SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1027 epizód

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Mindenképp látogasd meg a podcast oldalát, és támogasd a készítőjét: www.sbs.com.au

Szerző

SBS

Kategória

News

A podcast weboldala

www.sbs.com.au

Legutóbbi epizód

2026. okt. 9.

Hol hallgathatod?

Podcastok az alkalmazásban Replaio Radio Hamarosan

A podcastok hamarosan megérkeznek az alkalmazásba. Telepítsd most, és láss elsőként egy teljesen új megközelítést a podcastokhoz

Letöltés a Google Play-ről Telepítsd ingyen Android közel 10 M letöltés · 4,8-as értékelés iOS hamarosan

Epizódok

Taarifa ya Habari: Serikali yaamuru familia za wafanyakazi wa ubalozi nchini Israel na Lebanon kuondoka 26.02.2026

Polisi wanaamini kuna watu wengi zaidi wanaohusika, katika utekaji nyara na mauaji ya babu mmoja wa Sydney Chris Baghsarian.

Yaliyo jiri Afrika: Sudan yaikosoa Uganda kwa kumkaribisha mkuu wa RSF Daglo 25.02.2026

Serikali ya Sudan inayoungwa mkono na jeshi imekosoa UIganda kwa kumkaribisha mkuu wa wanamgambo wa RSF Mohamed Hamdan Daglo maarufu kama Hemeti.

Australia Yafafanuliwa: Zaidi ya mtindo: Jinsi mitindo ya Mataifa ya Kwanza inavyokua nchini Australia 24.02.2026

Kama ume ishi kwa muda wowote nchini Australia, labda umegundua jinsi maisha yalivyo na utulivu.

Makala leo: Ubaguzi wa rangi wabainika kuwa umeenea na niwa kimfumo katika vyuo vikuu vya Australia 24.02.2026

Ripoti ya kwanza ya kitaifa kuhusu ubaguzi wa rangi katika vyuo vikuu nchini Australia imegundua kuwa ni tatizo lililo enea na la kimfumo.

How to recover from bushfires - Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka 24.02.2026

Australia’s hot, dry climate and unique landscapes make it one of the most bushfire-prone countries in the world. As climate change drives higher temperatures and drier conditions, we can expect more frequent and more intense bushfires in the future. But once the fire is out, how do you return home safely, find support, and look after yourself? - Hali ya mazingira ya joto, ukavu pamoja na mandhari...

Taarifa ya Habari: Hali mbaya ya hewa yaweka sehemu nyingi nchini katika hali ya tahadhari 24.02.2026

Sehemu nyingi za Australia ziko katika hali ya juu ya tahadhari, hali mbaya ya hewa na mvua zikiendelea kuathiri jamii na kuharibu njia muhimu za usafiri.

Yaliyo jiri Afrika: Wakenya waanza kuwatafuta jamaa wao walio ajiriwa na jeshi la Urusi 21.02.2026

Takriban idadi yawa Kenya 1,000 wameajiriwa kupigania Urusi, kulingana na ripoti ya ujasusi ya Kenya inayoelezea mtandao wa maafisa wahalifu wanaodaiwa kushirikiana na makundi ya biashara haramu ya binadamu.

Makala leo: Wito wa mabadiliko makubwa watolewa baada ya wagonjwa wa afya ya akili kutoroka Sydney 21.02.2026

Serikali ya New South Wales inachunguza mazingira yaliyozunguka kutoroka kwa wagonjwa wawili kutoka hospitali moja, ambao siku chache baadaye walidaiwa kuhusika katika matukio tofauti ambapo watu watatu walifariki.

Makala leo: Waumini wa dini laki Islamu wa anza mfungo wa Ramadan nchini Australia na duniani kote 20.02.2026

Mwezi mtukufu wa Ramadan ume anza, Waislamu kote duniani wakisherehekea Iftar katika siku ya pili ya kipindi cha mfungo.

Taarifa ya Habari: Polisi wamkamata kakake Mfalme Charles 20.02.2026

Andrew Mountbatten-Windsor ameachiliwa huru chini ya uchunguzi baada ya polisi wa Uingereza kumhoji kwa saa muda wa masaa 12 kwa tuhuma za utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma.

SBS Learn Eng Ep 65 Jinsi yakuzungumza kuhusu michezo ya Olimpiki 20.02.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

Taarifa ya Habari: Jamii yawa Islamu nchini katika hali ya tahadhari kubwa 19.02.2026

Ripoti mpya ya kiuchumi inaonya Australia ina elekea kupoteza hadhi yake, kama taifa lenye deni la chini, huku mikopo ya serikali ikifikia viwango ambavyo havija onekana tangu vita vya pili vya dunia.

SBS Learn Eng Ep 103 Namna yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni 18.02.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

Angus Taylor ashinda kura ya uongozi wa upinzani wa shirikisho 17.02.2026

Angus Taylor amechukua uongozi wa chama cha Liberal katika kura ya maamuzi ya chama chake kwa ushindi thabiti wa kura 34 dhidi ya 17 zilizotolewa kwa aliyekuwa kiongozi wake.

Taarifa ya Habari: Sera ya upinzani yakupiga maarufuku baadhi ya wahamiaji kuingia nchini yazua gumzo 17.02.2026

Mbunge wa chama cha One Nation Barnaby Joyce, amesema ni wazi sera ya uhamiaji ya chama chake, ina ungwa mkono na chama cha Liberal, akihoji madai ya baadhi yama seneta wa chama cha Liberal kuwa hawana taarifa kuhusu mpango huo wa uhamiaji.

Yaliyojiri Afrika: Burundi yapewa nafasi ya uwenyekiti AU 17.02.2026

Kuteuliwa kwa Burundi kuwa mwenyekiti wa umoja wa Afrika, kunatarajiwa kuleta tija katika juhudi zakutatuwa migogoro inayo zikabili baadhi ya nchi za jumuia hiyo kutokana na Burundi kuwa na uzoefu katika maswala ya kusimamia amani.

ACCC yadai Coles ilidai ilipunguza bei- lakini haikufanya hivyo 17.02.2026

Shirika la uangalizi la watumiaji la Australia, lina fungulia mashtaka duka la Coles katika mahakama ya shirikisho.

Taarifa ya Habari: Mshtakiwa wa mauaji ya Bondi afikishwa mahakamani 16.02.2026

Mwanaume ambaye ame shtumiwa kwa kushiriki katika shambulizi laki gaidi katika fukwe ya Bondi, amefikishwa mahakamani.

Yaliyojiri Afrika: Upinzani dhidi ya kampuni za USA kupata madini ya DRC waongezeka 13.02.2026

Upinzani dhidi ya mpango waku ruhusu kampuni za Marekani kupata madini muhimu nchini Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, una ongezeka baada ya Rais Tshisekedi kurejea nchini kutoka mkutano wa madini ulio fanyika Marekani wiki iliyopita.

Taarifa ya Habari: Sussan Ley astaafu kutoka siasa 13.02.2026

Kiongozi wa upinzani wa kwanza wa kike nchini Australia Sussan Ley ametangaza kuwa amestaafu kutoka siasa.

Australia yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka 13.02.2026

Hali ya mazingira ya joto na ukavu pamoja na mandhari yakipekee, hufanya Australia iwe mojawapo ya nchi zinazo kabiliwa na moto wa vichaka zaidi duniani.

Taarifa ya habari:Ziara ya rais wa Israel Isaac Herzog, yazua utata 10.02.2026

**ZIARA YA RAISI WA ISRAEL AUSTRALIA YAZUA UTATA HUKU WAANDAMANAJI NA POLISI WAKIKABILIANA KATIKA MAANDAMANO DHIDI YA RAIS HUYO ** SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA KWANZA WA FAMILIA NA UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO WA MATAIFA YA KWANZA. **NA CHAMA CHA LIBERAL BADO LIANENDELEA KUWA NA MZOZO WA UONGOZI WA CHAMA BAADA YA KUGAWANYIKA KWA SIKU 17

Yaliyojiri Afrika:Rwanda haikubali kutishwa na Marekani 10.02.2026

Kwa habari na melezo zaidi, tembelea tovuti ya sbs.com.au.

What actually happened on January 26? - Australia yafafanuliwa:Nini kilifanyika Januari 26? 10.02.2026

January 26 is one of the most debated dates in Australia’s history. Often described as the nation’s birthday, the day marks neither the formal founding of the colony nor the creation of the Commonwealth. Instead, it reflects a layered history shaped by colonisation, political decisions, and ongoing First Nations resistance. Understanding what actually happened on January 26 reveals why the date is...

Makala leo:Australia na Indonesia wasaini mkataba wa usalama 09.02.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese amepongeza makubaliano mapya ya usalama na Indonesia kama mabadiliko muhimu kuelekea ushirikiano wa karibu wa ulinzi kati ya nchi hizi mbili. Hata hivyo, wachambuzi wanaonya kwamba mkataba huo unaweza kuja na gharama kubwa, ikiwezekana kupuuza masuala ya haki za binadamu yanayoendelea huko Papua Magharibi na wasiwasi kuhusu mwelekeo wa kisiasa wa siku zijazo wa serikal...

Hallgasd a(z) SBS Swahili - SBS Swahili podcastot a Replaióban

Rádió és podcastok egy alkalmazásban - ingyen és regisztráció nélkül. Telepítsd még ma, és ne maradj le a premierről

Letöltés a Google Play-ről

A Replaio nem podcastkiadó; a műsorok nevei, borítóképei és hanganyagai a szerzőiket illetik, és nyilvános RSS-csatornákon keresztül terjednek.