Hefsiba Nzali

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

Education EN ↓ 7 episodes

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency,Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure. Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Welcome home QUEEN!

Author

Hefsiba Nzali

Category

Education

Podcast website

redcircle.com

Latest episode

Apr 24, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Jinsi ya kuwa Seductive Woman na faida zake 24.04.2026

Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.

The best Sex 11.04.2026

Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..

Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness. 14.03.2026

self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.

Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia. 02.02.2026

Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu, Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako. Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi. Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku episode hii ni kwa ajili yako.

Jinsi ya kuwa Self Obsessed 23.01.2026

Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby, sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana. Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine. Utajifunza  –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia – Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla Kama umewahi kujisahau ili upendw...

Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026! 13.01.2026

Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.

Unatambua thamani yako? 08.01.2026

Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena? Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. Mo...

Listen to the Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.