SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1027 epizód

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Mindenképp látogasd meg a podcast oldalát, és támogasd a készítőjét: www.sbs.com.au

Szerző

SBS

Kategória

News

A podcast weboldala

www.sbs.com.au

Legutóbbi epizód

2026. okt. 9.

Hol hallgathatod?

Podcastok az alkalmazásban Replaio Radio Hamarosan

A podcastok hamarosan megérkeznek az alkalmazásba. Telepítsd most, és láss elsőként egy teljesen új megközelítést a podcastokhoz

Letöltés a Google Play-ről Telepítsd ingyen Android közel 10 M letöltés · 4,8-as értékelés iOS hamarosan

Epizódok

Mkutano wa COP30 umekamilika na makubaliano yamefikiwa 25.11.2025

Wajumbe wa mkutano wa COP30 nchini Brazili wamefikia makubaliano ya kushughulikia ongezeko la uzalishaji wa gesi duniani. Makubaliano hayo yanaongeza fedha kwa nchi zinazoathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa, lakini hayana mpango maalum kuhusu mafuta ya kisukuku.

Australia yafafanuliwa:Tamasha ya muziki na utamaduni wa Afrika 25.11.2025

Wikendi iliyopita, jiji la Melbourne liliendelea kungara kwa rangi, muziki na Ladha za barani Afrika wakati wa tamasha la utamaduni wa afrika lililowajumuisha watu kutoka mataifa mbali mbali. Tamasha hilo lililoandaliwa Federation square, liliwaleta Pamoja maelfu ya wakaazi wa Melbourne na wageni kutoka majimbo tofauti, wote wakikusanyika kusherehekea urithi na utambulisho wa Kiafrika.

Australia yafafanuliwa: wanafunzi wa kimataifa waonywa dhidi ya utapeli 25.11.2025

Onyo la dharura limetolewa kwa wanafunzi wa kimataifa wanaoondoka Australia wasiuze akaunti zao za benki na vitambulisho kwa wahalifu. Polisi ya Shirikisho ya Australia inasema kwamba wanafunzi wanapewa 'pesa ya haraka' - lakini kukubali ofa kama hiyo kunaweza kuwahusisha milele na mitandao ya uhalifu.

Australia yafafanuliwa:Afya ya akili katika ujauzito na baada ya kujifungua 24.11.2025

Karibu mmoja kati ya Waustralia wanne hawatafuti msaada wanapopata matatizo ya afya ya akili wakati wa ujauzito au baada ya kujifungua. Wataalamu wanasema kwamba taarifa zilizotolewa na Gidget Foundation zinaonyesha ukosefu wa kuelewa dalili na ishara, pamoja na unyanyapaa unaoendelea kuhusu suala hili.

Taarifa ya habari tarehe 21 Novemba 21.11.2025

Elekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.

Taarifa ya habari tarehe 18 Novemba 21.11.2025

Elekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.

Taarifa ya habari tarehe 14 Novemba 21.11.2025

Elekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.

Taarifa ya habari tarehe 11 Novemba 21.11.2025

Elekea kwenye tovuti yetu katika sbs.com.au/swahili kwa habari na taarifa zaidi.

Yaliyojiri Afrika 21 Novemba 21.11.2025

Jason Nyakundi anatujuza yaliyojiri Afrika

Yaliyojiri Afrika 18 Novemba 21.11.2025

Jason Nyakundi anatujuza yaliyojiri Afrika

Yaliyojiri Afrika 14 Novemba 21.11.2025

Jason Nyakundi anatujuza yaliyojiri Afrika

Yaliyojiri Afrika 11 Novemba 21.11.2025

Jason Nyakundi anatujuza yaliyojiri Afrika

Yaliyojiri Afrika 7 novemba 21.11.2025

Jason Nyakundi anatujuza yanayojiri Afrika.

Tahadhari kwa wanaohitimu shule 21.11.2025

Kadri maelfu ya vijana wanaposherehekea kumaliza Mwaka wa 12, wanakumbushwa juu ya hatari zinazokuja na unywaji pombe, hasa nje ya nchi. Wazazi na marafiki wa waathiriwa wa sumu ya methanol, Bianca Jones na Holly Bowles, wamejiunga na juhudi mpya za usalama, wakiwatia moyo wasafiri vijana kuchukua maamuzi salama zaidi.

Programu za kufunza watu wazima kusoma na kuandika 21.11.2025

Mmoja kati ya Waaustralia watano, au takriban watu wazima milioni tatu, wana kiwango cha chini cha ujuzi wa kusoma na kuandika au hesabu - na hii inaweza kuwa na athari kubwa katika jinsi watu wanavyoweza kushiriki maisha ya kila siku. Programu zimewekwa kote nchini kusaidia watu kuboresha ujuzi wao na kufikia malengo yao ya maisha. Ikiwemo moja huko Tasmania, ikiwasaidia watu wazima kuwa tayari k...

Watu wa asili kwenye hatihati ya kutoweka Brazil 18.11.2025

Shirika lisilo la faida linasema karibu nusu ya jamii za Wenyeji wanaoishi mbali na ulimwengu wanakabiliwa na kutoweka ndani ya muongo kutokana na ukataji miti, uchimbaji wa madini na utalii. Survival International wanasema wanataka ulimwengu - hususan serikali na viwanda - kutambua na kushughulikia tatizo hili kama dharura ya kimataifa.

Uzalishaji wa Net Zero nchini Australia 18.11.2025

Muungano umeidhinisha rasmi kuondoa lengo la kutofikia uzalishaji wa gesi chafu katika mkutano wa chumba cha chama huko Canberra. Zaidi ya hayo, Liberals na Nationals wamefunua mpango wa kuondoa mabadiliko ya tabianchi kutoka kwenye orodha ya malengo ya mdhibiti wa nishati ya kitaifa, huku wakiapa kuendelea kupunguza uzalishaji kwa kufuatilia maendeleo ya nchi nyingine.

Maumivu ya wanawake kutiliwa maanani zaidi 14.11.2025

Serikali ya Victoria imetoa ripoti ya mwisho ya uchunguzi kuhusiana na uzoefu wa wanawake katika suala la maumivu - na ni taarifa inayosumbua kusoma. kutokana na uzoefu wa wanawake na wasichana 13,000, ripoti hiyo imebaini mapengo katika huduma za afya kwa jinsia, upendeleo katika matibabu, ubaguzi wa kijinsia, na hisia za kupuuzwa au kutopingwa na wataalamu wa afya zinazoenea katika mfumo wa afya...

Maandamano ya kikundi cha NSN uliwezaje kuruhusiwa kufanyika 14.11.2025

Maandamano ya neo-Nazi mbele ya bunge la New South Wales yamezua mshtuko katika jamii za Kiyahudi na za tamaduni mbalimbali huko Sydney. Serikali ya jimbo hilo imekashifiwa baada ya kufichuliwa kwamba tukio hilo liliendelea na idhini kutoka kwa Polisi wa New South Wales. Je, ni vipi maandamano haya ya neo-Nazi yalipewa kibali cha kufanyika mwanzoni?

Mazungumzo kuhusu African Youth Summit 2025 14.11.2025

Mkutano wa kwanza wa African Youth Summit uliandaliwa na kufanyika mwaka huu, na mratibu wa vijana aliyehudhuria anajiunga nasi kuzungumzia mada ya mkutano huo.

Idadi ya watoto wa mataifa ya kwanza gerezani yazua tashwishi 11.11.2025

Serikali ya majimbo na maeneo nchini Australia zitachunguzwa kama sehemu ya uchunguzi wa bunge kuhusu matokeo na athari za kifungo kwa vijana. Kati ya maswala ya kuzingatia katika uchunguzi huu ni Kuzidishwa kwa kufungwa kwa watoto wa Mataifa ya Kwanza.

Serikali kudhibiti mitandao ya kijamii kuanzia desemba 11.11.2025

Mtandao wa Reddit na jukwaa la Kick zitaongezwa kwenye majukwaa yanayohitajika kuzuia watumiaji walio na umri chini ya miaka 16, sheria mpya zitakapoanza kutekelezwa mwezi Desemba. Marufuku ya Australia ya mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 16, ambayo inajumuisha majukwaa nane kuu, inategemea tathmini zinazoendelea za eSafety ambazo zinaweza kufafanua kati ya huduma za mitandao ya kijam...

Viza ya milioni moja kutolewa nchini Australia 11.11.2025

Australia inatarajia kutoa kibali cha kila kudumu ama permanent humanitarian visa , cha milioni moja tangu kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mwisho wa mwaka huu. Hatua hii imewezesha sherehe juu ya mchango mkubwa ambao wakimbizi hufanya katika hadithi ya kitaifa ya Australia. Lakini mashirika ya haki za wakimbizi yanasema ni wakati muafaka kufikiria jinsi Australia inaweza kuboresha jibu la...

Mfumo wa utoaji wa mayai ya uzazi Australia huenda ukabadilika 11.11.2025

Mahitaji ya mayai ya uzazi yanaongezeka nchini Australia kadiri watu wanavyokumbwa na changamoto za uzazi. Lakini mahitaji ya mayai ni makubwa mno kuliko upatikanaji wao na sasa, wataalamu wanapendekeza Australia ifikirie kubadilisha kanuni zinazohusu utoaji mayai.

Afya ya akili:kupata usaidizi kama mhamiaji 10.11.2025

Wahamiaji wengi wanakumbana na matatizo tofauti wanapojaribu kupata msaada wa afya ya akili. Umoja wa Mataifa unasema kwamba upatikanaji wa huduma za afya ya akili ni haki ya msingi kwa kila mtu , ikiwemo wahamiaji na wakimbizi. Umoja wa Mataifa unasisitiza kwamba wahamiaji mara nyingi wanakabiliwa na changamoto nyingi kama vile msongo wa mawazo, huzuni, kiwewe na ata upweke kutokana na mazingira...

Hallgasd a(z) SBS Swahili - SBS Swahili podcastot a Replaióban

Rádió és podcastok egy alkalmazásban - ingyen és regisztráció nélkül. Telepítsd még ma, és ne maradj le a premierről

Letöltés a Google Play-ről

A Replaio nem podcastkiadó; a műsorok nevei, borítóképei és hanganyagai a szerzőiket illetik, és nyilvános RSS-csatornákon keresztül terjednek.