RFI Kiswahili
Jua Haki Zako
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Koniecznie odwiedź stronę podcastu i wesprzyj twórcę: www.rfi.fr
Gdzie słuchać?
Podcasty w aplikacji Replaio Radio Już wkrótcePodcasty trafią do aplikacji już wkrótce. Zainstaluj teraz i jako pierwszy zobacz nowe podejście do podcastów
Odcinki
Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema 22.10.2026 9:53
Lydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi
Africa : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI 17.10.2026 9:49
Mataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ? Skiza makala haya
Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani 10.10.2026 9:54
Katika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala
Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye 02.10.2026 9:54
Wanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo 24.09.2026 9:54
Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka shirika la malipo ya uzeeni la NSSF, hili likichukuwa hata miaka miwili, baadhi ya wazee wakifariki kabla ya kunufaika na mgao huo. Skiza makala haya kufahamu zaidi.
Kenya : Raia wa Burundi waondoka 14.09.2026 9:37
Raia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo. Skiza makala haya
Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi 31.08.2026 9:07
Nchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi. Skiza makala haya kufahamu mengi.
DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini 25.08.2026 9:42
Raia mbilikimo wataka kujumuishwa serikali nchini DRC. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni 03.08.2026 9:57
Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18. Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado hukumban...
Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya 28.07.2026 10:02
Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na w...
Kenya: Mawakili waandamana kudai haki 13.07.2026 10:00
Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata. Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sikiliza makala kufahamu mengi.
Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher 12.07.2026 9:57
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji wa El Fasher. Skiza makala haya kufamu mengi
Haki za wakimbizi awamu ya pili 10.07.2026 10:01
Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki hizo. Skiza kufahamu mengi.
EAC : Haki za wakimbizi duniani 22.06.2026 9:54
Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya 10.06.2026 10:04
Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja. Sikiliza makala haya kufahamu msimamo wa Mwende.
Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti 08.06.2026 9:20
Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki. wanaharakati hao wanasema hali hiyo imechangia wahusika wa vitendo vya ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kingono kuendelea kutenda makosa bila kuwajibishwa. Skiza makala haya kufahamu mengi...
KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare 30.05.2026 9:57
Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye anapigania hazi za waathiriwahawa katika mtaa wa Mathare Bi. Beatrice Karore.
Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8 25.05.2026 10:02
Mzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi ndani ya mradi wa Eleve8. Skiza makala haya kufahamu mengi.
Siku ya Mama duniani, je unamtambua mama 15.05.2026 9:46
Kila mwezi mei dunia huduadimisha siku ya mama duniani, je unatambua mchango wa mama duniani. Skiza makala haya kufahamu mengi skiza makala haya
Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala 11.05.2026 10:02
Kila mwezi Mei dunia huadimsha siku ya uhuru wa nyombo vya habari na wanahabari. Katika makala haya tunaangazia changamoto wanazopitia wanahabari wakati wakitekeleza majukumu yao.
Reuben Kigame na harakati zake kupigia haki 30.04.2026 9:56
Msanii Reuben Kigame anafafanua harakati zake za kisiasa na ndoto yake kuongoza Kenya. Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.
Unyanyasaji na kunyimwa haki kwa wanawake katika biashara za kimataifa 17.04.2026 10:03
Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha na biashara za kimataifa nchini Kenya, wengi wao bado wanakumbana na changamoto kubwa,ikiwemo kudhalilishwa, ubaguzi wa kijinsia na kunyimwa haki zao za msingi wanapojaribu kuingia au kushindana katika masoko ya nje. Katika maeneo ya mashambani hadi mipakani, wanawake hawa wanapambana si tu kukuza biashara zao, bali pia kupigania heshima na...
Kenya : Mchango wa masharika ya kiraia kwa jamii 08.04.2026 9:56
Katika makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu. Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya limeendelea kuleta mageuzi kwa raia. Ili jamii kuendelea na kujitegemea inahitaji watu wa kufanikisha baadhi ya maswala kwa jamii kuja na mbinu ya namna gani ya kuwezesha jamii kujiendeleza. Kutokana n...
Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa 31.03.2026 10:08
Katika makala haya tunaangazia ripoti kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya, Ripoti hii inaonyesha kuwa licha ya maeneo haya kuathirika zaidi na ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi, bado fedha nyingi hazifiki moja kwa moja kwa wananchi wanaohitaji msaada huo zaidi. R...
Kenya : Haki za wafanyibiashara wa soko la Kigomba 28.03.2026 10:02
Katika makala haya tunaangazia haki za wafanyibiashara katika soko la Gikomba nchini Kenya. Kwa muda wafanyibiashara hao wamekuwa wakizozana na serikali kuhusu kipande cha ardhi cha soko hiyo. Skiza makala haya kufamu mengi zaidi.
Podobne podcasty
Replaio nie jest wydawcą podcastów; nazwy audycji, okładki i audio należą do ich autorów i są rozpowszechniane przez publiczne kanały RSS