RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.

Auteur

RFI Kiswahili

Catégorie

Government

Site du podcast

www.rfi.fr

Dernier épisode

10 juil. 2026

Où écouter ?

Les podcasts dans l'appli Replaio Radio Bientôt disponible

Les podcasts arrivent très bientôt dans l'appli. Installe-la dès maintenant et découvre en avant-première une toute nouvelle façon de vivre les podcasts

Télécharger sur Google Play Installe-la gratuitement Android 5 M+ de téléchargements · note de 4,8 iOS bientôt

Épisodes

Haki za wakimbizi awamu ya pili 10.07.2026

Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili  Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki  hizo. Skiza kufahamu mengi.

EAC : Haki za wakimbizi duniani 22.06.2026

Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi. Skiza makala haya kufahamu mengi.

Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya 10.06.2026

Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja. Sikiliza makala haya kufahamu msimamo wa Mwende.

Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti 08.06.2026

Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki. wanaharakati hao wanasema hali hiyo imechangia wahusika wa vitendo vya ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kingono kuendelea kutenda makosa bila kuwajibishwa. Skiza makala haya kufahamu mengi...

KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare 30.05.2026

Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye anapigania hazi za waathiriwahawa katika mtaa wa Mathare Bi. Beatrice Karore.

Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8 25.05.2026

Mzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi ndani ya mradi wa Eleve8. Skiza makala haya kufahamu mengi.

Siku ya Mama duniani, je unamtambua mama 15.05.2026

Kila mwezi mei dunia huduadimisha siku ya mama duniani, je unatambua mchango wa mama duniani. Skiza  makala haya kufahamu mengi skiza makala haya

Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala 11.05.2026

Kila mwezi Mei dunia huadimsha siku ya uhuru wa nyombo vya habari na wanahabari. Katika makala haya tunaangazia changamoto wanazopitia wanahabari wakati wakitekeleza majukumu yao.

Reuben Kigame na harakati zake kupigia haki 30.04.2026

Msanii Reuben Kigame anafafanua harakati zake za kisiasa na ndoto yake kuongoza Kenya. Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.

Unyanyasaji na kunyimwa haki kwa wanawake katika biashara za kimataifa 17.04.2026

Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha na biashara za kimataifa nchini Kenya, wengi wao bado wanakumbana na changamoto kubwa,ikiwemo kudhalilishwa, ubaguzi wa kijinsia na kunyimwa haki zao za msingi wanapojaribu kuingia au kushindana katika masoko ya nje. Katika maeneo ya mashambani hadi mipakani, wanawake hawa wanapambana si tu kukuza biashara zao, bali pia kupigania heshima na...

Kenya : Mchango wa masharika ya kiraia kwa jamii 08.04.2026

Katika  makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu. Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya limeendelea kuleta mageuzi kwa raia. Ili jamii kuendelea na kujitegemea inahitaji watu wa kufanikisha baadhi ya maswala kwa jamii kuja na mbinu ya namna gani ya kuwezesha jamii kujiendeleza.   Kutokana n...

Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa 31.03.2026

Katika makala haya tunaangazia ripoti  kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya, Ripoti hii inaonyesha kuwa licha ya maeneo haya kuathirika zaidi na ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi, bado fedha nyingi hazifiki moja kwa moja kwa wananchi wanaohitaji msaada huo zaidi. R...

Kenya : Haki za wafanyibiashara wa soko la Kigomba 28.03.2026

Katika makala haya tunaangazia haki za wafanyibiashara katika soko la Gikomba nchini Kenya. Kwa muda wafanyibiashara hao wamekuwa wakizozana na serikali kuhusu kipande cha ardhi cha soko hiyo. Skiza makala haya kufamu mengi zaidi.

Kenya : Haki za watoto wa kurandaranda mitaani 27.03.2026

Kila mtotto ana haki kwa mjibu wa katiba za kila nchi na maazio ya kimataifa. Katika makala haya tunaanhazia haki za watoto wa kurandaranda mitaani. Skiza makala haya kufahamu mengi.

EAC : Wanawake wasilia nyuma katika harakati za amani 09.03.2026

Kila Machi nane dunia, huadimisha siku ya kimataifa ya wanawake, katika makala haya tunaangazia sababu ambazo zimechangia wanawake kuachwa nyuma katika harakati za kutafuta amani. Skiza makala haya kufahamu mengi.

Haki za wakimbizi wanapokimbilia mataifa ya kigeni 26.02.2026

Je ni masaibu gani wanayopitia wakimbizi wakati wanapokimbia nchi zao? Skiza makala haya kufahamu mengi.

Kenya: Mchakato wa kutoa taarifa za rushwa kwa tume ya EACC 23.02.2026

Nchini Kenya tume ya kupambana na rushwa EACC imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha mali ya umma haiporwi. Ila ni mchakato upi mtu anastahili kufuata kutoa taarifa kwa tume. Benson Wakoli alikiti chini Kipsang Sambae afisa wa EACC, tawi la Nakuru kufahamu mchakato wa kutoa taarifa kwa EACC.

Haki ya kuhifadhi taarifa za Siri 09.02.2026

Je unafahamu kuhusu haki ya taarifa zako za siri kuhifadhiwa? na je unatambua hatua unazostahili kufuata iwapo zitatolewa? .

Human Right Watch : Haki zinakandamizwa pembe ya Africa 09.02.2026

Makala haya yanaangazia ripoti  ya Human Rights Watch iliyochapishwa tarehe 4 Februari 2026, inayozungumzia hali ya kutisha ya haki za binadamu katika eneo la Pembe ya Africa. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa raia wa Sudan , Sudan Kusini na Ethiopia ndio wanaobeba mzigo mkubwa wa vita vya silaha vinavyoendeshwa kwa ukatili, ambapo pande zinazopigana mara nyingi hulenga raia kimakusudi. Human Rights Wat...

Kenya: Hatua za kutafuta haki kwa dhulma za kinadada mtaani Mathare 27.01.2026

Kwa miaka mingi Beatrice Karole amekuwa akijitolea kuhamasisha jamii kuhusiana na hatua za kuchukua wakati wanapokabiliana na unyanyasaji wa jinsia. Akiwa na shirika la kinamama la Wanawake Mashinani Initiative katika eneo la Mathare Jijini Nairobi, amefanikiwa kuwaokoa jumla ya wanawake na watoto 30 katika mwaka 2025 ambao anajivunia kuwa licha ya kunyanyaswa, walipata haki yao.

Kenya: Wakulima wadogowadogo washinda kesi ya Sheria ya Mbegu na Mimea dhidi ya KEPHIS 25.01.2026

Nchini Kenya, Sheria ya Mbegu na Mimea (The Kenya Seed and Plants Varieties Act), ambayo ilitishia kuwatoza faini na kuwafunga jela wakulima wadogo kwa kugawana mbegu ambazo hazijaidhinishwa, iliamuliwa kuwa kinyume cha katiba. Mahakama ya Kikatiba katika kaunti ya Machakos nchini Kenya ilitoa uamuzi wa kihistoria Novemba 27 2025 kuhusu uhalali wa Sheria ya Mbegu na Aina za Mimea. George Ajowi ame...

EAC : Dhuluma za kijinsia bado ni changamato kote duniani 10.01.2026

Makala haya yanaangazia namana gani dhuluma za kijinsia zinaweza kabiliwa. skiza kufahamu mengi zaidi.

Kenya : Biashara ya ngono miongoni mwa vijana ni donda sugu 07.01.2026

Juhudi za pamoja zinaendelezwa ili kukomesha biashara haramu ya wototo pwani ya Kenya. Kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.

Kenya : Ahadi ya serikali kwa jamii za wachache 23.12.2025

Kila disemba 18 dunia huadimisha siku ya  Kimataifa ya Jamii za Walio Wachache  siku inayolenga kuzikumbusha serikali na jamii wajibu wa kulinda haki, heshima na ushirikishi wa makundi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa yakidai kuachwa nje mipango ya serikali Nchini Kenya, jamii za walio wachache, zikiwemo jamii za wafugaji wanaohamahama, zimekuwa zikidai hazitambuliwi kikamilifu, kukosa huduma za ms...

Écoute le podcast Jua Haki Zako sur Replaio

La radio et les podcasts dans une seule appli - gratuite, sans inscription. Installe-la dès aujourd'hui et ne rate pas le lancement

Télécharger sur Google Play

Replaio n'est pas éditeur de podcasts ; les noms des émissions, les visuels et l'audio appartiennent à leurs auteurs et sont diffusés via des flux RSS publics