RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

News SW ↓ 68 episodios

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

No dejes de visitar la web del podcast y apoyar a su creador: www.rfi.fr

Autor

RFI Kiswahili

Categoría

News

Web del podcast

www.rfi.fr

Último episodio

21 de nov. de 2026

¿Dónde escuchar?

Podcasts en la app Replaio Radio Muy pronto

Los podcasts llegarán muy pronto a la app. Instálala ahora y sé el primero en descubrir una forma totalmente nueva de vivir los podcasts

Descárgala en Google Play Instálala gratis Android 10 M+ de descargas · valoración de 4,7+ iOS muy pronto

Episodios

Kenya kuandaa mashindano ya riadha ya dunia 18.09.2026

Kenya imeteuliwa kuandaa mashinda ya dunia ya riadha. Skiza maoni ya mskilizaji.

DRC : Upinzani wapinga mpango wa serikali kubadili katiba 16.09.2026

Upinzani nchini DRC wapinga mpango wa serikali kurekebisha katiba Shabarikiliza maoni ya mskilizaji .

Kenya : Raia wa Burundi wazidi kuondoka nchini Kenya 16.09.2026

Raia wa Burundi wanaofanya baishara ndogondogo nchini Kenya, wamendelea kuondoka nchini humo kutokana tangazo la rais William Ruto kuwataka wageni kusajili biashara zao. Skiza maoni ya mskilizaji.

EAC : Mvua za El Nino zatarajaiwa 14.09.2026

Darubini yetu  inalenga kanda ya Africa Masharaiki ambapo watalaam wa utabiri wa hali ya hewa wanaonya kuwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, zitashuhudia EL Nino kati ya mwezi Oktoba hadi Desemba, ambako mvua kubwa inatarajiwa kunyesha. Umejiandaa vipi kukabiliana na EL Nino ? Skiza maoni ya mskilizaji.

Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuhamasisha kuzuia visa vya watu kujiuwa. 10.09.2026

Shirika la afya duniani  WHO linasema watu laki 7 na elfu 20 hujitoa uhai kila mwaka. Kujiua ni kati ya sababu tatu kuu ya vifo miongoni mwa vijana wenye umri wa miaka 15–29.

Matumizi ya AI, UN yataka makampuni ya yanayotengeneza teknolojia hiyo kupunguza hatari yake 10.09.2026

Mkuu wa ofisi ya tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa, Volker Turk, hapo jana ameonya kuwa akili unde inaweza kuwa tishio kwa binadam.

Kauli ya Rais wa Kenya William Ruto kuhusu wafanyabiashara wadogowadogo wa kigeni 07.09.2026

Rais akisema wafanyabiashara wa ndani wanahitaji kulindwa. Agizo lake limeibua mjadala kuhusu nafasi ya wageni katika biashara ndogo nchini Kenya.

Maoni ya waskilizaji wiki hii ambapo raisi wa Zambia Hakainde Hichelema aliapishwa 05.09.2026
Vitendo vya utekaji wa wanahabari katika nchi za Afrika Mashariki 05.09.2026
Wafungwa wa kisiasa nchini Tanzania na Uganda wanapambikiziwa kesi? 05.09.2026
Je wosia inaweza kuwa jibu la mizozo kuhusu urithi au mazishi barani Afrika? 02.09.2026
Maoni kuhusu matangazo yetu juma hili 31.08.2026

Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuzungumzia kila ulichoskia kwenye matangazo yetu au yale yanayoendelea hapo ulipo. Skiza makala haya.

Uganda: Muhoozi Kainerugaba kuwania urais mwaka 2031 28.08.2026

Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ambaye pia ni mwana wa rais Yoweri Museveni, ametangaza kuwania urais ifikapo mwaka 2031. Tunakuuliza msikilizaji ,Uganda inaelekea kwenye kizazi kipya cha uongozi au mwendelezo wa utawala wa familia? Skiza maoni ya mskilizaji.

Kigali : Vijana ni viongozi wa leo 26.08.2026

Jukwaa la kubadili mtazamo wa Afrika jijini Kigali  limewataka  vijana wa  Afrika kujitokeza na kubadili mustakabali wa maisha yao badala ya kutegemea viongozi wa sasa.   Tunakuuliza msikilizaji , vijana wana nafasi gani kuleta mabadiliko ya siasa na uchumi? Skiza maoni ya mskilizaji.

EAC : Wiziri wa fedha kupitia simu wazidi 25.08.2026

Nchini Kenya, serikali imesema wizi wa fedha kupitia njia ya simu umeongezeka zaidi mwaka huu ikilinganishwa na miaka ya awali. Kuimarika kwa teknolojia ukitajwa kuwa kichocheo. Je nani anapaswa kuwajibikia pesa za mwananchi zinapoibwa kupitia simu ? Skiza maoni ya mskilizaji.

DRC : Serikali na waasi wa M23 wakubaliana 24.08.2026

Serikali ya DRC na waasi wa AFC/M23 wamebaliana kuhusu mpango wa mazungumzo ya amani, hatua inayotoa nafasi ya kutekelezwa kwa mkataba wa amani wa Doha na Washington, ili kumaliza vita mashariki mwa nchi hiyo. Skiza maoni ya mskilizaji.

Uchaguzi nchini Zambia, upinzani yalalamikia matokeo ya uchaguzi 19.08.2026

Nchini Zambia, Rais Hakainde Hichilema, amechaguliwa kwa muhula wa pili, akimshinda mpinzani wake wa Karibu Brian Mundubile. Hata hivyo kumeshuhudiwa malalamiko ya dosari kadhaa ikiwemo udanganyifu, wizi wa kura na vitisho, mambo yanayoripotiwa wakati wa chaguzi nyingi barani Afrika.s

Kuna uwezekano wa asilimia 81 Afrika kukumbwa na hali ya hewa ya Elnino 18.08.2026

Ripoti ya wataalam wa hali ya hewa imeonya kuwa Afrika inakabiliwa na uwezekano wa aslimia 81 wa kukumbwa na hali ya hewa ya El Nino. Katika ripoti hiyo, eneo la Kusini mwa Afrika linatarajiwa kukumbwa na

Vuguvugu la upinzani nchini DRC C64 kutangaza kufanya maandamano Septemba 15 18.08.2026

Mwishoni mwa juma lililopita, upinzani nchini DRC kupitia vuguvugu la C64 ulitangaza kuwa utafanya maandamano Septemba 15 kupinga mchakato wa marekebisho ya katiba. Tangazo lao walilitoa baada ya muda waliokuwa wameutoa kwa Rais Felix Tshisekedi kuitisha mazungumzo ya kitaifa kupita.

Maoni yako katika makala ya Habari rafiki Mada huru 10.07.2026
DRC: Muungano wa upinzani wa C64 kutangaza kuendelea na maandamano yake ya amani Julai 22 09.07.2026

Tangazo hilo limetolewa licha ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kisiasa na rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika.

Siku ya Kiswahili duniani Juni 07 2026 07.07.2026

Dunia hivi leo inaadhimisha siku ya Kiswahili Duniani, kutambua mchango wa lugha ya Kiswahili katika kuunganisha watu, tamaduni na mataifa mbalimbali, kauli mbiu ikiwa Kiswahili Lugha ya kimataifa ya amani, mshikamano na diplomasia ya kiuchumi.” Siku hii inafanyika wakati pia RFI Kiswahili tunatimiza miaka 16 tangu tulipoanza kurusha matangazo yetu, una ujumbe gani kwetu?

Je, serikali ya Afrika Kusini ilichukua hatua za kutosha kulinda usalama wa raia wa kigeni? 06.07.2026

Wiki iliyopita, maelfu ya raia wa mataifa mbalimbali ya Afrika waliondoka Afrika Kusini kutokana na hofu ya usalama baada ya maandamano yaliyolenga wageni. Baadhi ya nchi zimeikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa kushindwa kudhibiti hali hiyo.

Timu ya DRC ya Leopard yaondolewa na Uingereza kwenye mashindano ya kombe la dunia 03.07.2026
Maandamano ya Afrika Kusini kushinikiza wageni kuondoka yaibua maswali 03.07.2026

Escucha el podcast Habari RFI-Ki en Replaio

Radio y podcasts en una sola app - gratis y sin registro. Instálala hoy y no te pierdas el estreno

Descárgala en Google Play

Replaio no es editor de podcasts; los nombres de los programas, las portadas y el audio pertenecen a sus autores y se distribuyen a través de canales RSS públicos