SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Mindenképp látogasd meg a podcast oldalát, és támogasd a készítőjét: www.sbs.com.au
Hol hallgathatod?
Podcastok az alkalmazásban Replaio Radio HamarosanA podcastok hamarosan megérkeznek az alkalmazásba. Telepítsd most, és láss elsőként egy teljesen új megközelítést a podcastokhoz
Epizódok
Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño" 09.10.2026 14:31
Australia inajiandaa kwa kile kinachotarajiwa kuwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na tukio linaloitwa "super El Niño" pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa.
Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu 09.10.2026 14:21
Regular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It takes about 20 minutes, once every two years, and it’s an effective way to take charge of our health. Let’s take a closer look at why a breast screen is nothing to be anxious about. - Uchunguzi wa mara kwa mara wa matiti un...
Makala Leo: Mzozo kuhusu ubomoaji wa minara mjini Melbourne wafikishwa katika mahakama kuu 09.10.2026 8:10
Mzozo wa kisheria kuhusu mpango wa Serikali ya Victoria wa kubomoa majengo marefu kadhaa ya makazi ya umma unaelekea katika Mahakama Kuu.
Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya Kenya wahoji maandalizi ya serikali kudhibiti Ebola 09.10.2026 8:37
Baadhi ya wahudumu wa afya nchini Kenya wamehoji kiwango cha maandalizi ya kukabiliana na Ebola, wakisema wafanyakazi walio katika mstari wa mbele hawana mafunzo wala vifaa vya kutosha vya kujikinga.
Taarifa ya Habari:Kikosi maalum cha polisi kuzinduliwa kufuatia tukio la fukwe ya Bondi 08.10.2026 5:39
Jeshi la Polisi la New South Wales limesema timu mpya ya wataalamu, itaanza mazoezi ya mafunzo ya umma, kama sehemu ya kukabiliana na shambulio baya la fukwe ya Bondi ambalo liliua watu 15 Desemba iliyopita.
Yaliyojiri Afrika:Hali ya wasiwasi yaendelea mjini Mekelle baada ya waasi wa TPLF kuondoka 06.10.2026 6:43
Vikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Ethiopia vimeingia mjini Mekelle, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya waasi wa TPLF kutangaza kuondoka kufuatia mapigano yaliyozuka hivi karibuni.
Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi 06.10.2026 6:02
After receiving a fine for not wearing his motorbike helmet correctly, Hugo decides to have the matter heard in court. His story explains how Parliament, government and the courts have different roles, and how some official decisions can be questioned. - Baada ya kupewa faini kwa kutovaa kofia ya pikipiki ipasavyo, Hugo anaamua kulifikisha suala hilo mahakamani. Hadithi yake inaeleza jinsi Bunge,...
Taarifa ya Habari:Mweka Hazina aashiria kupunguzwa kwa matumizi katika bajeti mpya ya shirikisho mwezi Desemba 06.10.2026 11:32
Mweka Hazina anaashiria kupunguzwa kwa matumizi katika bajeti mpya ya shirikisho mwezi Desemba, huku mfululizo wa ongezeko la viwango vya riba ukishindwa kuleta mfumuko wa bei ndani ya kiwango kinacholengwa cha Benki ya Hifadhi.
Nani hasa anaiendesha Australia, na una nafasi gani humo | Jinsi Australia Inavyofanya kazi 28.09.2026 8:37
Je, unajua nani anaweza kusaidia kuhusu kibali cha biashara, tatizo la upangaji nyumba, au msaada wa kifamilia? Kupitia hadithi za Fedele, Carol na Abeer, fahamu jinsi ngazi tatu za serikali nchini Australia zinavyofanya kazi. Jua majukumu ya serikali za mitaa, serikali za majimbo au maeneo ya utawala, na serikali kuu (ya shirikisho), pamoja na mahali pa kupata msaada. "How Australia Works" ni pod...
Uko tayari ndani ya mfumo | Jinsi Australia inavyofanya kazi 28.09.2026 4:13
Je, serikali, sheria, na huduma za umma za Australia huathirije maisha yako ya kila siku? Kupitia matukio halisi, sehemu hii ya utangulizi ya mfululizo huu inakuonyesha pa kuanzia unapohitaji taarifa na msaada, pamoja na jinsi ya kupinga uamuzi. "How Australia Works" ni podikasti ya SBS inayotumia hadithi halisi na maelezo ya wazi kukusaidia kuelewa jinsi serikali inavyofanya kazi nchini Australia...
Travelling safely in rural and remote Australia - Australia Yafafanuliwa:Kusafiri kwa usalama katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali nchini Australia 28.09.2026 14:02
Australia is a vast and diverse country to explore, but driving in rural and remote areas can involve conditions you may not encounter in cities. Knowing what to expect and how to prepare can help you travel more safely and confidently. - Australia ni nchi kubwa na yenye mambo mengi ya kuvutia ya kugundua, lakini kuendesha gari katika maeneo ya vijijini na yaliyo mbali kunaweza kuhusisha hali amba...
Mh Dkt Kosgei"Walemavu hawahitaji huruma, wanahitaji kulindwa kulingana na sheria na katiba ya Kenya" 25.09.2026 12:00
Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mjumbe aliyeteuliwa katika bunge la Kenya.
Taarifa ya Habari:Serikali ya Shirikisho yazingatia hatua zakisheria dhidi ya shirika la OpenAI kwa uvujaji wa taarifa za Medicare 25.09.2026 14:46
Serikali ya Shirikisho inasema inazingatia hatua za kisheria dhidi ya OpenAI, baada ya mmoja wa mawakala wake kukiuka mfumo wa Medicare wa Australia mnamo Juni, wakati wa tathmini ya ndani ambapo mifumo yake ilikuwa ikitafiti matumizi ya matibabu ya umma.
Albert Mwangi Kuhusu African Australia film fest web 25.09.2026 7:55
Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.
Noel"ripoti hii ina ushahidi wamambo mazuri tunayo fanya kuliko wanasiasa na vyombo vya habari vinavyo sema" 25.09.2026 7:23
Shirika la African Australian Advocacy Centre (AAAC), lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.
Dkt Jane "kuna wakati ukienda dukani mlinzi anakufuata fuata, tofauti na wateja wengine ambao si weusi" 22.09.2026 5:23
Shirika la African Australian Advocacy Centre, lili zindua ripoti inayo weka wazi michango yawa Australia wenye asili ya Afrika kwa taifa hili usiku wa Jumamosi 19 Septemba 2026.
Taarifa ya Habari:Wachumi wasema ripoti ya Serikali kuhusu Vizazi inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo 22.09.2026 13:47
Wanauchumi wanasema kuwa Ripoti ya hivi karibuni ya Serikali kuhusu Vizazi (Intergenerational Report) inaonyesha kuwa uchumi utazidi kutegemea ukuaji wa tija katika miongo ijayo.
Harrison "inabidi tupeleke tamasha hili katika zingine za kanda hili" 22.09.2026 12:19
Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema Parramatta, kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.
Taarifa ya Habari: Wito watolewa kutokomeza unyanyasaji wa nyumbani nchini Australia 21.09.2026 5:39
Ripoti mpya kati ya vizazi imetolewa leo, ikionyesha athari za bajeti ya serikali na mitazamo ya uchumi katika miongo minne ijayo. Naibu Kamishna wa Polisi wa New South Wales Peter McKenna anasema matukio manne tofauti yanayodaiwa kuwa ya unyanyasaji wa nyumbani mwishoni mwa wiki iliyopita yanaonyesha uzito wa janga hilo nchini Australia. Katika tukio lililo ripotiwa katika eneo la Blue Mountains,...
Yaliyojiri Afrika: Human Rights Watch "Ukosefu wa uchunguzi wa kina na kufunguliwa mashtaka dhidi yawahusika kunaweza endeleza uhalifu nchini Kenya" 18.09.2026 7:14
Shirika lakutetea haki za binadam la Human Rights Watch lime onya kuwa, makundi ya watu wenye silaha yame endesha mifululizo yamashambulizi dhidi ya mikutano yakisiasa na shughuli za mashirika yakiraia katika maeneo mbalimbali nchini Kenya.
Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji inayo imarisha sheria kwa wanafunzi wakimataifa na watalii 18.09.2026 14:51
Serikali ya shirikisho inatetea hatua yake kali ya uhamiaji, ambayo inaimarisha sheria kwa wanafunzi wa kimataifa na watu ambao wako nchini kwa likizo, inalenga wanao baki nchini zaidi ya muda wa viza zao na wanaohama kutoka viza moja hadi nyingine, na inawapa kipaumbele wafanyakazi wenye ujuzi katika sekta muhimu.
SBS Learn Eng Ep 119 Jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani 18.09.2026 12:06
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mizio ya majani?
Makala Leo:Ukandamizaji wa uhamiaji: Labor yaimarisha sheria za viza kwa wanafunzi na watalii 18.09.2026 13:47
Serikali imefichua mpango wake wa kupunguza uhamiaji halisi wa nje ya nchi hadi watu 225,000 ifikapo 2028, kulingana na utabiri kutoka bajeti ya Mei.
Taarifa ya Habari:Wanafunzi wakimataifa kukabiliwa kwa mkakati wa uhamiaji, wenye sheria kali 17.09.2026 6:27
Serikali ya shirikisho ime tangaza mabadiliko makubwa katika mfumo wa uhamiaji wa Australia, ikiimarisha sheria kuhusu ni nani anayeweza kuja nchini na ni nani anayeweza baki nchini. #sbsaudiopodcast
Mh Dkt Kosgei afunguka kuhusu alipoanza kuamani kuwa ulemavu si kutoweza 17.09.2026 18:42
Mh Dkt Jackson Kosgei ni Askofu mstaafu, na kwa sasa ana hudumu kama mbunge aliyeteuliwa katika bunge la taifa nchini Kenya.
Hasonló podcastok
A Replaio nem podcastkiadó; a műsorok nevei, borítóképei és hanganyagai a szerzőiket illetik, és nyilvános RSS-csatornákon keresztül terjednek.