Tujibebe Tanzania

TUJIBEBE

Fiction SW ↓ Odcinki: 20

Tunawapa vijana maarifa na maujanja ili waweze kufanya maamuzi bora juu ya maisha yao

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: podcasters.spotify.com

Autor

Tujibebe Tanzania

Kategoria

Fiction

Strona podcastu

podcasters.spotify.com

Ostatni odcinek

5 maj 2024

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android 5 mln+ pobrań · ocena 4,8 iOS niedługo

Odcinki

Mzazi Hodari Drama - Kipindi cha Pili 05.05.2024

Kutana na Chale na Mina kwenye kipindi hiki, ambao mahusiano yao yanapitia changamoto baada ya Mina kupata ujauzito usiotarajiwa. Je, watakabiliana vipi na changamoto hii? Pakua na sikiliza kipindi hiki kufahamu.

Mzazi Hodari Drama - Kipindi cha Kwanza 05.05.2024

Kutana na Naisula na Nakato kwenye kipindi hiki ambao wanajifunza jambo jipya linalobadilisha kabisa maisha yao na familia zao. Je ni jambo gani hilo? Pakua na sikiliza kipindi hiki upate kulifahamu

Msimu wa Pili - kipindi cha sita 23.08.2021

Chanzo chema, mwisho mwema - pakua kipindi cha sita!

Msimu wa Pili- Kipindi cha tano 23.08.2021

Ya Judi silo ya Leo - Pakua kipindi cha tano!

Msimu wa Pili- Kipindi cha Nne 23.08.2021

Kila mwanzo ni mzito - Pakua kipindi cha nne!

Msimu wa Pili- Kipindi cha tatu 23.08.2021

Hamu haiji bila kupenda- Pakua kipindi cha tatu kusikiliza!

Msimu wa Pili- Kipindi cha Pili 23.08.2021

Safari ni maandalizi- pauk kipindi cha pili!

Msimu wa Pili - Kipindi cha Kwanza 05.08.2021

Msimu wa pili umerudi na timu ya Tujibebe! Sikiliza jinsi timu ya Tujibebe inakubaliana na changamoto mbalimbali kama mabdiliko ya kimwili, urafiki na mengineyo! Pakua sasa kipindi cha kwanza 

Tujibebe Drama Episode 12 08.02.2021

Kapteni wa Timu anapatikana, Je ni nani huyo?

Tujibebe Drama Episode 11 08.02.2021

Tabia anawania nafasi ya ukapteni dhidi ya Jojo, Itakuaje sasa, Jojo atakubali kweli?

Tujibebe Drama Episode 10 08.02.2021

Rehema anaamua kuvunja urafiki na Tunu,vimbwanga vinataradadi!

Tujibebe Drama Episode 9 05.01.2021

Tunu anapoteza nafasi yake kwenye timu! Sa itakuwaje?

Tujibebe Drama Episode 8 05.01.2021

Tunu anaamua kwenda kufuata ushauri wa mtu muhimu.

Tujibebe Drama Episode 7 05.01.2021

Timu inapata bonge la ushindi!

Tujibebe Drama Episode 6 15.12.2020

Tunu anajikuta kwenye changamoto.

Tujibebe Drama Episode 5 08.12.2020

Tunu anajitahidi kutatua tatizo lake huku nafasi yake katika kikosi ikiwa hatarini.

Tujibebe Drama Episode 4 30.11.2020

Hali  ya muwasho wa Tunu inazidi kuwa mbaya, huku Lulu nae anapata changamoto za kifedha! 

Tujibebe Drama Episode 3 27.11.2020

Mh! Kuna mtu amegundua tatizo la Tunu! Nani huyo?

Tujibebe Drama Episode 2 20.11.2020

Jojo na harakati za ukapteni ataziweza kweli?

Tujibebe Drama Episode 1 09.11.2020

Katika kipindi cha kwanza cha Tujibebe, tunakutana na Tunu, Rehema na Jojo wakianza mwaka mpya katika shule ya sekondari ya Ongoza. Jojo anamshauri Tunu kujiunga na timu ya netball, kitu ambacho kinaleta changamoto baina ya Tunu na Rehema.

Słuchaj podcastu TUJIBEBE w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS