SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1027 epizód

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Mindenképp látogasd meg a podcast oldalát, és támogasd a készítőjét: www.sbs.com.au

Szerző

SBS

Kategória

News

A podcast weboldala

www.sbs.com.au

Legutóbbi epizód

2026. okt. 9.

Hol hallgathatod?

Podcastok az alkalmazásban Replaio Radio Hamarosan

A podcastok hamarosan megérkeznek az alkalmazásba. Telepítsd most, és láss elsőként egy teljesen új megközelítést a podcastokhoz

Letöltés a Google Play-ről Telepítsd ingyen Android közel 10 M letöltés · 4,8-as értékelés iOS hamarosan

Epizódok

Taarifa ya Habari 20 Mei 2025 20.05.2025

Jimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Jumanne 20 Mei 2025.

Watu wakujitolea wana jukumu kubwa nchini Australia, ila idadi yao inapungua 20.05.2025

Wiki ya kitaifa yakujitolea ime anza, ita kuwa kuanzia 19 Mei hadi 25 Mei 2025.

Taarifa ya Habari 16 Mei 2025 16.05.2025

Kiongozi wa Upinzani wa Shirikisho Sussan Ley, amesema kuungana tenana wanawake itakuwa kipaumbele chake kama kiongozi wa Upinzani wa shirikisho.

Jeremiah "wahafidhina wanastahili acha kutumia Biblia kutafuta kura zetu" 14.05.2025

Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.

Taarifa ya Habari 13 Mei 2025 13.05.2025

Sussan Ley ame chaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Liberal. Bi Ley alikuwa Naibu Kiongozi wa chama hicho cha Liberal, alimshinda mpinzani wake mwekahazina kivuli Angus Taylor, katika kura yakumchagua kiongozi mpya muda mfupi ulio pita mjini Canberra.

Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje? 13.05.2025

Tanya Plibersek ame shushwa cheo nakupewa wizara ya Huduma za Jamii, wakati Anthony Albanese anatangaza baraza lake la mawaziri, atakao fanya kazi nao katika muhula wake wa pili serikalini.

Taarifa ya Habari 9 Mei 2025 09.05.2025

Anthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku wachagua viongozi wao wapya.

Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest 09.05.2025

Adam Bandt amekubali ameshindwa nakupoteza kiti chake cha Melbourne bungeni, katika matokeo ambayo yame acha chama cha Greens bila kiongozi.

Taarifa ya Habari 8 Mei 2025 08.05.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema mtazamo wa mhula wa pili wa serikali ya Labor, utakuwa kuimarisha mahusiano na washiriki walio ng’ambo, kuhakikisha utulivu wa kiuchumi nyumbani.

Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia 08.05.2025

Wanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.

Chama cha Greens cha kabiliana na matokeo yakukatisha moyo katika uchaguzi wa shirikisho 06.05.2025

Chama cha Greens kina onekana kuwa na viti vichache zaidi ndani ya nyumba ya chini baada ya matokeo ya uchaguzi wa shirikisho wa wikendi iliyo pita ila, wanaweza shikilia usawa wa mamlaka ndani ya Seneti.

Taarifa ya Habari 6 Mei 2025 06.05.2025

Anthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake kilishinda viti 86 bungeni.

Albanese ashinda uchaguzi wa Shirikisho 2025 03.05.2025

Chama cha Labor kime shinda uchaguzi wa shirikisho wa 2025 na, kita unda serikali.

Taarifa ya Habari 2 Mei 2025 02.05.2025

Uchambuzi mpya umetabiri Upinzani wa mseto utapitia uzoefu mubaya zaidi wa matokeo katika muda wa miaka 80 katika uchaguzi mkuu wa kesho.

Uchaguzi wa Shirikisho 2025- mazuri, mabaya na maswala ya kukera kutoka wiki tano zilizo pita 02.05.2025

Kampeni za uchaguzi wa shirikisho wa 2025 zina karibia tamati.

How to vote in the federal election  - Jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho 01.05.2025

On election day the Australian Electoral Commission anticipates one million voters to pass through their voting centres every hour. Voting is compulsory for everyone on the electoral roll, so all Australians should familiarise themselves with the voting process before election day. - Siku ya uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Australia inatarajia wapiga kura milioni moja, watapita katika vituo vya kupig...

Taarifa ya Habari 29 Aprili 2025 29.04.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese ana fanya kampeni katika eneo bunge la chama cha Greens la Griffith, chama cha Labor kikiwa na matumaini yakushinda eneo bunge hilo la ndani ya Brisbane.

Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia 29.04.2025

Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.

Taarifa ya Habari 28 Aprili 2025 28.04.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametumia ziara katika shirika linalo toa makaazi ya jumuiya katika eneo la Central Coast jimboni, New South Wales kutangaza ahadi ya uchaguzi yenye thamani ya $20 milioni kwa kituo kipya cha kuondoa kiwewe cha wanawake na watoto.

SBS Learn Eng pod 35 Jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini #2 23.04.2025

Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini?

Taarifa ya Habari 22 Aprili 2025 22.04.2025

Zaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka 88, baada yaku kumbwa kwa kiharusi na mshtuko wa moyo.

Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu 22.04.2025

Katika mwaka wa 2023, Tume ya Kifalme ilipata kuwa watu wenye ulemavu wali kabiliwa kwa visa vya kubaguliwa nakutengwa, pamoja na vurugu, kunyanyaswa na, unyonywaji na kupuuzwa.

Taarifa ya Habari 15 Aprili 2025 15.04.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali madai kuwa sera ya nyumba ya chama chake, ita ongeza bei za nyumba.

Msamaha wa Rais Tshisekedi kwa wafungwa wafanya raia wa Rubero kuishi kwa wasiwasi 15.04.2025

Raia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru.

Taarifa ya Habari 11 Aprili 2025 11.04.2025

Waziri Mkuu amekabiliana na maswali kuhusu uwezekano wa mkataba wa manowari ya Australia na Marekani pamoja na Uingereza, kufuatia utoaji wa ushuru wa Marekani ambao ume tikisa dunia nzima.

Hallgasd a(z) SBS Swahili - SBS Swahili podcastot a Replaióban

Rádió és podcastok egy alkalmazásban - ingyen és regisztráció nélkül. Telepítsd még ma, és ne maradj le a premierről

Letöltés a Google Play-ről

A Replaio nem podcastkiadó; a műsorok nevei, borítóképei és hanganyagai a szerzőiket illetik, és nyilvános RSS-csatornákon keresztül terjednek.