fr

123 Productions

Siasa Zetu

SIASA ZA TANZANIANeno Siasa linamaana tofauti tofauti kwa kila mtu, wengi wanadhani siasa ni dhana ya kujihusisha na uongozi wa nyazifa mbali mbali za serikali. Lakini inawezekana tusichokijua ni kwamba Siasa zinagusa kila nyanja za maisha ya Mtanzania, iwe ni uchumi, maisha ya kila siku, michezo, afya, maendeleo ya jamii na kadha wa kadha. Mijadala ya Siasa inahitaji kujadiliwa katika mitazamo tofauti tofauti ili kuelewa athari na faida zake kwenye maisha ya kila siku, hiyo ndiyo kwasababu Siasa Zetu the Podcast inakuletea mjadala na wataalamu, wanasiasa na viongozi mbali mbali kutoa uelewa n...

N'hésitez pas à visiter le site du podcast et à soutenir son créateur : redcircle.com

Auteur

123 Productions

Catégorie

News

Site du podcast

redcircle.com

Dernier épisode

23 oct. 2025

Où écouter ?

Les podcasts dans l'appli Replaio Radio Bientôt disponible

Les podcasts arrivent très bientôt dans l'appli. Installe-la dès maintenant et découvre en avant-première une toute nouvelle façon de vivre les podcasts

Télécharger sur Google Play Installe-la gratuitement Android près de 10 M de téléchargements · note de 4,8 iOS bientôt

Épisodes

Siasa na Rushwa 23.10.2025

Katika episode hii ya Siasa na Rushwa ,Bi. Bibie Mssumi na Said Miraj Abdulla wanajadili kuhusu Siasa bora huanza pale tunapochagua uadilifu badala ya tamaa ,Rushwa haijengi taifa inabomoa misingi ya haki na maendeleo ya taifa .Kila mmoja wetu ana wajibu wa kusema hapana kwa rushwa na ndiyo kwa uwajibikaji na uwazi. siasazetu #SiasaNaPropaganda#SiasaNiWananch

SIASA, MAHUSIANO NA MAENDELEO YA KIMATAIFA Ep 05. 27.03.2025

#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo

ELIMU NA SIASA TANZANIA Ep: 06 Part 02 27.03.2025

#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo #ElimunaSiasa

ELIMU NA SIASA TANZANIA Ep.06 part 01 27.03.2025

#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo #ElimunaSiasa

MJUE MCHUNGAJI NA MWANASIASA MASHUHURI PETER MSIGWA Ep.07 27.03.2025

Mch. Peter Msigwa ni Mwanasiasa wa Tanzania, Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kwa kipindi cha muda mrefu tangu mwaka 2010. Ingawa alikuwa mwanachama wa CHADEMA awali, alijiunga na chama tawala CCM mnamo Juni mwaka 2024.

SIASA, UWAZI & UWAJIBIKAJI Ep: 09 27.03.2025

Katika episode hii ya Siasa Zetu, Fatma Karume na Thomas Kibwana wanajadili umuhimu wa uwazi na uwajibikaji katika siasa, na jinsi unavyochangia kutimiza malengo ya taifa na jamii kwa ujumla. Wote wanakubaliana kwamba uwazi katika utawala ni nguzo muhimu katika kujenga imani ya wananchi kwa viongozi wao na kuhakikisha kuwa rasilimali za taifa zinatumika kwa ufanisi na kwa manufaa ya watu wote.

NAFASI YA MWANANCHI KATIKA SIASA Ep 10. 26.03.2025

Katika episode hii ya Siasa Zetu, Richard mbunda na Herny mwinuka wanajadili kuhusu nafasi muhimu ya mwananchi katika siasa! Humu kuna mijadala mbali mbali kuhusu ushiriki wa mwananchi kwenye uchaguzi, mijadala ya kisiasa, na ufuatiliaji wa utendaji wa serikali.

MCHANGO WA SIASA KATIKA AJIRA Ep 11. 26.03.2025

Katika episode hii ya Siasa Zetu, Joseph Malekela na Ndolezi Petro wanajadili kuhusu Mchango wa siasa katika ajira ! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyotengeneza sera za kusaidia ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla.

SERA NA SIASA KWA USTAWI WA JAMII Ep 12. 26.03.2025

Katika episode hii ya Siasa Zetu, Dorcas Fransis na Rahma Mwita wanajadili kuhusu sera na siasa kwa ustawi wa jam ii! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyotengeneza sera za kuhakikisha kila mwananchi ana haki ya kuchangia mawazo katika kukuza taifa .

SIASA, TEKNOLOJIA NA UCHAGUZI Ep 13. 26.03.2025

 Katika episode hii ya Siasa Zetu, Pascal Sulley na Lusungu Mubofu wanajadili kuhusu Siasa,Teknolojia na Uchaguz ! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyohamasisha uvumbuzi kwa kutoa ruzuku na sera zinazosaidia maendeleo ya teknolojia.

Siasa na Propaganda Ep 08. 28.11.2024

Je, unafahamu maana ya propaganda na jinsi inavyotumika katika siasa? #siasazetu #SiasaNaPropaganda.#SiasaNiWananchi

Écoute le podcast Siasa Zetu sur Replaio

La radio et les podcasts dans une seule appli - gratuite, sans inscription. Installe-la dès aujourd'hui et ne rate pas le lancement

Télécharger sur Google Play

Replaio n'est pas éditeur de podcasts ; les noms des émissions, les visuels et l'audio appartiennent à leurs auteurs et sont diffusés via des flux RSS publics