John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy

DAKA CODE

News SW ↓ 88 episodios

Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!

Autor

John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy

Categoría

News

Web del podcast

daka-code.simplecast.com

Último episodio

14 de nov. de 2023

¿Dónde escuchar?

Podcasts en la app Replaio Radio Muy pronto

Los podcasts llegarán muy pronto a la app. Instálala ahora y sé el primero en descubrir una forma totalmente nueva de vivir los podcasts

Descárgala en Google Play Instálala gratis Android 5 M+ de descargas · valoración de 4,8 iOS muy pronto

Episodios

Desiigner akutwa akichafua kwenye ndege | WhatsApp na Facebook kushirikiana katika matangazo | Kuweka video za High Quality kwenye mitandao ya kijamii 25.04.2023

Story za Leo 1. Desiigner amefunguliwa mashtaka baada ya kufanya kitendo cha ajabu kwenye ndege 2. Apple itatoa aina mpya ya kifaa 3. iPadOS na vifaa ambavyo vitaweza kupata updates mwaka huu 4. Google Authentication imebadilisha logo yake 5. WhatsApp kuungana na Facebook katika kuweka matangazo 6. Jinsi ya ku-post video bila kupunguza quality yake Thanks for listening!

Davido ameweka rekodi ya dunia | Twitter imerudisha alama ya Blue Check | 6G imeweka historia | Akili Bandia kwenye Sauti 24.04.2023

We are back, tumerudi tena katika Season 2 ya Podcast hii. Endelea kupata updates na infos za msingi ambazo zimejiri kwa wiki kupitia Daka Code. Story za Leo 1. Fahamu yaliyojiri kuhusu uzinduzi wa Album mpya ya Davido 2. Twitter imerudisha alama za Verification katika akaunti maarufu 3. iOS 17 itakuwa inaruhusu kuweka apps nje ya App Store 4. BeReal imeungana na app ya Spotify na Apple Music 5. T...

Daka Code - Season 2 (Intro) 15.03.2023

Karibuni tena fans wote wa Podcast hii ambayo inalenga kutoa updates mpya zinazohusiana na mambo ya Burudani, Teknolojia na Ubunifu. Daka Code imerudi tena na this time, itakuwa ni nzuri zaidi baada ya kufanyiwa maboresho makubwa katika Audio na Video Podcast. Hii ni Intro yetu na taarifa fupi kwa wafuatiliaji wetu wote. Karibu sana na let's get together katika codes za infos!

Drake ajitoa Kwenye tuzo za Grammy | iOS 15.2 itadhibiti picha chafu kwa Watoto | Jinsi ya kuzuia vitu vyako visijulikane WhatsApp 07.12.2021

Story za Siku: - Drake ajitoa Kwenye tuzo za Grammy - Drake pia kuhudhuria mazishi ya Mbunifu wa Luis Vatton - iOS 15.2 itakuwa inatoa onyo kwa watoto, endapo wakifungua picha ambazo sio nzuri kwa maadili - Snapdragon 8 Gen 1 itatengenezwa na kampuni mbili - Jinsi ya kuzuia vitu vyako visijulikane WhatsApp

WizKid ameweka rekodi nyingine katika mziki wake | Emoji bora zilizotumika sana Mwaka Huu | Template mpya katika TikTok, Cupcut, Videoleap na KineMaster 06.12.2021

Story za Siku: - WizKid ameweka rekodi nyingine katika mziki wake - Lil Wayne matatani kwa kudaiwa kumtishia maisha Bodyguard wake - WhatsApp imeweka sehemu ya kuweka message mpya zote katika Disappearing Mode - Google Chrome imeonekana ina madhaifu makubwa - Emoji bora za Mwaka - YouTube tayari imeficha idadi ya Dislikes - Chip mpya ya simu za Android - Template mpya katika TikTok, Cupcut, Videol...

Kanye West ameomba kurudiana na Kim Kardashian | Apple Car itatoka 2025 | NASA imetuma chombo cha DART | Historia ya kamera ya GoPro 25.11.2021

Follow up: https://www.instagram.com/octagraphy_ https://www.instagram.com/johnjakson_tz https://www.instagram.com/itsapolloo

Serikali ya Malawi kumpa Ubalozi wa Bangi Mike Tyson | WhatsApp itaweka uwezo wa kutengeneza Stickers | Mabadiliko mapya ya Kinemasta 24.11.2021

Story za siku - Serikali ya Malawi kumpa Ubalozi wa Bangi Mike Tyson - Mchuani Mkali Tuzo za Grammy Mwaka 2022, Nominations zimetolewa! - Jay Z aweka rekodi Nyingine Kubwa zaidi kwenye muziki wake - Ripoti ya mauzo ya Smartwatch - WhatsApp itaweka uwezo wa kutengeneza Stickers

Adele amegoma kuendelea na Interview | Updates za Tech | Mbinu za Content Creator kutunza Followers 23.11.2021

Follow up: https://www.instagram.com/octagraphy_ https://www.instagram.com/johnjakson_tz https://www.instagram.com/itsapolloo

Season 2 ya Squid Game itakwepo | Clubhouse imeweka sehemu ya kurekodi mazungumzo | App bora za kamera kwa watumiaji wa Android 09.11.2021

Story za Siku: - Squid Game itarekodi Season 2 - Snoop Dogg alivyomuenzi mama yake - Mapya yaliyoibuka katika sakata la Travis Scott - Clubhouse imeweka sehemu ya kurekodi mazungumzo - Meta imebadili taarifa za app zake zote - Windows 7, 8 na 8.1 zitaanza kukosa support - App bora za kamera kwa watumiaji wa Android

Travis Scott na undani wa sakata la Vifo vya Mashabiki katika Event ya Astroworld | Muonekano wa Galaxy S22 Ultra umevuja mtandaoni | Update mpya katika app za CapCut, Kinemaster, na TikTok 08.11.2021

Story za Siku: - Travis Scott na undani wa sakata la Vifo vya Mashabiki katika Event ya Astroworld - Chip mpya ya Intel 12Gen Core i9 - Xiaomi imetoa mfumo wa kupooza simu isipate joto - Telegram itaweka matangazo na huduma za kulipia - Muonekano wa Galaxy S22 Ultra umevuja mtandaoni - Update katika app za CapCut, Kinemaster, na TikTok.

Mambo mazito ya kufahamu katika Interview ya Kanye West | Google Pixel haitakuwa na kamera nzuri kama Google Pixel 6 Pro | iPhone 13 itakuwa na chip ya 4nm 05.11.2021

Story za siku: - Mambo mazito ya kufahamu katika Interview ya Kanye West - Google Pixel haitakuwa na kamera nzuri kama Google Pixel 6 Pro - iPhone 13 itakuwa na chip ya 4nm - Twitter imeweka uwezo wa kusikiliza Twitter Space bila kuwa na akaunti

Jay Z amejiunga na kujitoa Instagram ndani ya Saa 24 | Instagram na Twitter zimeanza kumaliza bifu ugomvi wao uliodumu kwa miaka 9 04.11.2021

Story za Siku - Jay Z amejiunga na kujitoa Instagram ndani ya masaa 24 - Will Smith alitaka kumuua baba yake - Wiz Kid na Tems wamefika kwenye tuzo za SOULTRAIN - Miaka ijayo iPhone na Apple Watch zitakuwa na uwezo wa kutambua kama umepata ajali - Facebook inaondoa mfumo wake wa kutambua sura za picha na video - Uhaba wa Semi-conductors unazipa hasara kampuni za Tech - Instagram na twitter Zimeanz...

Adele ametoa list ya nyimbo za Album yake mpya | Tesla imeanza kuruhusu aina nyingine za magari kuchaji katika vituo vyake | Snapchat, Facebook, Twitter na YouTube zimepata hasara ya zaidi ya Dola Bilioni 9.8 02.11.2021

Story za Siku: - Kim Kardashian na mahusiano yake mapya. - Wizkid hajapoa, ametangaza kutoa Album mpya hivi karibuni. - Adele ametoa list ya nyimbo za Album yake mpya. - Tesla imeanza kuruhusu aina nyingine za magari kuchaji katika vituo vyake. - Snapchat, Facebook, Twitter na YouTube zimepata hasara ya zaidi ya Dola Bilioni 9.8. - Uhispania imefanikiwa katika Teknolojia ya kuwezesha vipofu kuona.

Kauli ya Drake kwa Eminem | Facebook imebadili jina la kampuni kuwa ni META | Instagram imeweka sehemu ya ku-post katika website yake 29.10.2021

Story za Siku: - Kauli ya Drake kwa Eminem - Dave Chappelle ameendelea kushikilia msimamo wake - Windows XP imetimiza miaka 10 - WhatsApp imeweka uwezo wa kuhamisha chats kutoka katika simu za iPhone kwenda katika simu za Google Pixel - Instagram imeweka sehemu ya ku-post katika website yake - Facebook imebadili jina la kampuni, Instagram, Facebook, WhatsApp zitakuwa chini ya kampuni ya Meta - Met...

Meek Mill na Kesha Cole wameomba Record Label ziwalipe pesa zao | iOS 15.1 imetoka | Tesla imefikisha Market Cap Tril 1 | DJI imetoa kamera iliyounganishwa na Gimbal 26.10.2021

Story za Siku: - Meek Mill na Kesha Cole wameomba Record Label ziwalipe pesa zao - CK azidi kuvunja rekodi Billboard - Lil Durky amewakataa mashabiki wake - iOS 15.1 imetoka - China kutengeneza - Tesla imefikisha Market Cap ya Dola Trilioni 1 $ - DJI imetoa kamera inaunganishwa na Gimbal - Update za TikTok

Album mpya za Week hii | Travis Scott na Don Toliver kwenye stage | Drone iliyosafirisha Mapafu kwa dakika 6 | Apple Event 18.10.2021

Story za Siku: - Album mpya zilizotoka weekend hii - Young Thug amemtaja Drake kuwa ni mtu ambaye yupo Real katika Industry ya mziki - Travis Scott na Don Toliver kwenye stage - Netflix imepata faida kubwa katika Series ya Squid Game - Apple Event - Leo Usiku - Drone zinatumika kusafirisha damu, dawa na viungo vya mwili kuokoa maisha ya wagonjwa.

Adele ametoa nyimbo mpya | Mauzo ya Simu duniani | Canon imetoa lens ya Dual-Fisheye ya kurekodi video za VR 15.10.2021

Story za Siku: - Adele ametoa nyimbo mpya na atatoa Album mpya hivi karibuni - Young Thug, Mac Miller, Coldplay wameachia Album mpya - Mfumo mpya wa Ubuntu 21.10 - Mauzo ya simu duniani Q3 2021 - Twitter kuweka matangazo yatika sehemu ya comments - Canon imetoa lens ya Dual-Fisheye inayoweza kurekodi video za VR

Tyga amejisalimisha polisi | Wizkid kufunga ndio na manager wake | Mfumo mpya wa Samsung One UI 4.0 13.10.2021

Story za leo: - Tyga amejisalimisha polisi - Wizkid kufunga ndio na manager wake - Nikki Minaj amewachana female rappers wa sasa - Mfumo mpya wa Samsung One UI 4.0 - Snapchat ilikuwa haifanyi kazi - Event mpya ya Apple October 18 - Google TV inaweka uwezo wa kuweka Watchlists na Profiles

Wizkid na Tems wameingia katika Top 10 ya Billboard | Instagram inaweka sehemu ya kuelezea matatizo ya kiufundi | iOS 15.0.2 imetoka 12.10.2021

Story za siku: - Wizkid na Tems wameingia katika Top 10 ya Billboard - Tyga kwenye kashfa ya kumpiga Ex-girlfriend wake - Instagram inaweka sehemu ya kuonyesha taarifa za matatizo ya kiufundi - iOS 15.0.2 imetoka kwa watumiaji wa iPhone - Redmi inapanga kuwa na mfumo wake - iPad Pro itakuwa na muundo mpya wa Landscape Mode

YouTube ya R.Kelly imefungiwa | Instagram inaondoa IGTV | Telegram imepata watumiaji Mil 70 baada ya Facebook kuwa na matatizo 06.10.2021

Story za siku: - YouTube ya R.Kelly imefungiwa - Sir Elton John amemsifia Young Thug katika freestyles - Instagram inaondoa IGTV - Telegram imepata watumiaji wapya Milioni 70 - Windows 11 imetoka rasmi - Google Pixel zinatoka October 19 -

Justin Beiber amezindua brand ya Cannabis | Facebook, Instagram na WhatsApp zilikuwa hazipatikani | Feature mpya katika app ya KineMaster 05.10.2021

Story za siku: - Justin Beiber amezindua brand ya Cannabis - Utajiri unamkosesha amani Akon - Facebook, Instagram na WhatsApp zilikuwa hazipatikani - Microsoft Office 2021 imetoka - Imefika Miaka 10 tangu Steve Jobs alipofariki - Feature mpya katika app ya KineMaster - Jinsi ya kutumia Mask Effect kwenye Videoleap

Kanye West amesajili DONDA katika brand za vifaa vya Electronic | WhatsApp inaweka mabadiliko katika Voice Messages | App inayotumia kamera kufanya hesabu 04.10.2021

Story za leo: - Kanye West amesajili DONDA katika brand za vifaa vya Electronic - Drake na The Weeknd kutengenezewa somo lao nchini Canada - WhatsApp inaweka mabadiliko katika Voice Messages - FaceID katika iPhone 13 itakuwa inaweza kufanya kazi endapo kioo kitabadilishwa - Clubhouse inaweka sehemu ya kurekodi mazungumzo - App inayotumia kamera kufanya hesabu - Ku-edit picha kwenye WhatsApp

Mafanikio ya Tems katika Mziki | Android 12 itakuwa na uwezo wa kurekodi video katika hali ya hatari | Video ya kwanza kuwekwa YouTube 01.10.2021

Srory za siku: - Davido anatumiza zaidi ya Milioni 100 kulipa DJs wa Marekani - Mafanikio ya Tems katika Mziki - Android 12 itakuwa na uwezo wa kurekodi video katika hali ya hatari - Video ya kwanza kuwekwa YouTube

Justin Bieber ameongoza kusikilizwa Spotify Mwezi huu | Figo ya Bandia imeonyesha mafanikio makubwa | Facebook imeanza kuweka Reels katika Facebook 30.09.2021

Story za Siku: - Justin Bieber ameongoza kusikilizwa Spotify Mwezi huu! - Ckay amewapita Wizkid na Tems kwenye Shazam - Figo ya bandio imeonyesha mafanikio makubwa - Facebook imeanza kuweka Reels katika app ya Facebook - Fahamu matatizo ya iPhone 13

21 Savage afunguka kuhusu Funbase ya Drake Atlanta | App Tracking Transparency ya Apple haijafanikiwa kudhibiti app kutrack watu 29.09.2021

Story za Siku: - Ashanti kumiliki Masters zake zote za Muziki! - 21 Savage afunguka kuhusu Funbase ya Drake Atlanta - Mfumo wa Apple wa kuzuia App Tracking haujaweza kuzuia vizuri - Microsoft imeweka uhuru kwa Third Party App Store kuwepo katika Microsoft Store

Escucha el podcast DAKA CODE en Replaio

Radio y podcasts en una sola app - gratis y sin registro. Instálala hoy y no te pierdas el estreno

Descárgala en Google Play

Replaio no es editor de podcasts; los nombres de los programas, las portadas y el audio pertenecen a sus autores y se distribuyen a través de canales RSS públicos