Nukta Habari

Nukta the Podcast

News SW ↓ 89 epizód

Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.

Mindenképp látogasd meg a podcast oldalát, és támogasd a készítőjét: nukta.co.tz

Szerző

Nukta Habari

Kategória

News

A podcast weboldala

nukta.co.tz

Legutóbbi epizód

2026. szept. 26.

Hol hallgathatod?

Podcastok az alkalmazásban Replaio Radio Hamarosan

A podcastok hamarosan megérkeznek az alkalmazásba. Telepítsd most, és láss elsőként egy teljesen új megközelítést a podcastokhoz

Letöltés a Google Play-ről Telepítsd ingyen Android közel 10 M letöltés · 4,8-as értékelés iOS hamarosan

Epizódok

Mfahamu Fatma Karume mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar 26.09.2026

Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia Jumatatu, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ametangaza taarifa za msiba huo usiku wa kuamkia leo Septemba 22, 2026 akieleza kuwa Mama Fatma alifariki dunia akiwa Mbweni, Zanzibar. Katika salamu zake za rambirambi, Rais wa Tanzania...

Hayati Magufuli, Rais Samia walivyoichonga historia ya Bwawa la Mwalimu Nyerere 05.09.2026

Jumamosi, Agosti 22, 2026, Serikali iliandika historia kwa kuzindua rasmi Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) uliopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. Mradi huo una uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme na umegharimu zaidi ya Sh7.7 trilioni. Hata hivyo, nyuma ya furaha na shamrashamra zilizoambatana na uzinduzi wa mradi huo kuna safari ndefu iliyochukua zaidi ya karne moja. Safari hiyo imepit...

MAHATA: INVASIVE PLANT THREATENS AGRICULTURE 03.09.2026

#FYP

Ucheleweshaji vifaatiba unavyowatesa wenye ulemavu Bahi 11.08.2026

Kwa miaka miwili mfululizo Richard Ndaga amekuwa akihudhuria hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma angalau kila mwezi kupigania afya ya mwanae.  Ndaga ana mtoto wa kiume (2) mwenye ulemavu wa miguu na mikono ambaye anahitaji kunyooshwa viungo ili virejee katika hali ya kawaida.  Safari ya Ndaga, baba wa watoto watano, si ya kupenda. Yeye ni miongoni mwa mamia ya wazazi, walezi na watu...

Hizi ndizo Passport 5 zenye nguvu zaidi duniani 24.07.2026

Umewahi kujikuta unatumia muda mrefu katika ofisi ya balozi ya nchi fulani ili kupata viza ? Basi fahamu kuwa baadhi ya watu duniani, usumbufu huo wanausikia TikTok. Pasipoti zao zinatosha kuingia katika nchi mbalimbali.  Pasipoti ni hati ya kusafiria ambayo humwezesha raia wa taifa moja kuingia taifa lingine kwa shughuli mbalimbali ikiwemo kazi, biashara, utalii au hata kula bata tu. Licha ya kum...

FIFA kuuza kipande cha nyasi uwanja wa fainali za kombe la dunia kwa Sh1 milioni 18.07.2026

Mbio za fainali za Kombe la Dunia zinaendelea kuchanja mbuga huku mashabiki wa nyota wa soka Lionel Messi wakiendelea kutembea kifua mbele mara baada ya timu wa taifa ya Argentina kufanikiwa kumng’oa mwingereza kwa bao moja kwa mbili kwenye hatua ya nusu fainali. Hata hivyo kivumbi na jasho kinatarajiwa kuonekana siku ya Jumapili Julai 19, 2026 ambapo kidume wa mashindano haya makubwa zaidi ya mic...

Mambo ya kuzingatia kabla kuwasha gari asubuhi 15.07.2026

Je! Unafahamu kuwa asilimia kubwa ya watu wanaoharibikiwa magari yao na kutumia gharama kubwa kufanya matengenezo hutokana na kupuuzia dalili za tatizo husika au kutofanya uchunguzi wa gari yake mara kwa mara? Huenda nawe ni miongoni mwa wasiojua nini wanatakiwa kufanya kabla ya kuwasha gari, oondoa shaka. Kupitia makala haya utaweza kufahamu ni nini hasa unatakiwa kufanya kabla ya kuwasha gari ya...

Wanasoka 5 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani 14.07.2026

Wakati macho ya dunia yakielekezwa kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026, vita kubwa haipo tu uwanjani katika kusaka ushindi, mabao na taji, bali pia nje ya uwanja ambako nyota wa soka wanaendelea kuvuna mabilioni ya fedha kupitia mishahara, bonasi na mikataba ya matangazo. Kwa mujibu wa jarida la Forbes la nchini Marekani, wachezaji 11 wanaoshiriki Kombe la Dunia la mwaka huu wameingiza kwa pamoj...

AHUENI BEI YA MAFUTA KUSHUKA 02.07.2026

Huenda watumiaji wa vyombo vya moto nchini Tanzania wakashuhudia ahueni kiduchu mara baada ya bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Julai kushuka kulinganisha na ile iliyokuwa ikitumika mwezi Juni. Taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Julai Mosi, 2026 inabainisha kuwa bei hizo zimepungua kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta katika...

Wizara tano zilizoidhinishiwa fedha nyingi mwaka wa fedha 2026/27 30.06.2026

 Wakati Bunge la 13 likikaribia kufunga shughuli zake, wizara 27 pamoja na Serikali Kuu zimehitimisha mchakato wa kuwasilisha na kupitisha bajeti zao, hatua inayoweka msingi wa kuanza kwa mwaka mpya wa fedha 2026/27 Wizara hizo zilianza rasmi kuwasilisha bajeti zao Aprili 1, mwaka huu na kuhitimisha Juni 2, 2026, ikifuatiwa na Bajeti Kuu ya Serikali iliyoidhinishiwa Sh62.33 trilioni Juni 11,2026 k...

Part 1: Magari 10 yanayotumia mafuta kidogo 18.05.2026

Huenda una ndoto ya kumiliki gari kali lenye muonekano wa kifahari, injini kubwa na nguvu barabarani. Pamoja na ndoto hiyo kubwa ila huna uhakika iwapo utaendelea kuwa na kipato cha kulihudumia muda wote.  Wasiwasi wako juu kulihudumia gari ni dhahiri kutokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli hususan miaka ya hivi karibuni.  Yafuatayo ni magari 10 yanayotumia kiwango kidogo cha ma...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 6 24.03.2026

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko l...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 5 24.03.2026

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko l...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA |EP 4 22.03.2026

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko l...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA |EP 3 21.03.2026

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko l...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 2 20.03.2026

SEHEMU YA 2| EPSODE 2. Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandao...

JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMIMILIONI YA WATANZANIA MTANDAONI | EP 1 11.03.2026

SEHEMU YA 1 | EPSODE 1. Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua. Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja. Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtanda...

AI: jinamizi lingine elimu ya juu Tanzania? 24.12.2025

Katika episode hii ya Nukta the Podcast, tunajadili kwa kina namna teknolojia ya akili bandia (Artificial Intelligence – AI) inavyozidi kutumika katika vyuo vikuu nchini Tanzania na mjadala unaoibuka kuhusu athari zake kwa elimu ya juu. Kupitia mahojiano na wahadhiri, wanafunzi, wataalamu wa saikolojia na teknolojia, mjadala huu unaangazia pande zote mbili za AI kama nyenzo ya kurahisisha ujifunza...

VITA YA MAJI ILIVYOLETA UMOJA KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA MOROGORO 17.06.2025

Katika episode hii tutaangazia jinsi tatizo la maji Ilivyowaunganisha wakulima na wafugaji Kilosa. Hapa utasikia simulizi ya wafugaji na wakulima waliokuwa maadui kutokana na mgogoro wa maji walivyogeuka marafiki baada ya kumfahamu adui wao wa kweli. Kama nilivyoeleza katika episode ya kwanza mimi na producer wangu tulipata wasaa wa kuzunguka baadhi ya vijiji vya wilaya za Kilombero, Kilosa na Mor...

HATARI INAYOUKABILI MTO NGERENGERE 15.06.2025

Hujambo msikilizaji wa Nukta the Podcast, karibu katika mfululizo wa episode zetu maalumu zinazoangazia Usimamizi wa rasilimali maji pamoja na mazingira katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.  Katika sehemu hii tutamulika hatari inayoukabili Mto Ngerengere uliopo mkoani Morogoro kutokana na uchafuzi unaofanywa wa mto huo. Pia tutachambua hatua zilizochukuliwa na zinazotakiwa kuchukuliwa ili kuu...

Wafahamu watu 10 tajiri zaidi duniani 2025 24.03.2025

Ukuaji wa  teknolojia  umeendelea kuchochea ongezeko la utajiri duniani jambo ambalo limesababisha watu waliowekeza katika sekta hiyo kuendelea kujikusanyia ukwasi na kutawala orodha ya watu wenye ukwasi mwingi zaidi duniani. Orodha ya watu matajiri duniani ya mwaka 2025 inayotolewa na Jarida la  Forbes  la nchini Marekani inaonesha chanzo cha utajiri wa watu 10 matajiri zaidi ni uwekezaji katika...

VITA YA MAJI ILIVYOLETA AMANI NA MSHIKAMANO KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA KILOSA 05.10.2024

Katika episode hii tutaangazia jinsi tatizo la maji Ilivyowaunganisha wakulima na wafugaji Kilosa. Hapa utasikia simulizi ya wafugaji na wakulima waliokuwa maadui kutokana na mgogoro wa maji walivyogeuka marafiki baada ya kumfahamu adui wao wa kweli. Karibu twende nami mpaka mwisho wa episode hii.

SCRAMBLE FOR WATER RESOURCES 30.09.2024

This is the part of the three episodes that we have produced after visiting several districts in Morogoro region, eastern Tanzania meeting with farmers, livestock keepers, environmentalists, factory owners and government officials.  In this first episode we will hear about how pastoralists fight for water resources in Eastern Tanzania due to the increase in demand of water amid ongoing decline of...

Restoration of Lake Manyara Tilapia remains an uphill duty 20.05.2024

Join Daniel Samson to explore in detail about endangered Manyara Tilapia in Lake Manyara. Stocks of Manyara tilapias have plummeted to alarmingly low levels in recent decades due to unsustainable fishing.  The International Union for Conservation of Nature (IUCN) Red List of Threatened Species Report 2006 shows that the area of occurrence of the fish, which previously accounted for 73.6% of the to...

From sunlight to harvest: How solar energy brings hopes to farmers in Iringa 17.03.2024

For decades, farmers in Lupembe Lwa Senga village in Iringa region had relied on the traditional farming system for their livelihoods. Apart from using hand hoes, animal plows, they would wait for the rain to irrigate their crops.   For small plots like gardens, they would use buckets or recently fuel-powered water pumps for irrigation.  “We started irrigation farming as a group in1999, by that ti...

Hallgasd a(z) Nukta the Podcast podcastot a Replaióban

Rádió és podcastok egy alkalmazásban - ingyen és regisztráció nélkül. Telepítsd még ma, és ne maradj le a premierről

Letöltés a Google Play-ről

A Replaio nem podcastkiadó; a műsorok nevei, borítóképei és hanganyagai a szerzőiket illetik, és nyilvános RSS-csatornákon keresztül terjednek.