Elisha Simon

MSASA Podcast

KARIBU MSASA.  A show where we talk to successful people about FAILURE.

Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: msasapodcast.buzzsprout.com

Autor

Elisha Simon

Kategoria

Business

Strona podcastu

msasapodcast.buzzsprout.com

Ostatni odcinek

8 lis 2026

Gdzie słuchać?

Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótce

Podcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów

Pobierz z Google Play Zainstaluj za darmo Android prawie 10 mln pobrań · ocena 4,7+ iOS niedługo

Odcinki

JAMII INAKUJENGA AU INAKUPOTEZA? - MSASA NA MICHAEL KAMUKULU 08.11.2026

Send us Fan Mail Tunakua tukiambiwa tusome, tupate kazi nzuri, tujenge maisha na tufanikiwe. Lakini kwenye safari hiyo, tunawahi kujiuliza kama tunachoendelea kukifukuzia kinaendana na sisi ni nani na kile tulichoumbiwa kufanya? Kila mmoja wetu ana uwezo fulani ndani yake. Lakini kuutambua uwezo huo, kuukuza na kuutumia kuleta thamani kwa wengine ni safari nyingine kabisa. Na safari hiyo inaathiri...

SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO 25.10.2026

Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. 📈🇹🇿 Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what does this really tell us about our economy and where we're headed? Kwenye Episode 6 ya MSASA Podcast, Imani Muhingo anatupa perspective kuhusu mabadiliko ya masoko ya mitaji, ukuaji wa uchumi na opportunities zinazoj...

UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO 21.10.2026

Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana. Maxwell Wilfred Machange ni mchekeshaji aliyedumu takribani miaka kumi kwenye kiwanda cha sanaa Tanzan...

Tunatembea na Hofu ya PESA 27.09.2026

Send us Fan Mail   Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress? Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatup...

You Can Only Dream to the Level of Your Exposure 13.09.2026

Send us Fan Mail   What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and academia into STEAM education and social entrepreneurship, building an initiative that has spent years helping young people solve real-world problems through science, te...

You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL 30.08.2026

Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the usual HR conversation into the realities of people, business, and what it really takes to make the workplace work. From career progression and workplace culture to performance, reten...

Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY 16.08.2026

Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua? Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga ms...

Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE 03.08.2026

Send us Fan Mail Karibu msasani! 🎙️ Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA. Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya baadaye? Haya ni mazungumzo kuhusu pesa, nidhamu, uwekezaji, na maamuzi yanayoweza kubadili maisha y...

Mpishi wa pilau 14.12.2025

Send a text

Tatizo ni kwenye kugawana % 13.12.2025

Send a text Je unapenda kula? Je wewe ni mnazi wa pilau? Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau? Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint. Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni. Tufuatilie kwenye digital platfom zote @Msasapodcast , pia pilau likinoga onjesha na wenzio.😁

Bongo Mkononi 13.12.2025

Send a text Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa  Taji Liundi — “Master T”..

Baraka za Baraka 23.11.2025

Send a text

People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain 26.10.2025

Send a text Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress. From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses communicate, grow, and build lasting relationships through technology. But “You can’t build a big business just relying on technology.” In this episode of Msasa, we go beyond the buzzwords, explori...

Sina Kazi Naishi Ninavyotaka 23.10.2025

Send a text Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela  wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi?  Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote. Tafadhali share episode hii adimu kwa...

Kuna Maisha kwenye Siasa 07.10.2025

Send a text Msasa wa leo umeingia na boti la mapema,  so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.

The Entrepreneur’s Guide to Employment 28.09.2025

Send a text In this episode of Msasa with Rumisho, we dive deep into leadership, integrity, teamwork, and the entrepreneurial spirit. From taking full responsibility, to building confidence as the number one salesperson in your business, Rumisho shares lessons from his own journey. 🎧 Guest: Rumisho Shikonyi 🎙 Host: Elisha Simon (Hisiatz) Tune in for insights on: #Inspiration #Entrepreneurship  #G...

Jinsi Ya Kuongea Na Mungu 16.09.2025

Send a text This is one of those episodes that makes you sit back, listen, and reflect: What am I without God? What is my purpose am I truly living it? How do I discover it? And wait, I’m not alone in facing the everyday challenges of life. In this conversation, Lisa Ackim a Lawyer, Orphan Welfare Advocate, Community Mediator, Peacemaker, and Small Business Coach opens up about her journey, one we...

Conversations to conversions 08.09.2025

Send a text Today we’ve got someone who knows the game inside out — Milu Kipimo. Entrepreneur and master of sales. If you’ve been running on that old playbook of tricks and fast talk — delete it. This is about trust, respect, and real human connection. 🎧 Guest: Milu Kipimo 🎙 Host: Elisha Simon a.k.a Hisiatz

Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio 31.08.2025

Send a text Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka.  Inapatikana kesho mapema kwenye digital platforms zote. #msasa #hanscana #kubeti 

Living with demons : A battle for control and healing 26.07.2025

Send a text Join us on this episode of the #Msasapodcast as Walter Simalike introduces acceptance and realization as the ultimate step 1. #MsasaPodcast #WalterSimalike #Overindulgence #AddictionAndRecovery #FindingBalance #MentalHealthMatters

Shughuli ni Watu 26.07.2025

Send a text Episode hii na Seba Kolowa ni shuhuda ya jinsi kijana unavyoweza kupiga hatua kutoka ulipo, mpaka pahala pengine kwa vile ulivyonavyo na vingine vya kuvitafuta.

Trust the process 08.12.2024

Send a text There is clarity in chaos when you trust the process💪🏾 🎧 Join us on the #Msasapodcast for a heartfelt conversation about faith, resilience, and the beauty of surrendering to something bigger this sunday with  @_TimFordJ Guest: Tim Ford https://www.instagram.com/_timfordjr/?hl=en Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ 🎙 MSASA PODCAST: 💬 Let’s Touch Base on WhatsApp Channel https...

Watu wa Kariakoo waliniokoa 01.12.2024

Send a text Tafuteni Popcon jamani @lamataleah ana yake ya kutupiga #Msasa🤭 Guest: LAMATA https://www.instagram.com/lamataleah/ -- Host: Hisia  https://instagram.com/hisiatz/  MSASA PODCAST  🎙 : Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬 https://whatsapp.com/channel/0029VaFg...  For more content like this SUBSCRIBE To our channel    / @msasapodcast   Our Website https://neiked.co.tz/msasa/ Podcast S...

Moyo unakuwaga mzito kwa mwanaume 01.12.2024

Send a text This week on the #MsasaPodcast, we’re joined by the Michael Baruti of  @menthepodcast   We’re diving deep into the often-overlooked conversation, the struggles, the stigma, and the path to healing for men and mental health. #MenAndMentalHealth Guest: Michael Baruti https://www.instagram.com/michaelbaruti/ -- Host: Hisia  https://instagram.com/hisiatz/  MSASA PODCAST  🎙 : Let’s Touch Ba...

From passion to profit 23.11.2024

Send a text What happens when you're a creative but the hustle demands you be a businessman too?  #Today  we sit down with the fabulous hustler Ally Rehmtullah to unpack the chaos, the challenges, and the compromises of balancing artistry with #entrepreneurship Guest: Ally Rehmtullah https://www.instagram.com/allyrehmtullah/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST  🎙 : Let...

Słuchaj podcastu MSASA Podcast w Replaio

Radio i podcasty w jednej aplikacji - za darmo, bez zakładania konta. Zainstaluj już dziś i nie przegap premiery

Pobierz z Google Play

Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS