SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1023 epizód

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Mindenképp látogasd meg a podcast oldalát, és támogasd a készítőjét: www.sbs.com.au

Szerző

SBS

Kategória

News

A podcast weboldala

www.sbs.com.au

Legutóbbi epizód

2026. okt. 8.

Hol hallgathatod?

Podcastok az alkalmazásban Replaio Radio Hamarosan

A podcastok hamarosan megérkeznek az alkalmazásba. Telepítsd most, és láss elsőként egy teljesen új megközelítést a podcastokhoz

Letöltés a Google Play-ről Telepítsd ingyen Android közel 10 M letöltés · 4,8-as értékelés iOS hamarosan

Epizódok

Taarifa ya Habari:Kikosi maalum cha polisi kuzinduliwa kufuatia tukio la fukwe ya Bondi 08.10.2026

Jeshi la Polisi la New South Wales limesema timu mpya ya wataalamu, itaanza mazoezi ya mafunzo ya umma, kama sehemu ya kukabiliana na shambulio baya la fukwe ya Bondi ambalo liliua watu 15 Desemba iliyopita.

Yaliyojiri Afrika:Hali ya wasiwasi yaendelea mjini Mekelle baada ya waasi wa TPLF kuondoka 06.10.2026

Vikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Ethiopia vimeingia mjini Mekelle, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya waasi wa TPLF kutangaza kuondoka kufuatia mapigano yaliyozuka hivi karibuni.

Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi 06.10.2026

After receiving a fine for not wearing his motorbike helmet correctly, Hugo decides to have the matter heard in court. His story explains how Parliament, government and the courts have different roles, and how some official decisions can be questioned. - Baada ya kupewa faini kwa kutovaa kofia ya pikipiki ipasavyo, Hugo anaamua kulifikisha suala hilo mahakamani. Hadithi yake inaeleza jinsi Bunge,...

Taarifa ya Habari:Mweka Hazina aashiria kupunguzwa kwa matumizi katika bajeti mpya ya shirikisho mwezi Desemba 06.10.2026

Mweka Hazina anaashiria kupunguzwa kwa matumizi katika bajeti mpya ya shirikisho mwezi Desemba, huku mfululizo wa ongezeko la viwango vya riba ukishindwa kuleta mfumuko wa bei ndani ya kiwango kinacholengwa cha Benki ya Hifadhi.

Nani hasa anaiendesha Australia, na una nafasi gani humo | Jinsi Australia Inavyofanya kazi 28.09.2026

Je, unajua nani anaweza kusaidia kuhusu kibali cha biashara, tatizo la upangaji nyumba, au msaada wa kifamilia? Kupitia hadithi za Fedele, Carol na Abeer, fahamu jinsi ngazi tatu za serikali nchini Australia zinavyofanya kazi. Jua majukumu ya serikali za mitaa, serikali za majimbo au maeneo ya utawala, na serikali kuu (ya shirikisho), pamoja na mahali pa kupata msaada. "How Australia Works" ni pod...

Uko tayari ndani ya mfumo | Jinsi Australia inavyofanya kazi 28.09.2026

Je, serikali, sheria, na huduma za umma za Australia huathirije maisha yako ya kila siku? Kupitia matukio halisi, sehemu hii ya utangulizi ya mfululizo huu inakuonyesha pa kuanzia unapohitaji taarifa na msaada, pamoja na jinsi ya kupinga uamuzi. "How Australia Works" ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo ya wazi kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia...

Travelling safely in rural and remote Australia - Australia Yafafanuliwa:Kusafiri kwa usalama katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali nchini Australia 28.09.2026

Australia is a vast and diverse country to explore, but driving in rural and remote areas can involve conditions you may not encounter in cities. Knowing what to expect and how to prepare can help you travel more safely and confidently. - Australia ni nchi kubwa na yenye mambo mengi ya kuvutia ya kugundua, lakini kuendesha gari katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali kunaweza kuhusisha hali amba...

Mh Dkt Kosgei"Walemavu hawahitaji huruma, wanahitaji kulindwa kulingana na sheria na katiba ya Kenya" 25.09.2026

Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mjumbe aliyeteuliwa katika bunge la Kenya.

Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho yazingatia hatua zakisheria dhidi ya shirika la OpenAI kwa uvujaji wa taarifa za Medicare 25.09.2026

Serikali ya Shirikisho inasema inazingatia hatua za kisheria dhidi ya OpenAI, baada ya mmoja wa mawakala wake kukiuka mfumo wa Medicare wa Australia mnamo Juni, wakati wa tathmini ya ndani ambapo mifumo yake ilikuwa ikitafiti matumizi ya matibabu ya umma.

Albert Mwangi Kuhusu African Australia film fest web 25.09.2026

Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.

Noel"ripoti hii ina ushahidi wamambo mazuri tunayo fanya kuliko wanasiasa na vyombo vya habari vinavyo sema" 25.09.2026

Shirika la African Australian Advocacy Centre (AAAC), lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.

Dkt Jane "kuna wakati ukienda dukani mlinzi anakufuata fuata, tofauti na wateja wengine ambao si weusi" 22.09.2026

Shirika la African Australian Advocacy Centre, lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.

Taarifa ya Habari:Wachumi wasema ripoti ya Serikali kuhusu Vizazi inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo 22.09.2026

Wanauchumi wanasema kuwa Ripoti ya hivi karibuni ya Serikali kuhusu Vizazi (Intergenerational Report) inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo.

Harrison "inabidi tupeleke tamasha hili katika zingine za kanda hili" 22.09.2026

Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.

Taarifa ya Habari: Wito watolewa kutokomeza unyanyasaji wa nyumbani nchini Australia 21.09.2026

Ripoti mpya kati ya vizazi imetolewa leo, ikionyesha athari za bajeti ya serikali na mitazamo ya uchumi katika miongo minne ijayo. Naibu Kamishna wa Polisi wa New South Wales Peter McKenna anasema matukio manne tofauti yanayodaiwa kuwa ya unyanyasaji wa nyumbani mwishoni mwa wiki iliyopita yanaonyesha uzito wa janga hilo nchini Australia. Katika tukio lililo ripotiwa katika eneo la Blue Mountains,...

Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya" 18.09.2026

Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli za mashirika yakiraia katika maeneo mbalimbali nchini Kenya.

Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii 18.09.2026

Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji, ambayo inaimarisha sheria kwa wanafunzi wa kimataifa na watu ambao wako nchini kwa likizo, inalenga wanao baki nchini zaidi ya muda wa viza zao na wanaohama kutoka viza moja hadi nyingine, na inawapa kipaumbele wafanyakazi wenye ujuzi katika sekta muhimu.

SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani 18.09.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani?

Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii 18.09.2026

Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.

Taarifa ya Habari:Wanafunzi wakimataifa kukabiliwa kwa mkakati wa uhamiaji, wenye sheria kali 17.09.2026

Serikali ya shirikisho ime tangaza mabadiliko makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Australia, ikiimarisha sheria kuhusu ni nani anayeweza kuja nchini na ni nani anayeweza baki nchini. #sbsaudiopodcast

Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza 17.09.2026

Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.

What are Indigenous Protected Areas in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Maeneo Yaliyolindwa yawatu wa Asili nchini Australia ni yapi? 15.09.2026

National parks, nature reserves, marine sanctuaries and Indigenous Protected Areas protect different environments and operate under different rules. What makes an Indigenous Protected Area different, and how can you find out whether you are welcome to visit? - Hifadhi za taifa, hifadhi za asili, hifadhi za baharini na Maeneo Yaliyohifadhiwa ya Wenyeji hulinda mazingira tofauti na hufanya kazi chin...

Taarifa ya Habari:Mageuzi ya sheria kuwasilishwa bungeni,kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma 15.09.2026

Kifurushi cha mageuzi ya sheria kitawasilishwa katika Bunge la Shirikisho leo, ili kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma, uwekezaji na biashara zinazotumika kuunga mkono mauaji ya kimbari, uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na uvamizi haramu.

Yaliyojiri Afrika:Kamati itakayo fanyia kazi mchakato wa maridhiano ya kisiasa Zanzibar yazinduliwa 15.09.2026

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amezindua Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kati ya vyama vya CCM na ACT-Wazalendo, uteuzi huo wa wajumbe 10 unaashiria hatua mpya katika mchakato wa maridhiano ya kisiasa Zanzibar.

Prostate cancer in Australia: Testing, treatment and support - Australia Yafafanuliwa:Saratani ya tezi dume nchini Australia: Upimaji, matibabu na usaidizi 15.09.2026

About one in five Australian men will be diagnosed with prostate cancer in their lifetime. Understanding the prostate, your risk and the options for testing can help with early detection and treatment. In this episode of Australia Explained, learn about prostate cancer, PSA testing, treatment and support. - Karibu mwanaume mmoja kati ya watano wa Australia atagunduliwa ana saratani ya tezi dume ka...

Hallgasd a(z) SBS Swahili - SBS Swahili podcastot a Replaióban

Rádió és podcastok egy alkalmazásban - ingyen és regisztráció nélkül. Telepítsd még ma, és ne maradj le a premierről

Letöltés a Google Play-ről

A Replaio nem podcastkiadó; a műsorok nevei, borítóképei és hanganyagai a szerzőiket illetik, és nyilvános RSS-csatornákon keresztül terjednek.