Elisha Simon
MSASA Podcast
KARIBU MSASA. A show where we talk to successful people about FAILURE.
Author
Elisha Simon
Category
Podcast website
Latest episode
Dec 14, 2025
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Mpishi wa pilau 14.12.2025 1:15:14
Send a text
Tatizo ni kwenye kugawana % 13.12.2025 1:14:12
Send a text Je unapenda kula? Je wewe ni mnazi wa pilau? Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau? Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint. Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni. Tufuatilie kwenye digital platfom zote @Msasapodcast , pia pilau likinoga onjesha na wenzio.😁
Bongo Mkononi 13.12.2025 1:39:07
Send a text Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa Taji Liundi — “Master T”..
Baraka za Baraka 23.11.2025 1:17:03
Send a text
People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain 26.10.2025 1:06:06
Send a text Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress. From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses communicate, grow, and build lasting relationships through technology. But “You can’t build a big business just relying on technology.” In this episode of Msasa, we go beyond the buzzwords, explori...
Sina Kazi Naishi Ninavyotaka 23.10.2025 1:41:42
Send a text Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi? Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote. Tafadhali share episode hii adimu kwa...
Kuna Maisha kwenye Siasa 07.10.2025 1:30:06
Send a text Msasa wa leo umeingia na boti la mapema, so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.
The Entrepreneur’s Guide to Employment 28.09.2025 1:15:49
Send a text In this episode of Msasa with Rumisho, we dive deep into leadership, integrity, teamwork, and the entrepreneurial spirit. From taking full responsibility, to building confidence as the number one salesperson in your business, Rumisho shares lessons from his own journey. 🎧 Guest: Rumisho Shikonyi 🎙 Host: Elisha Simon (Hisiatz) Tune in for insights on: #Inspiration #Entrepreneurship #G...
Jinsi Ya Kuongea Na Mungu 16.09.2025 1:07:11
Send a text This is one of those episodes that makes you sit back, listen, and reflect: What am I without God? What is my purpose am I truly living it? How do I discover it? And wait, I’m not alone in facing the everyday challenges of life. In this conversation, Lisa Ackim a Lawyer, Orphan Welfare Advocate, Community Mediator, Peacemaker, and Small Business Coach opens up about her journey, one we...
Conversations to conversions 08.09.2025 1:15:08
Send a text Today we’ve got someone who knows the game inside out — Milu Kipimo. Entrepreneur and master of sales. If you’ve been running on that old playbook of tricks and fast talk — delete it. This is about trust, respect, and real human connection. 🎧 Guest: Milu Kipimo 🎙 Host: Elisha Simon a.k.a Hisiatz
Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio 31.08.2025 1:15:25
Send a text Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka. Inapatikana kesho mapema kwenye digital platforms zote. #msasa #hanscana #kubeti
Living with demons : A battle for control and healing 26.07.2025 1:15:13
Send a text Join us on this episode of the #Msasapodcast as Walter Simalike introduces acceptance and realization as the ultimate step 1. #MsasaPodcast #WalterSimalike #Overindulgence #AddictionAndRecovery #FindingBalance #MentalHealthMatters
Shughuli ni Watu 26.07.2025 1:22:12
Send a text Episode hii na Seba Kolowa ni shuhuda ya jinsi kijana unavyoweza kupiga hatua kutoka ulipo, mpaka pahala pengine kwa vile ulivyonavyo na vingine vya kuvitafuta.
Trust the process 08.12.2024 59:01
Send a text There is clarity in chaos when you trust the process💪🏾 🎧 Join us on the #Msasapodcast for a heartfelt conversation about faith, resilience, and the beauty of surrendering to something bigger this sunday with @_TimFordJ Guest: Tim Ford https://www.instagram.com/_timfordjr/?hl=en Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ 🎙 MSASA PODCAST: 💬 Let’s Touch Base on WhatsApp Channel https...
Watu wa Kariakoo waliniokoa 01.12.2024 1:12:48
Send a text Tafuteni Popcon jamani @lamataleah ana yake ya kutupiga #Msasa🤭 Guest: LAMATA https://www.instagram.com/lamataleah/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Let’s Touch Base on WhatsApp Channel 💬 https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... For more content like this SUBSCRIBE To our channel / @msasapodcast Our Website https://neiked.co.tz/msasa/ Podcast S...
Moyo unakuwaga mzito kwa mwanaume 01.12.2024 1:13:47
Send a text This week on the #MsasaPodcast, we’re joined by the Michael Baruti of @menthepodcast We’re diving deep into the often-overlooked conversation, the struggles, the stigma, and the path to healing for men and mental health. #MenAndMentalHealth Guest: Michael Baruti https://www.instagram.com/michaelbaruti/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Let’s Touch Ba...
From passion to profit 23.11.2024 48:57
Send a text What happens when you're a creative but the hustle demands you be a businessman too? #Today we sit down with the fabulous hustler Ally Rehmtullah to unpack the chaos, the challenges, and the compromises of balancing artistry with #entrepreneurship Guest: Ally Rehmtullah https://www.instagram.com/allyrehmtullah/ -- Host: Hisia https://instagram.com/hisiatz/ MSASA PODCAST 🎙 : Let...
From Child to Breadwinner 13.11.2024 1:27:05
Send a text Today, we’re thrilled to host Khalila Mbowe, also known as Kellz—a visionary social entrepreneur and the founder of Unleashed Africa. Her organization is dedicated to empowering East African youth through the arts, leadership, and entrepreneurship, providing skills and opportunities to fuel their creative and professional journeys. In this episode, Khalila shares her journey, drive for...
Baharia Mwenye SWAG 10.11.2024 1:04:30
Send a text J2 hii on the #MsasaPodcast @Mtani_bespoke AKA Fundi ,tafuta mkasi, uzi na kiwembe, maana Msasa wa leo ni wa kitambaa. Tune in to find out how @mtani_bespoke tailored a life that suits him. 🎧 Guest: Mtani Nyamakababi (Mtani Bespoke) 🎙 Host: Elisha Simon (Hisiatz) Tune in for insights on: #Inspiration #Entrepreneurship #StreetSmarts #GrowthMindset #Marketing #businessowner #Person...
Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza 27.10.2024 1:20:38
Send a text Karibu kwenye #MsasaPodcast! Tunamkaribisha Jay Moe, mkongwe mwenye zaidi ya miaka 20 ya uzoefu katika kuburudisha Watanzania kwa nyimbo zenye mafumbo na ujumbe mkali kupitia muziki wa rap. Tutachambua safari ya muziki na mabadiliko ya tasnia ya muziki wa Bongo toka miaka ya nyuma mpaka sasa. Mazungumzo haya ni ya kuhamasisha, tukitazama mabadiliko, changamoto, na mafanikio katika ente...
Furaha yako ni Jukumu Lako 20.10.2024 1:10:17
Send a text Jiunge nasi kwenye #MsasaPodcast tunapomkaribisha Lumulike Mengele A.K.A Muli B, mfanyabiashara na DJ maarufu mwenye zaidi ya miaka 20 katika tasnia ya Bongo Flavor. Tutaangazia umuhimu wa kujitambua na nidhamu katika kufanikisha mafanikio ya muda mrefu. Usikose mazungumzo haya ya kuhamasisha! 🎧 Guest: Lumuliko Mengele (Muli B) 🎙 Host: Hisia (@hisiatz) #Inspiration #Entrepreneurship #...
Leave Room For Magic 01.07.2024 1:24:11
Send a text Hakuna neno la ukweli lenye ladha ya asali, je akili yako inapokea uhalisia? Usikose madini ya vichwa vitatu kutoka H_art the band on #msasapodcast on this very #specialepisode . Dont forget to listen to their new Album "TIME"
The Silent Loud One 01.07.2024 1:10:43
Send a text Being #different from the your competitors isn’t enough to win the market, so what is? Leo tumemkaribisha a media buying expert akituelezea jinsi #effectivebranding inaweza kutusaidia kuboresha na kukuza #biashara zetu. #msasapodcast #effectivecampaign #marketing #mediabuying #entrepreneurship #Tanzania Guest: John Enos Otieno / john-enos-otieno-69091919 -- Host: Hisia / h...
The Godfather of Comedy 05.05.2024 1:54:32
Send a text Sometimes getting out of #comfortzone is the key to many doors that you wouldn’t have opened otherwise. Leo tumemkaribisha Godfather wa comedy Tanzania Evans Bukuku akitupa his personal experiences zenye #Msasa ndani yake that are guaranteed to leave you motivated to take on new #challenges and #opportunities #msasapodcast #entrepreneurship #biashara #comedy #comedian #Tanzania #po...
Oxygen is Free 28.04.2024 1:19:52
Send a text The future of entrepreneurship in Africa it’s not just promising - it’s already unfolding na Kuna msemo wa Kiafrika unasema “Ukitaka kwenda haraka, nenda peke yako, ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako” Leo kwenye #Msasa tumemkaribisha an agribusiness expert and a serial entrepreneur, Steve Issac Angelo akituelezea why being an entrepreneur in Africa requires different lens and minds...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.