SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2024 20.08.2024 19:44
Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa wezi mudu kununua nyumba zao wenyewe.
Nzovu "Miaka ishirini inapita na kabila la Wanyamurenge bado halijapata haki yao" 16.08.2024 9:59
Usiku wa 13 Agosti 2004 takriban watu 166 wali uawa kikatili, na mamia kujeruhiwa ndani ya kambi ya wakimbizi ya Gatumba, Burundi.
Taarifa ya Habari 16 Agosti 2024 16.08.2024 16:26
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia Australia.
Mtoto wako ananyanyaswa shuleni au mtandaoni? Hatua muhimu unastahili chukua 16.08.2024 13:55
Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia.
Kisimba "tuta furahi sana kuona Icon wetu hapa Sydney" 14.08.2024 10:15
Mfalme wa muziki wa DR Congo Koffi Olomide ame anza ziara ya tamasha Australia.
Taarifa ya Habari 13 Agosti 2024 13.08.2024 15:46
Viongozi wa Marekani na Uingereza wanaweza jiondoa katika makubaliano ya manowari yaliyofanywa na Australia chini ya mpangilio wa AUKUS, kwa kutoa onyo la mwaka mmoja tu kulingana na hati mpya ya ushirikiano huo.
Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu 13.08.2024 13:49
Kila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.
Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024 09.08.2024 19:02
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serikali ya Albanese ina pinga nishati ya nyuklia.
Sekta ya vyuo yadai wanafunzi wakimataifa wanatumiwa kama "mpira" wakisiasa 09.08.2024 9:08
Vyuo na biashara vina fanya kampeni ya ushawishi dhidi ya sheria zenye utata, kuweka idadi ya wanafunzi wa kimataifa kuanzia mwaka ujao.
Taarifa ya Habari 8 Agosti 2024 08.08.2024 5:47
Wafanyakazi wa huduma ya malezi ya watoto kote nchini Australia, wana tarajiwa kuongezewa mishahara, iwapo sehemu zao za kazi zita kubali kuto ongeza ada kwa zaidi ya asilimia 4.4 katika mwaka ujao.
Amedee "tunatoa mafunzo na uelewa kwa yaliyo fanyika Rwanda 1994" 07.08.2024 12:29
Onesho la hadithi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, lime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini Sydney, Australia.
Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria 06.08.2024 13:14
Mfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.
Taarifa ya Habari 6 Agosti 2024 06.08.2024 18:00
Australia imeongeza kiwango cha tisho la ugaidi kitaifa kutoka uwezekano hadi kuwezekana. Serikali imesema kuongezeka kwa itikadi kali katika wigo wa kisiasa na kiitikadi uko nyuma ya marekebisho hayo.
Kiwango cha tisho la ugaidi cha ongezwa kutoka "uwezekano" hadi "kuwezekana" 06.08.2024 7:23
Kiwango cha tisho la ugaidi cha Australia kime ongezwa kwa mara ya kwanza katika muongo.
Taarifa ya Habari 2 Agosti 2024 02.08.2024 16:25
Waziri Mkuu amesema maoni ya watu wanao ishi na ulemavu yanasikizwa, kufuatia ukosoaji ulio ibuka kufuatia jibu la serikali kwa tume yakifalme kwa ulemavu.
Jeff "unaweza dhani ume mdhuru mtu mmoja tu, kumbe ume waathiri wengi zaidi" 02.08.2024 5:21
Hadithi halisi za wahanga wa mauaji ya 1994 nchini Rwanda, zime zinduliwa katika jumba la sanaa mjini.
H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia 02.08.2024 13:47
Kundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.
Taarifa ya Habari 12 Julai 2024 12.07.2024 15:44
Polisi wadai baba ambaye amefunguliwa mashtaka ya mauaji ya watoto wake watatu, inadaiwa walifunga milango kuwazuia watu kuondoka ndani ya nyumba iliyo kuwa iki ungua katika kitongoji cha Lalor Park mjini Sydney.
Sanaa inayo sherehekea uhusiano wa watu wa Mataifa ya Kwanza na bahari 12.07.2024 5:29
Ni wiki ya NAIDOC, wakati wakusherehekea historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Mataifa ya Kwanza.
Taarifa ya Habari 11 Julai 2024 11.07.2024 6:22
Jumuiya katika maeneo ya magharibi Melbourne, zime ambiwa kuepuka kiwanda cha kemikali ambako moto ulituma moshi wenye sumu angani mjini humo baada ya wazima moto kukabiliana na moto huo usiku kutwa.
Konje "walicho tumia kutuomba kura ndicho wanatumia kufanya maisha yawe ngumu" 10.07.2024 8:17
Muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya, umevutia upinzani mkubwa kutoka wakenya wanao ishi Australia.
Umuhimu wa itifaki zawa Australia wa asili ni nini kwa kila mtu? 09.07.2024 11:55
Kuzingatia itifaki zakitamaduni zawa Aboriginal na wana visiwa wa Torres Strait wa Australia, ni hatua muhimu kwa kuelewa na kuwaheshimu wamiliki wa jadi wa ardhi tunako ishi.
Taarifa ya Habari 9 Julai 2024 09.07.2024 18:46
Wakaaji wa Alice Springs wame amka baada ya usiku wa kwanza wa amri ya kuto toka nje ambayo ili wekwa kwa ajili yakupunguza uhalifu.
Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia 09.07.2024 12:01
Kama wewe ni mkaaji wa Australia kwa madhumuni ya ushuru, kuanzia Julai 1, ambayo ni mwanzo wa mwaka wa fedha, lazima uweke wazi mapato yote uliyopata katika mwaka uliopita wa fedha, dhidi ya makato yako ya kodi.
Taarifa ya Habari 5 Julai 2024 05.07.2024 19:05
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema muda ambao Seneta Fatima Payman amefanya tangazo lake lakujiuzulu kutoka chama cha Labor ni swala linalo mhusu.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden