gabo zigamba
Koma podcast
This is my very interesting podcast Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: shows.acast.com
Gdzie słuchać?
Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótcePodcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów
Odcinki
Michepuko 08.10.2025 19:18
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Gen-Z na Lifestyle yao 03.07.2025 19:59
Malezi ndani ya familia zetu siku hizi yako vipi? Nani anatakiwa kuchungwa zaidi—mtoto wa kiume au wa kike ? Hasa hawa watoto wa 2000 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Beki Tatu na Changamoto zake 03.07.2025 31:10
Je, unaweza kumuacha mumeo kisa dada wa kazi ? Mume wako ni sawa kupikiwa chakula na dada wa kazi ? Na uchawi nao upo au ni kisingizio tu ? Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Vikwazo na Mafanikio 03.07.2025 19:24
Kwenye hii episode yetu ya KOMA Podcast, Tumekutana na Nanga pamoja na Tiko, tukachambua ukweli wa maisha: ile hali ya kuwa ya mafanikio au kutoboa na mategemeo ya watu kwako katika jamii yetu pamoja na matokeo yanayokuja pale unapochagua kujipa kipaumbele. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
MAISHA, UBABE & MITIKASI YA SOUTH AFRIKA - PAUL KONYAKI 03.07.2025 28:33
Katika episode hii, Paul konyaki akisimulia safari yake, mitikasi na maisha ya South Africa Usikose kusikiliza hii story ya ukweli—ya hisia, mafunzo, na maisha ya kweli. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Umri na Ndoa 30.06.2025 20:58
Kuna kigezo chochote Cha kutizama kabla ya Kuoa au Kuolewa? Je, Kuoa au kuolewa ukiwa na Umri mkubwa kuna athari zozote ?? Kwako mwana KOMA.. Mjadala huu ni mzito na haupaswi kukupita! Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Podobne podcasty
Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS