John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy
DAKA CODE
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!
Autor
John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy
Kategorie
Podcast-Website
Neueste Folge
14. Nov 2023
Wo hören?
Podcasts in der App Replaio Radio Bald verfügbarPodcasts kommen bald in die App. Installiere sie jetzt und erlebe als Erster einen ganz neuen Blick auf Podcasts
Folgen
Kundi la Sauti Sol imetangaza kuvunjika | Mwanamke wa Kwa wa Kiarabu kwenda nje ya dunia | App 5 za Kamera za Simu 22.05.2023 31:00
Story za Siku: - Kundi la Sauti Sol limetangaza kuwa litatengana baada ya Tour - Mwanamke wa Kwanza kutoka nje ya Dunia - Samsung imekubali kutumia search engine ya Google kwenye simu zake - Instagram ilikuwa haipatikani - Instagram inatengeneza app ambayo itakuwa inafanana na app ya Twitter - WhatsApp itaweka sehemu ya ku-edit message - Fahamu apps 5 ambazo unaweza kutumia na kamera ya simu yako...
J Cole ametangaza atatoa Album mpya | Tanzania ipo katika mpango wa kurusha Satelaiti yake | CapCut imeweka Auto-Caption 19.05.2023 36:25
Story za Siku - Jay Z na Beyonce wamenunua eneo kubwa la kifahari - J Cole ametangaza kuachia album yake mpya ya "The Fall Off" - YouTube itaweka matangazo ya sekunde 30 na kubadilisha mfumo wake wa matangazo - Meta inatengeneza app ambayo itakuwa kama Twitter - ChatGPT imeanza kupatikana kama App kwa watumiaji wa iPhone (iOS) - Twitter imeweka Voice Messages kwenye DM - App ya Adobe imeweka Firef...
Chris brown ametokea kwenye video challenge ya Davido | Sasa unaweza kuweka GIF kwenye comments za Instagram | Jinsi ya kutengeneza video kwa kutumia AI ya Kaiber 18.05.2023 27:47
Story za Episode - Chris brown ametokea kwenye video challenge ya Davido | - Sasa unaweza kuweka GIF kwenye comments za Instagram | - Jinsi ya kutengeneza video kwa kutumia AI ya Kaiber
Usher amepewa Udaktari | Google imetambulisha Akili Bandia yake | Auto-caption kwenye ku-edit videos 15.05.2023 28:33
Story za hii episode 1. Usher ametunukiwa Udaktari wa heshima ya mzuki 2. Google imetambulisha Akili Bandia yake 3. Auto-caption kwenye app za kutengeneza video
Rihanna ameweka rekodi | Mwanzilishi wa Akili Bandia ameacha kazi Google ili kupinga madhara ya AI 03.05.2023 12:34
Story za leo - Rihanna ameweka rekodi mpya - The Weeknd ameandika tweet ya ajabu - Google imeweka uwezo wa kuingia kwenye akaunti bila kutumia password - WhatsApp itaweka uwezo wa kuficha chats - WhatsApp itaweka uwezo wa kuhamisha chats bila kutumia iCloud - Mwanzilishi wa Akili Bandia ameacha kazi yake Google
Ähnliche Podcasts
Replaio ist kein Herausgeber von Podcasts; die Namen der Sendungen, Cover und Audioinhalte gehören ihren Autoren und werden über öffentliche RSS-Feeds verbreitet