SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2024 04.10.2024 17:26
Idara ya Afya ya New South Wales ina wahamasisha watu wanao stahiki wapate dozi zao mbili za chanjo za mpox sasa hivi, wasiwasi unapo endelea kuwa kuhusu ongezeko ya kesi na wanao lazwa hospitalini jimboni humo.
Jinsi yakupata mkopo wa kununua nyumba Australia 04.10.2024 12:19
Kununua nyumba kawaida ni moja ya ununuzi mkubwa katika maisha ya mtu.
Taarifa ya habari 1 Oktoba 2024 01.10.2024 19:43
Waangalizi wa watumiaji wa Australia wanatarajiwa kupokea jeki ya dola milioni 30, kuchukua hatua kwa matendo ya kuongeza bei kutoka kwa maduka makubwa na wauzaji reja reja.
Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia" 01.10.2024 9:43
Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.
Taarifa ya Habari 20 Septemba 2024 20.09.2024 16:46
Mswada wa serikali ya shirikisho waku ongeza malipo ya uzeeni katika likizo ya wazazi yenye malipo ime idhinishwa na bunge.
Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini" 20.09.2024 7:56
Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.
Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa" 18.09.2024 10:35
Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
Taarifa ya Habari 17 Septemba 2024 17.09.2024 18:49
Mwanaume anaye shukiwa kuhusika katika jaribio laku muuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefunguliwa mashtaka ya uhalifu wakutumia bunduki.
Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT" 13.09.2024 7:09
Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.
Taarifa ya Habari 13 Septemba 2024 13.09.2024 17:55
Mdhibiti wa vyombo vya habari nchini, atapewa mamlaka yakuchukua hatua dhidi ya makampuni ya teknolojia kama Meta na X, kwa usambazaji wa habari potofu na habari feki katika mitandao yao.
Upinzani watishia maandamano iwapo wanachama wao hawata achiwa huru Tanzania 13.09.2024 8:02
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka wanachama wake.
Taarifa ya Habari 10 Septemba 2024 10.09.2024 17:24
Wauguzi na wakunga kote jimboni New South Wales, wanao ondoka kazini leo Jumanne 10 Septemba, kinyume na amri za tume ya mahusiano ya serikali ya viwanda kusitisha mgomo maramoja.
Embracing the wisdom of traditional Indigenous medicine - Kukumbatia maarifa ya tiba ya asili 09.09.2024 10:18
Understanding and respecting Indigenous knowledge of medicine may be the key to providing more holistic and culturally sensitive care in today's healthcare setting. - Kuelewa nakuheshimu maarifa ya tiba ya asili, inaweza kuwa muhimu kwa kutoa kutoa huduma kamili na inayo faa kitamaduni katika mazingira yakisasa ya huduma ya afya.
#39 Kuwasilisha marejesho yako ya ushuru | Vidokezo vyakudai gharama (Adv) 09.09.2024 17:25
Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu marejesho ya ushuru. Pia jua jinsi punguzo ya ushuru inaweza kusaidia kupunguza bili yako ya ushuru.
Waganga wakienyeji walikata viungo vya Jessy na George, sasa madaktari wa Australia wanarejesha afya yao 05.09.2024 11:51
Ushirikina umefanywa kwa mufa mrefu kote nchini Uganda.
Sekta ya elimu ya juu yasema wanafunzi wakimataifa wamekuwa 'lishe ya mzinga' katika mjadala wa uhamiaji 03.09.2024 10:28
Idadi ya wanafunzi wakimataifa itawekewa vikomo mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2024 03.09.2024 16:40
Data ya hivi karibuni imeonesha kwa sasa ni ghali zaidi kununua nyumba Adelaide au Perth kuliko Melbourne.
David "Kupoteza wanachama 3 ndani ya siku 10 imekuwa pigo kubwa sana kwetu" 27.08.2024 11:04
Jumuia yawa Kenya wanao ishi Victoria, ina omboleza vifo vya wanachama watatu walio aga dunia ndani ya siku 10.
Taarifa ya Habari 27 Agosti 2024 27.08.2024 17:40
Kampuni ya ndege ya Singapore Airlines itakuwa kampuni ya kimataifa ya kwanza kutumia uwanja mpya wa ndege wa Magharibi Sydney. Qantas ime ahidi tayari kutumia uwanja huo wa ndege, unao tarajiwa kufunguliwa mwisho wa 2026.
#3 Kuzungumza kuhusu asili zakitamaduni| Jan 26 (Australia Day) 27.08.2024 12:53
Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu historia ya utamaduni wako. Pia jua kwa nini Australia Day inaendelea kuwa siku ya maandamano kwa wa Australia wa kwanza.
Taarifa ya Habari 23 Agosti 2024 23.08.2024 16:16
Mamlaka yasiyo ya kawaida yanayo ruhusu jeshi la polisi, kusimamisha ghafla nakufanya msako kwa watu jimboni Queensland yame ongezwa.
Mali yaishtumu Ukraine kwa kuhusika katika shambulio nchini humo 23.08.2024 8:03
Mgogoro wakidiplomasia ume zuka kati ya Mali na Ukraine baada ya viongozi wa taifa hilo la Magharibi Afrika, kuishtumu taifa hiyo ya Mashariki ya Ulaya kuhusika katika shambulio nchini humo.
Taarifa ya Habari 22 Agosti 2024 22.08.2024 6:07
Wazazi wapya hivi karibuni wataweza anza pokea malipo yao ya uzeeni juu ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo wekezwa na serikali, sheria ziki tarajiwa kuwasilishwa ndani ya bunge la shirikisho hii leo Alhamis 22 Agosti.
#66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodi 21.08.2024 17:49
Jifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.
Aina mpya ya kirusi cha mpox chatambuliwa Pakistan, umakini wa himizwa na hatua ziongezwe 20.08.2024 9:09
Kesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden