series scheduled to release every two weeks across various social media and podcast platforms. We believe in the wealth of stories our friends have to share, ranging from struggles to triumphs, narratives that inspire, educate, and uplift others.

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: WashkajiPodcast.podbean.com

Autor

Mvumbagumo

Kategoria

Business

Strona podcastu

WashkajiPodcast.podbean.com

Ostatni odcinek

12 maj 2024

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android 10 mln+ pobrań · ocena 4,7+ iOS wkrótce

Odcinki

EP 03: Afya ya Akili na Mahusiano with Dr. Maymuna Mohammed 12.05.2024

Afya ya Akili imezungumziwa kwa kina, Faida na Umuhimu wa Wanaume kufunguka na kuzungumzia yanayowasibu kwa uwazi, namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa afya ya akili bila kusahau Afya ya akili kama funguo kuu kwenye mahusiano....unahitaji nini ili kuwa na Afya bora ya akili kwa Mahusiano yako kusonga. Kupitia Podcast hii Daktari Kijana na Machachari Maymuna Mohammed ameeleza kwa kina #AfyaYaA...

Ep02: Stori na ADRIAN NZAMBA, Mjasiriamali wa Teknolojia na mmiliki wa TAYARI App 28.04.2024

Mjasiriamali wa Teknolojia, TAYARI App.

Ep01: STORI NA WASHKAJI: Kazi ya ndoto yako. 13.04.2024

#WashkajiTunaongea! Kuhusu Siri za Mafanikio Kazini, Ujuzi wa ziada mbali na taaluma, Maandalizi ya Kustaafu na mengine kadhaa kwa ajili ya Kazi ya ndoto yako!. #WashkajiDrivingPodcast #washkajiPodcast #Mvumbagumo #SwahiliPodcast 

UBALOZINI LEO: KUKATA MKONO WA SWETA: TOHARA YA HIYARI KWA MWANAUME (PROMO) 06.03.2024

Tohara ya hiyari kwa Mwanaume: Ni umri gani sahihi wa kufanya Mwanaume kufanyiwa Tohara/ kukata Mkono wa Sweta?

UBALOZINI LEO: UVUMI KUHUSU VIZA YA KUINGIA NCHINI MAREKANI 22.02.2024

Una ndoto au Unahitaji kuingia nchini Marekani? Kuna Uvumi mwingi unasambaa kuhusu namna au njia sahihi ya kupata Viza ya Kuingia Nchini Marekani, Kupitia Podcast hii, tumekuletea afisa wa Ubalozi anayeshughulika na masuala ya Visa akitoa ufafanuzi kamili.  

SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR 22.02.2024

SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR Ushiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.  Vifahamu Vikwazo, Changamoto na Mafanikio ya zoezi zima la uandaaji wa filamu hii hadi kuzinduliwa kwake.

SIMULIZI: Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr. 21.02.2024

Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr. Mwanzo wa Maisha ya Harakati, Mafanikio na Mwisho wa uhai wa Dr. Martin Luther King Jr.

SIMULIZI: Historia ya MAYA ANGELOU 21.02.2024

Historia ya MAYA ANGELOU

UBALOZINI LEO: 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na Marekani 21.02.2024

UBALOZINI LEO: Miaka 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na Marekani

Słuchaj podcastu Washkaji Podcast w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS