Hefsiba Nzali

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency,Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure. Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Welcome home QUEEN!

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: redcircle.com

Autor

Hefsiba Nzali

Kategoria

Education

Strona podcastu

redcircle.com

Ostatni odcinek

15 paź 2026

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android prawie 10 mln pobrań · ocena 4,7+ iOS niedługo

Odcinki

You know your Worth but you keep abandoning yourself 15.10.2026

Kama umependa ulichojifunza na unahitaji kujifunza zaidi , bonyeza link below ⬇️   https://linktr.ee/ulimwenguwaufeminine? Kujiunga na UWF INNER CIRCLE ⬇️ https://selar.com/d92r222792 Mazungumzo private na ushauri pia kujiunga na WhatsApp group tafadhali angalia namba iliyopo kwenye profile za Ulimwenguwaufeminine Instagram, tiktok na Facebook. 

Relationship sahihi itakuonyesha patterns zako zilizojificha 08.10.2026

Healthy Relationship can reveal the parts of you that being single never could, Ulidhani ume-Heal untill you meet someone who trigger you. https://linktr.ee/ulimwenguwaufeminine

Jinsi ya kujifanyia kazi/Innerwork 18.09.2026

Kujitambua na kujiponya ni vitu viwili tofauti. Self awareness isn’t Healing. you need both. Nimezungumzia nini maana halisi ya kujifanyia kazi na utaanzia wapi na nini cha kufanya kuanza inner work. kupata access ya Feminine reset program tuma neno ''RESET'' kwenda +255765669577 whatsApp.

Avoidant & Anxious attachment issues pt2 15.07.2026

Men are not the problem, Dating Pool isn’t shitty either , you’re not intimidating, nobody is scared of you ...kubaki single isn’t a good option either ..Kama umeshajifanyia kazi ila haupati outcomes unazohitaji YOU ARE THE PROBLEM ,attachment issue can hidden like confident or ego too.. hii ep ni kwa ajili yako.

Avoidant & anxious attachment issues, pt1. 12.07.2026

Sambamba na ego kuwa chanzo kikubwa cha kukufanya ushindwe kufurahia maisha na mahusiano pia kuna hizi attachment issue ambazo ni chanzo kingine kikubwa cha wewe kuwa mtumwa wa wengine bila hata kujua.... hii ni pt1.

Jinsi ya kuwa Seductive Woman na faida zake 24.04.2026

Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.

The best Sex 11.04.2026

Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..

Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness. 14.03.2026

self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.

Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia. 02.02.2026

Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu, Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako. Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi. Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku episode hii ni kwa ajili yako.

Jinsi ya kuwa Self Obsessed 23.01.2026

Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby, sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana. Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine. Utajifunza  –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia – Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla Kama umewahi kujisahau ili upendw...

Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026! 13.01.2026

Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.

Unatambua thamani yako? 08.01.2026

Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena? Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. Mo...

Słuchaj podcastu Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS