SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1019 avsnitt

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au

Skapare

SBS

Kategori

News

Poddens webbplats

www.sbs.com.au

Senaste avsnittet

28 sep 2026

Var kan du lyssna?

Poddar i appen Replaio Radio Kommer snart

Poddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar

Ladda ned på Google Play Installera gratis Android nästan 10 mn nedladdningar · betyg 4,8 iOS snart

Avsnitt

Phylis "naomba wakenya wadumishe amani na viongozi wasikize maoni yetu" 04.07.2024

Maandamano ya vijana yanayo endelea Kenya, yame zua hisia mseto katika jamii.

Kinyua "tumekuja kuomboleza walio uawa katika maandamano Kenya" 04.07.2024

Wakenya wanao ishi Canberra, Australia walijumuika mbele ya ubalozi wa nchi yao kuonesha mshikamano na vijana wenzao.

Taarifa ya Habari 28 Juni 2024 28.06.2024

Vyama vya wafanyakazi wanaunga mkono haki ya wabunge wa chama cha Labor kuvuka sakafu na kupiga kura dhidi ya msimamo wa chama, wakisema hatua hiyo ina imarisha vuguvugu la Labor.

Indigenous art: Connection to Country and a window to the past - Sanaa ya watu wa Asili: Muunganisho wa Nchi na dirisha kwa siku za nyuma 27.06.2024

Embracing their oral traditions, Aboriginal and Torres Strait Islander peoples have used art as a medium to pass down their cultural stories, spiritual beliefs, and essential knowledge of the land. - Kukumbatia mila zao zaku simulia hadhithi, watu waki Aboriginal na wanavisia wa Torres Strait wame tumia sanaa kama mbinu yaku changia hadithi za utamaduni wao, imani za kiroho na maarifa muhimu ya ar...

Taarifa ya Habari 27 Juni 2024 27.06.2024

Mbunge wa chama cha Liberal Simon Birmingham amesema amefurahi kuona masaibu yakisheria ya Julian Assange yame isha ila, ilikuwa makosa kwa waziri mkuu kumpigia simu Bw Assange akimkaribisha nyumbani.

Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka" 25.06.2024

Maandamano dhidi ya muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya hatimae yamefika Australia.

Taarifa ya habari 25 Juni 2024 25.06.2024

Baadhi ya wabunge huru wanataka makaazi yawekwe kuwa haki ya msingi ya binadamu nchini Australia.

Wahitimu wamatibabu wakimataifa wa elezea kero za sifa zao kutambuliwa Australia 25.06.2024

Takwimu mpya zina onesha ongezeko kwa idadi yama daktari, wauguzi na wataalamu wa afya wanao fanya kazi katika mifumo ya huduma ya afya nchini Australia.

Taarifa ya Habari 21 Juni 2024 21.06.2024

Australia ime ahidi kuendelea kuwasaidia wakaaji wa Papua New Guinea ambao wanapitia wakati mgumu kumudu maisha baada ya kukabiliwa kwa maporomoko mabaya ya ardhi mnamo Mei.

Taarifa ya Habari 20 Juni 2024 20.06.2024

Mwanaume mmoja amefikishwa mahakani leo kwa sababu ya dai la tisho la bomu lililo funga sehemu za mji wa Melbourne jana Jumatano mchana.

Patrick 'nimuhimu kwa wakimbizi kuja Australia wakiwa na leseni yakuendesha gari' 20.06.2024

Maadhimisho ya wiki yawakimbizi yalifanyika kote nchini Australia.

Taarifa ya Habari 18 Juni 2024 18.06.2024

Waziri mkuu wa China Li Qiang ameondoka Canberra baada ya siku yakihistoria ya mazungumzo yakidiplomasia ndani ya bunge la taifa.

Haki zangu zakidini zina lindwaje kazini? 18.06.2024

Nchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.

Taarifa ya Habari 17 Juni 2024 18.06.2024

Waziri wa kwanza wa China Li Qiang amekaribishwa ndani ya bunge la taifa, hiyo ikiwa ni ziara ya kwanza ya waziri wa kwanza wa China katika muda wa miaka 7.

Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa mishahara kuanzia Julai 1 18.06.2024

Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.

Taarifa ya Habari 14 Juni 2024 14.06.2024

Maelfu ya wahamiaji waliokuwa wakitarajia kujisajili katika vyuo vya Australia, hawata weza tena kuomba viza wanazo hitaji.

Uhaba wa fedha wakwamisha shughuli za taasisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki 14.06.2024

Taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimejipata katika hali ngumu baada ya bajeti zao kuathirika sana.

Iyanii "fahari yangu imekuwa kubadilisha maisha ya wazazi wangu" 13.06.2024

Iyanii ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya, anaye zidi kuwa maarufu kila kukicha.

Taarifa ya Habari 11 Juni 2024 11.06.2024

Serikali ya Queensland inapanga kuwa na hatua zakupunguza shinikizo ya gharama ya maisha licha yakutarajia nakisi ya bajeti.

Baby blues au unyogovu wa uzazi? Jinsi yaku jisaidia pamoja na mpendwa wako 11.06.2024

Kama wewe ni mzazi mtarajiwa au mzazi mpya, huenda umesikia neno hili la kiingereza 'baby blues'. Maana yake ni hisia za uzoefu wa changamoto zaki hisia ambazo wanawake wanne kati ya watano hupata baada ya kujifungua.

Taarifa ya Habari 10 Juni 2024 11.06.2024

Upinzani wa shirikisho umesema una nia yakutekeleza Makubaliano ya Paris ila, uta futa malengo ya mazingira ya Australia yanayo ifunga kisheria.

Taarifa ya Habari 7 Juni 2024 07.06.2024

Waziri wa serikali ya shirikisho Bill Shorten amesema hawezi sema kama chama cha Labor kita weka chama cha Greens mwisho, katika kadi zao za maelezo ya jinsi yakupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao kwa sababu ya msimamo wa chama cha Greens kwa mgogoro wa Gaza.

Kipsang "niki imba vilabuni naimbia watu wa Mungu" 05.06.2024

Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.

Wafanyakazi wapato la chini kuongezewa $33 katika mishahara yao kila wiki 04.06.2024

Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.

Taarifa ya Habari 4 Juni 2024 04.06.2024

Serikali ya shirikisho inakana ukosefu wa ukuaji wa tija kwa zamu yake ambayo imewagharimu wafanyakazi wapato la chini nyongeza yajuu zaidi ya mshahara. Tume ya Haki ya Kazi ime inua kima cha chini cha mishahara na tuzo kwa asilimia 3.75 itakayo anza Julai 1

Lyssna på podden SBS Swahili - SBS Swahili i Replaio

Radio och poddar i en och samma app - gratis och utan konto. Installera redan idag och missa inte premiären

Ladda ned på Google Play

Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden