John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy
DAKA CODE
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!
Autor
John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy
Categoría
Web del podcast
Último episodio
14 de nov. de 2023
¿Dónde escuchar?
Podcasts en la app Replaio Radio Muy prontoLos podcasts llegarán muy pronto a la app. Instálala ahora y sé el primero en descubrir una forma totalmente nueva de vivir los podcasts
Episodios
R Kelly amekutwa na hatia | TikTok imefikisha watumiaji Bilioni 1 | Android 2.3 imefungiwa 28.09.2021 16:13
Story za Siku: - R Kelly amekutwa na hatia - Mahusiano ya The Weeknd na Angelina Jolie - TikTok imefikisha watumiaji Bilioni - Android 2.3 imefungiwa - Spotify inatumia sana charge
NBA Young Boy ametoa Album mpya | Jason Derulo ameachana na mpenzi wake 24.09.2021 8:10
Story za Siku: - NBA Young Boy ametoa Album mpya - Jason Derulo ameachana na mpenzi wake
Tems amekutana na Rihanna | Picha zilizopigwa na iPhone 13 Pro katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Tanzania 23.09.2021 14:00
Story za Siku: - Tems amekutana na Rihanna - Nominations katika tuzo za AFRIMA - Picha zilizopigwa na iPhone 13 Pro katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha - Vifaa vipya vya Microsoft
Birdman amefunguka kuhusu skendo yake na Lil Wayne | iOS 15 imekosa features nyingi katika iPhone za zamani 22.09.2021 14:59
Story za Siku: - Birdman amefunguka kuhusu skendo yake na Lil Wayne - Photographer wa Davido amefariki - J Cole amewataja Rappers anaowakubali - Mabadiliko mengi ya iOS 15 yanakubali katika iPhone za mwaka 2018 na kuendelea tu - Samsung imepata hakimiliki ya aina mpya ya simu ambazo zina uwezo wa kujikunja katika kioo -
Drake Vs Michael Jackson | Style mpya ya kufunga Box za iPhone 13 | Features mpya za Telegram 21.09.2021 18:06
Story za siku: - Drake Vs Michael Jackson - Mjengo mpya wa Kanye West - August Alsina kuacha muziki - Features mpya za Telegram - Style mpya ya kufunga Box za iPhone 13 - TouchID itawekwa ndani ya kioo 2023 - Folding iPhone inategemewa itatoka mwaka 2024
Justin Beiber ameweka rekodi mpya katika Spotify | iOS 15 na mabadiliko yake | Sir. Clive Sinclair 20.09.2021 14:07
Story za leo: - Justin Beiber amefikisha - iOS 15, iPadOS 15 na watchOS 8 zinatoka leo kwa watumiaji wa iPhone, iPads na Apple Watch - RIP Sir Clive Sinclair
Ikulu ya Marekani imemuita Nick Minaj | Waya wa Internet umeonekana katika ufukwe | App za Kupata taarifa za Battery percentage kwa Sauti 17.09.2021 25:38
Story za Siku - Ikulu ya Marekani imemuita Nick Minaj - Waya wa Internet umeonekana katika ufukwe - Chip mpya ya iPhone - A15 Bionic - Microsoft inapanga kuondoa mfumo wa Password - App za kutambua percentage ya Battery kwa kutumia mfumo wa Sauti #MuchThanks
Album mpya ya Meek Mill | WhatsApp inajaribu kuweka Yellow Pages | AMC itaweka uwezo wa watu kununua tiketi kwa Crypto 16.09.2021 14:18
Story za Siku - Album mpya ya Meek Mill - Kanye West na Kim wapo sawa - Lil Nas X alijibu kuhusu ushawishi wake kwa vijana na watoto - WhatsApp inaweka mfumo wa kuonyesha taarifa za maeneo ya karibu - AMC imeruhusu matumizi ya Bitcoin, Litecoin na Ethereum kutumika katika kununua tiketi za online - Spotify inatumia Dislike button kuboresha mfumo wake
Album ya Baby Keem | iPhone 13 | iPad mini | Apple Watch Series 7 15.09.2021 16:01
Story za Siku - Album mpya ya Baby Keem - The Melodic Blue - Ariana Grande alikuwa anavamiwa - Rihanna alivaa kutoa ujumbe - iPhone 13 - iPad Gen 9 - iPad mini - Apple Watch Series 7
Miaka 25 ya kifo cha 2Pac | iPhone zitakuwa na storage ya 1TB | App za Kamera maarufu katika Video record 13.09.2021 14:00
Story za Siku: - Miaka 25 ya kifo cha 2Pac - iPhone Pro zitakuwa na 1TB - Galaxy Note haitoki mwaka huu - iPhone 13 itakuwa na portrait video - App za Kamera za Video zinazoongoza
BET Nominees | Apple Music kuanza kulipa DJ's Mixes | Jinsi ya kutumia Simu kama remote katika Smart TV 10.09.2021 18:08
Story za Leo: - BET Nominees - Apple Music kuanza kulipa DJ's Mixes - Galaxy S22 haitakuwa na kamera ya 200MP - Rangi mpya za iPhone Pro - Facebook na Ray-Ban zimetengeneza Smart Glasses - Jinsi ya kutumia Simu kama remote katika Smart TV
Rihanna amemshtaki baba yake | Event ya Apple September 14 | App ya kujaribu vitu kabla ya kununua online 08.09.2021 15:15
Story za Siku: - Rihanna amemshtaki baba yake - Travis Scott na Kylie Jenner wanategemea mtoto wa pili - Event ya Apple ya September 14 - LG imetoa aina mpya ya kioo - Gmail itaweka Video na Audio Calls - WhatsApp imeanza kukubali namba moja katika vifaa vinne - App ya kujaribu vitu kabla ya kununua online
Kifo cha Michael K. Williams | El Salvador imeanza kutumia Bitcoin | Fahamu kuhusu MegaPixel 07.09.2021 19:27
Story za Siku: - Kifo cha Michael K. Williams - Diddy ametoa maoni yake kuhusu Album ya Drake na Album ya Kanye West - El Salvador imethibitisha kuanza kutumia Bitcoin kama fedha halali ya malipo - TikTok imezidi kuipita YouTube kwa kuwa na watu wengi wanaotumia muda mwingi kutazama videos - MagSafe Charger mpya - Fahamu kuhusu Megapixel za kamera - Ukipiga picha na watu wengi unaonekana vizuri ku...
Battle ya Kanye West na Drake | WhatsApp inajaribu kuweka Reactions | App 5 Bora za kutumia katika Video Editing 06.09.2021 23:34
Story za Siku: - Battle ya Kanye West na Drake - Album mpya ya Drake - Mercedes-Benz imetambulisha teknolojia ya gari kusoma akili ya dereva - WhatsApp inajaribu kuweka mfumo wa Reactions - Amazon inakaribia kutoa TV zake binafsi - Samsung imetoa sensor mpya ya kamera za 200MP - App 5 Bora ambazo unaweza kutumia katika Video Editing
Ukweli kuhusu bifu ya Kanye West na Drake | Instagram imekuwa na matatizo siku ya Leo | Kamera yenye uzito mkubwa 02.09.2021 20:58
Story za Siku: - Ukweli wa Bifu ya Kanye West na Drake - Wasanii ambao watakwepo katika Album mpya ya Drake - Instagram ilikuwa na matatizo - Xiaomi imekamilisha usajili wa magari ya umeme - Twitter imeweka sehemu ya Super Follow - Kamera yenye uzito mkubwa
Rappers wenye streams Bilioni 3 kwa mwaka huu | Apple imeweka uwezo wa kuhifadhi Driving License katika iPhone | Effects za 3D katika TikTok 01.09.2021 17:12
Story za Siku: - Rappers wenye streams Bilioni 3 kwa mwaka huu - Album ya Drake inakaribia - Apple imeweka uwezo wa kuweka Driving License katika iPhone - Google imetambulisha akili bandia inayoweza kuongeza quality ya Picha - Jinsi ya kupata effects za 3D katika TikTok
Soulja Boy amelalamika kuhusu Album ya DONDA | China imepunguza muda wa kucheza games kwa watoto | Jinsi ya kutumia kamera ya simu katika app ya Google 31.08.2021 22:34
Story za Siku - Soulja Boy amelalamika kuhusu Album ya DONDA - 21 Savage ameingiza faida kubwa katika Streaming Platforms kuliko shows - China imepunguza muda wa watumiaji wenye umri chini ya miaka 18 kucheza video games - WhatsApp imeweka maboresho mapya katika app ya PC na WhatsApp Web - Samsung Galaxy Watch 4 ina Walkie Talkie - Matumizi ya Kamera katika Google BLESS!!!
Album ya Donda imetoka | iPhone 13 kuwa na uwezo wa mawasiliano na Satellite | App 5 bora kwa ku-edit picha 30.08.2021 20:33
Story za Siku: - Album ya Donda imetoka - Drake anakaribia kutoa Album - iPhone itakuwa na uwezo wa mawasiliano ya Satelite - Twitter imeweka uwezo wa kuuza tiketi za Twitter Spaces. - Internet (mtandao) kwa miaka ijayo - Clubhouse imeweka uwezo wa Spatial Audio - App 5 bora za kuedit picture katika App Store na Play Store.
Mr Eazy amezindua PawaPay | Google inailipa Apple ili ipate upendeleo katika search ya Safari 26.08.2021 16:01
Story za leo: - Mr Eazi ameanzisha mfumo wake wa malipo - PawaPay - Kim Kardashian amegoma kubadili jina - Lil Nas X na Tony Hawk kuhusu kuweka damu zao kwenye bidhaa zao - Instagram kupata comments za "Nah he Twekin" zinazofanana katika posts za Mastaa - FaceID itakuwa inakubali ukivaa Face Mask (Barakoa) - Oppo inataka kutengeneza tablet yake - Google inamlipa Apple ili iwe default search engine...
Rick Ross amejibu kuhusu Bifu la Kanye West na Drake | Samsung imefungia TV zilizoibiwa | Xiaomi inaacha kutumia neno la 'Mi' 25.08.2021 15:47
Story za Siku - Kwanini Drake alimweka Pusha T katika Convo aliyokuwa anamjibu Drake - Rick Ross akielezea kuhusu bifu la Kanye West na Drake - Apple imetimiza miaka 10 chini ya usimamizi wa Tim Cook - Samsung imefungia TV - Xiaomi itaacha kutumia neno la Mi katika brand za simu zake - Facebook kuweka Video Call na Audio Call katika app ya Facebook Bless Up!!!!!
Bifu la Drake na Kanye West | Instagram inafuta style ya Swipe-Up | Jinsi ya kutumia simu kuona usiku 24.08.2021 15:24
Story za Siku - Bifu la Kanye West na Drake - Lil Uzi amesema Kanye West sio pastor wa ukweli - Album mpya kali za mwaka huu - Instagram inafuta mfumo wa Swipe-Up katika kufungua link katika Insta Stories - TikTok imeweka sehemu maalum kwa creators kuweka AR Effects - iPhone ya mwaka huu itakuwa na size ya tofauti katika Camera hump - Jinsi ya Kutumia simu Usiku Bless up!!!
DaBaby kushiriki katika Summer Jam | YouTube imefikisha zaidi ya Content Creators Mil 2 wanaolipwa | Kutumia simu kama Mouse 23.08.2021 13:27
Story za Siku - Dababy kufanya performance katika event ya Summer Jam - Sakata la Drake na Kanye West - YouTube imefikisha watu Milioni 2 ambao wanalipwa - PayPal imeweka uwezo wa kununua Crypto kwa watumiaji wa Uiengereza - Samsung inafuta matangazo katika mfumo wa simu za Samsung - Jinsi ya Kutumia simu kama Mouse kwenye kompyuta
Pete ya Gharama kubwa ya Young Thug | Netflix kuweka Spatial Audio | Siku ya Photography Duniani 19.08.2021 14:41
Story za Siku: - Pete ya Gharama ya Young Thug - Netflix inaweka uwezo wa Spatial Audio kwa watumiaji wa iPhone na iPad - World Photography Day - SharePlay haitakwepo katika iOS15 ikitoka mwezi ujao - Picha ya kwanza ya kiongozi wa nchi
Sakata la Lil Wayne kutaka kujiua | Kioo kipya cha Samsung Eco OLED | Google itaacha kuweka Charger kwenye box za Simu | Muanzilishi wa picha ya Selfie 18.08.2021 14:10
Story za Siku: - Kisa cha Lil Wayne kutaka kujiua - Aina mpya ya Kioo cha Samsung EcoOLED - Google itaacha kuweka charger katika box za simu mpya - Mtunzi wa picha ya kwanza ya Selfie
Podcasts similares
Replaio no es editor de podcasts; los nombres de los programas, las portadas y el audio pertenecen a sus autores y se distribuyen a través de canales RSS públicos