Mvumbagumo
Washkaji Podcast
“Story na Washkaji” is a podcast series scheduled to release every two weeks across various social media and podcast platforms. We believe in the wealth of stories our friends have to share, ranging from struggles to triumphs, narratives that inspire, educate, and uplift others.
Besuch unbedingt die Website des Podcasts und unterstütze die Macher: WashkajiPodcast.podbean.com
Autor
Mvumbagumo
Kategorie
Podcast-Website
Neueste Folge
12. Mai 2024
Wo hören?
Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbarPodcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts
Folgen
EP 03: Afya ya Akili na Mahusiano with Dr. Maymuna Mohammed 12.05.2024 49:30
Afya ya Akili imezungumziwa kwa kina, Faida na Umuhimu wa Wanaume kufunguka na kuzungumzia yanayowasibu kwa uwazi, namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa afya ya akili bila kusahau Afya ya akili kama funguo kuu kwenye mahusiano....unahitaji nini ili kuwa na Afya bora ya akili kwa Mahusiano yako kusonga. Kupitia Podcast hii Daktari Kijana na Machachari Maymuna Mohammed ameeleza kwa kina #AfyaYaA...
Ep02: Stori na ADRIAN NZAMBA, Mjasiriamali wa Teknolojia na mmiliki wa TAYARI App 28.04.2024 45:00
Mjasiriamali wa Teknolojia, TAYARI App.
Ep01: STORI NA WASHKAJI: Kazi ya ndoto yako. 13.04.2024 40:44
#WashkajiTunaongea! Kuhusu Siri za Mafanikio Kazini, Ujuzi wa ziada mbali na taaluma, Maandalizi ya Kustaafu na mengine kadhaa kwa ajili ya Kazi ya ndoto yako!. #WashkajiDrivingPodcast #washkajiPodcast #Mvumbagumo #SwahiliPodcast
UBALOZINI LEO: KUKATA MKONO WA SWETA: TOHARA YA HIYARI KWA MWANAUME (PROMO) 06.03.2024 0:49
Tohara ya hiyari kwa Mwanaume: Ni umri gani sahihi wa kufanya Mwanaume kufanyiwa Tohara/ kukata Mkono wa Sweta?
UBALOZINI LEO: UVUMI KUHUSU VIZA YA KUINGIA NCHINI MAREKANI 22.02.2024 15:00
Una ndoto au Unahitaji kuingia nchini Marekani? Kuna Uvumi mwingi unasambaa kuhusu namna au njia sahihi ya kupata Viza ya Kuingia Nchini Marekani, Kupitia Podcast hii, tumekuletea afisa wa Ubalozi anayeshughulika na masuala ya Visa akitoa ufafanuzi kamili.
SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR 22.02.2024 4:54
SIMULIZI: FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR Ushiriki wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Vifahamu Vikwazo, Changamoto na Mafanikio ya zoezi zima la uandaaji wa filamu hii hadi kuzinduliwa kwake.
SIMULIZI: Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr. 21.02.2024 2:04
Maadhimisho ya Siku ya Dr. Martin Luther King Jr. Mwanzo wa Maisha ya Harakati, Mafanikio na Mwisho wa uhai wa Dr. Martin Luther King Jr.
SIMULIZI: Historia ya MAYA ANGELOU 21.02.2024 4:58
Historia ya MAYA ANGELOU
UBALOZINI LEO: 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na Marekani 21.02.2024 1:28
UBALOZINI LEO: Miaka 60 ya Uhusiano wa Kibalozi baina ya Tanzania na Marekani
Ähnliche Podcasts
Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet