SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1027 epizód

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Mindenképp látogasd meg a podcast oldalát, és támogasd a készítőjét: www.sbs.com.au

Szerző

SBS

Kategória

News

A podcast weboldala

www.sbs.com.au

Legutóbbi epizód

2026. okt. 9.

Hol hallgathatod?

Podcastok az alkalmazásban Replaio Radio Hamarosan

A podcastok hamarosan megérkeznek az alkalmazásba. Telepítsd most, és láss elsőként egy teljesen új megközelítést a podcastokhoz

Letöltés a Google Play-ről Telepítsd ingyen Android közel 10 M letöltés · 4,8-as értékelés iOS hamarosan

Epizódok

Taarifa ya Habari:Maelfu wahofiwa wamefariki baada ya tetemeko kubwa la ardhi katika mji mkuu wa Venezuela 25.06.2026

Hali ya dharura ime anza kutumika nchini Venezuela baada ya matetemeko mawili makubwa ya ardhi, yaliyotokea magharibi mwa mji mkuu wa Caracas, na kuua watu wasiopungua 32 pamoja nakuwajeruhi mamia.

Can nature help tackle loneliness? - SBS Examines: Je, mazingira ya asili yanaweza kabili upweke? 24.06.2026

In a recent study of LGBTQIA+ asylum seekers and refugees, nature was used not just as a meeting place, but as an environment where participants felt safe without being questioned or judged. - Katika utafiti wa hivi karibuni wa waomba hifadhi na wakimbizi wa LGBTQIA+, mazingira yaki asili hayakutumika tu kama mahali pa kukutania, bali kama mazingira ambapo washiriki walihisi salama bila kuhojiwa a...

Yaliyojiri Afrika:Kasi yakuenea kwa ugonjwa wa Ebola kwa lazimisha serikali ya Congo kutoa tahadhari 23.06.2026

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetahadharisha umma kuhusu kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa Ebola.

Messi aweka rekodi yamuda wote yakufunga magoli katika Kombe la Dunia 23.06.2026

Lionel Messi amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia, akifunga mara mbili nakusaidia Argentina kuishinda Austria 2-0 mjini Dallas, na kujihakikishia nafasi ya kwanza katika Kundi J, pamoja na nafasi katika hatua ya mchujo.

Taarifa ya Habari:Mpango wa serikali wa kurekebisha NDIS waiweka pabaya bungeni 23.06.2026

Chama cha Greens kimeita mpango wa serikali wa kurekebisha Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Watu Wenye Ulemavu kuwa sheria 'isiyo ya kibinadamu'.

SBS Learn Eng Ep 113 Jinsi yakuzungumza kuhusu chakula cha starehe wakati wa majira ya baridi 23.06.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu chakula cha starehe wakati wa majira ya baridi?

Makala Leo: Labor yapambana kupitisha bungeni mageuzi ya NDIS na ushuru 23.06.2026

Bunge la Shirikisho limerejea kwa vikao vya mwisho vya wiki mbili kabla ya mapumziko marefu ya majira ya baridi ya wiki tano.

Taarifa ya Habari:Wanaume wawili wafunguliwa mashtaka baada ya Polisi kunasa tani 2.7 za kokeni nchini Australia 22.06.2026

Polisi wamekamata tani 2.7 za kokeni katika kile kinachoelezwa kuwa unyakuaji mkubwa zaidi wa kokeni kuwahi kutokea nchini Australia.

Sasisho la Kombe la Dunia siku ya 8:Mexico yatinga hatua ya mchujo na Canada ya andika historia 19.06.2026

Mexico ime ingia katika hatua ya mchujo, baada ya kuishinda Jamhuri ya Korea katika siku ambayo iliadhimishwa na jeraha kubwa nchini Canada.

Mafanikio ya Socceroos ya akisi Australia ya kisasa 19.06.2026

Mafanikio ya awali ya Socceroos katika Kombe la Dunia, yameangazia tena hadithi za mafanikio za Australia yenye tamaduni nyingi.

Taarifa ya Habari: Marekani na Iran zasaini mkataba wa kumaliza vita 19.06.2026

Rais wa Marekani Donald Trump alisaini makubaliano na Iran jana Jumatano ambayo yanaitaka Jamhuri hiyo ya Kiislamu kupunguza kiwango cha akiba yake ya madini ya urani iliyorutubishwa.

Frank "Kombe hili halitabiriki lakini tuna matumaini makubwa kwa timu za Afrika" 18.06.2026

Mashabiki wa soka wana endelea kupata burudani kupitia Kombe la Dunia la FIFA 2026 linalo andaliwa nchini, Canada, Marekani na Mexico.

Yaliyojiri Afrika: Raia wakigeni waondolewa Afrika Kusini 18.06.2026

Afrika Kusini imewarejesha makwao raia wa kigeni 2,745, ndani ya wiki moja baada ya rais wa taifa hilo ku ahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wahamiaji haramu.

Taarifa ya Habari: Seneti ya DRC yafungua njia ya muhula wa tatu kwa Rais Tshisekedi 18.06.2026

Polisi wanachunguza ajali iliyotokea kusini-magharibi mwa Sydney usiku wakuamkia, ambayo imesababisha vifo vya watoto wawili wenye umri wa mwaka moja na miaka mitano.

How should we talk to children about antisemitism? - SBS Examines:Tunastahili zungumzaje na watoto kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi? 17.06.2026

Hearings for the Royal Commission on Antisemitism and Social Cohesion have revealed many victims and perpetrators of antisemitism in Australia are children. How do we discuss the issue in an age-appropriate way? - Vikao vya Tume ya Kifalme kwa Unyanyasaji wa Wayahudi na Uwiano wa Kijamii vimefichua kwamba waathiriwa na wahusika wengi wa chuki dhidi ya Wayahudi nchini Australia ni watoto. Tunawezaj...

Taarifa ya Habari: Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yazua wasiwasi katika makundi ya biashara 16.06.2026

Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yatapunguza uzalishaji na kuifanya Australia isiwe na ushindani mkubwa, makundi ya biashara yanasema, huku hatua za bajeti zenye utata zikichunguzwa kwa darubini. Uchunguzi wa Seneti kuhusu mabadiliko ya kodi unafanya vikao vyake vya kwanza leo.

Mshtuko wa Kombe la Dunia: Uhispania yapigwa breki na Cabo Verde 16.06.2026

Mshtuko wa kwanza mkubwa wa Kombe la Dunia la FIFA umeshuhudiwa, baada ya timu ambayo inadhaniwa ina nafasi kubwa yakushinda michuano hiyo, kunyimwa ushindi na Cabo Verde wanao shiriki katika michuano hiyo kwa mara yao ya kwanza.

How do charities and individual fundraisers work in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Je, mashirika ya kutoa misaada na watu wanao changisha hela hufanyaje kazi nchini Australia? 16.06.2026

What are the rules around raising money and charities? How can you ensure you don't get scammed? Here is what you need to know if you're donating, raising money yourself or launching an online crowdfunding appeal. - Je, ni sheria gani zinazo husu kuchangisha pesa na mashirika ya kutoa misaada? Unawezaje hakikisha kuwa hutadanganywa? Haya ndiyo unastahili jua kama una toa mchango, unachangisha pesa...

Ujerumani wafanya unyama, Japan na Uholanzi ziki ng'ang'ania alama moja 15.06.2026

Ujerumani umeanza vyema kampeni yao ya Kombe la Dunia la 2026, ikiwashinda Curaçao inayo shiriki katika michuano hiyo kwa mara ya kwanza kwa mabao 7-1 katika Kundi E katika Uwanja wa Houston, Marekani.

Taarifa ya Habari: Iran yathibitisha vita dhidi ya Marekani na Israel vita isha leo usiku 15.06.2026

Iran imethibitisha kwamba vita kati ya Marekani na Israeli katika nyanja mbalimbali Mashariki ya Kati vita isha usiku wa leo.

Are electric vehicles worth it in Australia?| Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa:Je magari ya umeme yanafaa nchini Australia?| Mafuta Yalengwa 15.06.2026

Electric vehicles are becoming more common on Australian roads as fuel prices remain unstable and more drivers look for cheaper ways to travel. Here's what you need to know if you are thinking about making the switch. - Magari ya umeme (EV) yanazidi kuwa ya kawaida barabarani nchini Australia, wakati bei za mafuta ziki endelea kuto tabirika na madereva wengi zaidi wanatafuta njia za usafiri za bei...

Taarifa ya Habari: HRW: Rwanda na M23 zinawaajiri watu kwa lazima kwenye vikosi vyao 11.06.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese haja tupilia mbali uwezekano wa kuongeza muda wa kupunguzwa kwa ushuru wa mafuta kutokana na kufufuliwa upya kwa mapigano Mashariki ya Kati.

MiniPod: Man On! | Words we use - MiniPod: Man On! | Words we use 11.06.2026

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'Man On!'. - Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'Man On' (jihadhari).

MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use - MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use 11.06.2026

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'Keep your eye on the ball'. - Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'Keep your eye on the ball' (Kuwa makini).

SBS Learn Eng Ep 112 Jinsi yaku zungumza kuhusu likizo za shule 10.06.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu likizo ya shule?

Hallgasd a(z) SBS Swahili - SBS Swahili podcastot a Replaióban

Rádió és podcastok egy alkalmazásban - ingyen és regisztráció nélkül. Telepítsd még ma, és ne maradj le a premierről

Letöltés a Google Play-ről

A Replaio nem podcastkiadó; a műsorok nevei, borítóképei és hanganyagai a szerzőiket illetik, és nyilvános RSS-csatornákon keresztül terjednek.