Tujibebe Tanzania
TUJIBEBE
Tunawapa vijana maarifa na maujanja ili waweze kufanya maamuzi bora juu ya maisha yao
Author
Tujibebe Tanzania
Category
Podcast website
Latest episode
May 5, 2024
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Mzazi Hodari Drama - Kipindi cha Pili 05.05.2024 16:28
Kutana na Chale na Mina kwenye kipindi hiki, ambao mahusiano yao yanapitia changamoto baada ya Mina kupata ujauzito usiotarajiwa. Je, watakabiliana vipi na changamoto hii? Pakua na sikiliza kipindi hiki kufahamu.
Mzazi Hodari Drama - Kipindi cha Kwanza 05.05.2024 14:13
Kutana na Naisula na Nakato kwenye kipindi hiki ambao wanajifunza jambo jipya linalobadilisha kabisa maisha yao na familia zao. Je ni jambo gani hilo? Pakua na sikiliza kipindi hiki upate kulifahamu
Msimu wa Pili - kipindi cha sita 23.08.2021 15:20
Chanzo chema, mwisho mwema - pakua kipindi cha sita!
Msimu wa Pili- Kipindi cha tano 23.08.2021 15:54
Ya Judi silo ya Leo - Pakua kipindi cha tano!
Msimu wa Pili- Kipindi cha Nne 23.08.2021 15:21
Kila mwanzo ni mzito - Pakua kipindi cha nne!
Msimu wa Pili- Kipindi cha tatu 23.08.2021 14:36
Hamu haiji bila kupenda- Pakua kipindi cha tatu kusikiliza!
Msimu wa Pili- Kipindi cha Pili 23.08.2021 12:29
Safari ni maandalizi- pauk kipindi cha pili!
Msimu wa Pili - Kipindi cha Kwanza 05.08.2021 14:46
Msimu wa pili umerudi na timu ya Tujibebe! Sikiliza jinsi timu ya Tujibebe inakubaliana na changamoto mbalimbali kama mabdiliko ya kimwili, urafiki na mengineyo! Pakua sasa kipindi cha kwanza
Tujibebe Drama Episode 12 08.02.2021 15:00
Kapteni wa Timu anapatikana, Je ni nani huyo?
Tujibebe Drama Episode 11 08.02.2021 13:08
Tabia anawania nafasi ya ukapteni dhidi ya Jojo, Itakuaje sasa, Jojo atakubali kweli?
Tujibebe Drama Episode 10 08.02.2021 14:55
Rehema anaamua kuvunja urafiki na Tunu,vimbwanga vinataradadi!
Tujibebe Drama Episode 9 05.01.2021 12:47
Tunu anapoteza nafasi yake kwenye timu! Sa itakuwaje?
Tujibebe Drama Episode 8 05.01.2021 14:59
Tunu anaamua kwenda kufuata ushauri wa mtu muhimu.
Tujibebe Drama Episode 7 05.01.2021 15:25
Timu inapata bonge la ushindi!
Tujibebe Drama Episode 6 15.12.2020 15:00
Tunu anajikuta kwenye changamoto.
Tujibebe Drama Episode 5 08.12.2020 14:22
Tunu anajitahidi kutatua tatizo lake huku nafasi yake katika kikosi ikiwa hatarini.
Tujibebe Drama Episode 4 30.11.2020 15:44
Hali ya muwasho wa Tunu inazidi kuwa mbaya, huku Lulu nae anapata changamoto za kifedha!
Tujibebe Drama Episode 3 27.11.2020 15:03
Mh! Kuna mtu amegundua tatizo la Tunu! Nani huyo?
Tujibebe Drama Episode 2 20.11.2020 13:59
Jojo na harakati za ukapteni ataziweza kweli?
Tujibebe Drama Episode 1 09.11.2020 14:48
Katika kipindi cha kwanza cha Tujibebe, tunakutana na Tunu, Rehema na Jojo wakianza mwaka mpya katika shule ya sekondari ya Ongoza. Jojo anamshauri Tunu kujiunga na timu ya netball, kitu ambacho kinaleta changamoto baina ya Tunu na Rehema.
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.