123 Productions
Siasa Zetu
SIASA ZA TANZANIANeno Siasa linamaana tofauti tofauti kwa kila mtu, wengi wanadhani siasa ni dhana ya kujihusisha na uongozi wa nyazifa mbali mbali za serikali. Lakini inawezekana tusichokijua ni kwamba Siasa zinagusa kila nyanja za maisha ya Mtanzania, iwe ni uchumi, maisha ya kila siku, michezo, afya, maendeleo ya jamii na kadha wa kadha. Mijadala ya Siasa inahitaji kujadiliwa katika mitazamo tofauti tofauti ili kuelewa athari na faida zake kwenye maisha ya kila siku, hiyo ndiyo kwasababu Siasa Zetu the Podcast inakuletea mjadala na wataalamu, wanasiasa na viongozi mbali mbali kutoa uelewa n...
No dejes de visitar la web del podcast y apoyar a su creador: redcircle.com
Autor
123 Productions
Categoría
Web del podcast
Último episodio
23 de oct. de 2025
¿Dónde escuchar?
Podcasts en la app Replaio Radio Muy prontoLos podcasts llegarán muy pronto a la app. Instálala ahora y sé el primero en descubrir una forma totalmente nueva de vivir los podcasts
Episodios
Siasa na Rushwa 23.10.2025 1:10:59
Katika episode hii ya Siasa na Rushwa ,Bi. Bibie Mssumi na Said Miraj Abdulla wanajadili kuhusu Siasa bora huanza pale tunapochagua uadilifu badala ya tamaa ,Rushwa haijengi taifa inabomoa misingi ya haki na maendeleo ya taifa .Kila mmoja wetu ana wajibu wa kusema hapana kwa rushwa na ndiyo kwa uwajibikaji na uwazi. siasazetu #SiasaNaPropaganda#SiasaNiWananch
SIASA, MAHUSIANO NA MAENDELEO YA KIMATAIFA Ep 05. 27.03.2025 1:36:43
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
ELIMU NA SIASA TANZANIA Ep: 06 Part 02 27.03.2025 1:08:16
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo #ElimunaSiasa
ELIMU NA SIASA TANZANIA Ep.06 part 01 27.03.2025 1:02:38
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo #ElimunaSiasa
MJUE MCHUNGAJI NA MWANASIASA MASHUHURI PETER MSIGWA Ep.07 27.03.2025 1:18:45
Mch. Peter Msigwa ni Mwanasiasa wa Tanzania, Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kwa kipindi cha muda mrefu tangu mwaka 2010. Ingawa alikuwa mwanachama wa CHADEMA awali, alijiunga na chama tawala CCM mnamo Juni mwaka 2024.
SIASA, UWAZI & UWAJIBIKAJI Ep: 09 27.03.2025 1:03:32
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Fatma Karume na Thomas Kibwana wanajadili umuhimu wa uwazi na uwajibikaji katika siasa, na jinsi unavyochangia kutimiza malengo ya taifa na jamii kwa ujumla. Wote wanakubaliana kwamba uwazi katika utawala ni nguzo muhimu katika kujenga imani ya wananchi kwa viongozi wao na kuhakikisha kuwa rasilimali za taifa zinatumika kwa ufanisi na kwa manufaa ya watu wote.
NAFASI YA MWANANCHI KATIKA SIASA Ep 10. 26.03.2025 1:36:33
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Richard mbunda na Herny mwinuka wanajadili kuhusu nafasi muhimu ya mwananchi katika siasa! Humu kuna mijadala mbali mbali kuhusu ushiriki wa mwananchi kwenye uchaguzi, mijadala ya kisiasa, na ufuatiliaji wa utendaji wa serikali.
MCHANGO WA SIASA KATIKA AJIRA Ep 11. 26.03.2025 1:50:02
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Joseph Malekela na Ndolezi Petro wanajadili kuhusu Mchango wa siasa katika ajira ! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyotengeneza sera za kusaidia ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla.
SERA NA SIASA KWA USTAWI WA JAMII Ep 12. 26.03.2025 1:19:05
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Dorcas Fransis na Rahma Mwita wanajadili kuhusu sera na siasa kwa ustawi wa jam ii! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyotengeneza sera za kuhakikisha kila mwananchi ana haki ya kuchangia mawazo katika kukuza taifa .
SIASA, TEKNOLOJIA NA UCHAGUZI Ep 13. 26.03.2025 1:38:24
Katika episode hii ya Siasa Zetu, Pascal Sulley na Lusungu Mubofu wanajadili kuhusu Siasa,Teknolojia na Uchaguz ! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyohamasisha uvumbuzi kwa kutoa ruzuku na sera zinazosaidia maendeleo ya teknolojia.
Siasa na Propaganda Ep 08. 28.11.2024 1:08:43
Je, unafahamu maana ya propaganda na jinsi inavyotumika katika siasa? #siasazetu #SiasaNaPropaganda.#SiasaNiWananchi
Podcasts similares
Replaio no es editor de podcasts; los nombres de los programas, las portadas y el audio pertenecen a sus autores y se distribuyen a través de canales RSS públicos