SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
What does January 26 mean to Indigenous Australians? - Januari 26 ina maana gani kwa wa Australia wa Asili? 23.01.2025 9:46
In Australia, January 26 is the national day, but the date is contentious. Many migrants who are new to Australia want to celebrate their new home, but it’s important to understand the full story behind the day. - Nchini Australia, Januari 26 ni siku kuu ya taifa, ila tarehe hiyo ina utata. Wahamiaji wengi ambao ni wageni Australia, hutaka kusherehekea nchi yao mpya ila, ni muhimu kuelewa hadithi...
Taarifa ya Habari 21 Januari 2025 21.01.2025 21:03
Waziri wakigeni Penny Wong amesema Australia ina kesi imara, yakuto jumuishwa katika pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kutoza ushuru.
Rwanda yatangaza imepata mafuta katika ziwa Kivu 21.01.2025 7:27
Rwanda imesema Jumatano kuwa imefanya ugunduzi wa mafuta katika Ziwa Kivu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika nchi isiyo na bahari katika eneo la Maziwa Makuu, kulingana na vyombo vya habari vya ndani.
Taarifa ya Habari 17 Januari 2025 17.01.2025 16:59
Kupandishwa cheo kwa wanasiasa wanne wa kike ndani ya baraza la mawaziri wa waziri mkuu, kume fufua mjadala kuhusu uwakilishi wa wanawake ndani ya upinzani wa mseto.
Ongezeko ya karo ya shule yafanya familia zi hisi shinikizo 17.01.2025 6:50
Kuna salia wiki chache kwa mwaka wa shule wa 2025 kuanza, janga la gharama ya maisha lina endelea kuweka shinikizo kwa familia zinazo lipa karo ya shule.
Bensoul "kuwa mwandishi wa nyimbo iliyo shinda grammy imenifungulia milango mingi" 15.01.2025 18:42
Nyota ya Bensoul katika sanaa ina zidi kung'aa kila kukicha.
Taarifa ya Habari 14 Januari 2025 14.01.2025 19:01
Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mkutano wake wa kwanza wa 2025 na baraza lake la mawaziri.
Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21" 10.01.2025 7:14
Mgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.
Taarifa ya Habari 10 Januari 2025 10.01.2025 18:02
Uchaguzi mkuu ujao wa shirikisho una chukua mkondo wakuwa shindano la gharama ya maisha ila, hakuna chama kikubwa ambacho kime toa ahadi kubwa za matumizi kwa ajili yakuwavutia wapiga kura.
Wakenya wafunguka kuhusu visa vya utekaji nyara 09.01.2025 30:55
Vyombo vya usalama nchini Kenya vina endelea kushtumiwa kwa visa vya utekaji nyara.
Taarifa ya Habari 7 Januari 2025 07.01.2025 17:13
Wakaaji wa Queensland wame hamasishwa wachukue chanjo zinazo tolewa bure, jimbo hilo likitabiri msimu mubaya wa mafua uko njiani.
Mwongozo rahisi waku kusaidia kufurahia msimu wa Cricket nchini Australia 07.01.2025 12:06
Cricket ni mchezo maarufu sana Australia na, kwa muda mrefu mchezo huo umekuwa sehemu ya utamaduni wa Australia haswa wakati wa miezi ya majira ya joto.
Taarifa ya Habari 3 Januari 2025 03.01.2025 18:34
Kufanya mfumo wa afya upatikane kwa bei nafuu itakuwa sehemu kubwa ya kampeni ya uchaguzi mkuu ya chama cha Labor, waziri wa afya washirikisho aki ahidi kuimarisha Medicare miongoni mwa hatua zingine kabla ya mwanzo wa kampeni.
Je uchaguzi wa uongozi uta sababisha mpasuko ndani ya CHADEMA 03.01.2025 8:02
Wanachama wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wanasalia na takriban wiki mbili kuingia debeni kumchagua kiongozi mpya.
Taarifa ya Habari 31 Disemba 2024 31.12.2024 20:31
Kikundi cha magari cha N-R-M-A kina omba tume ya ushindani na watumiaji ya Australia, ifanye uchunguzi wa haraka kwa madhara mabaya ya mizunguko ya bei bei ya petroli katika miji mikubwa ya Australia.
Levi "Wazazi wasi harakishe kuwatuma watoto ng'ambo kabla hawaja komaa" 31.12.2024 20:49
Wazazi wengi huwa na ndoto za kuwatuma watoto wao ng'ambo kufanya elimu ya juu.
Taarifa ya habari 27 Disemba 2024 27.12.2024 16:40
Mabadiliko mazuri ya hali ya hewa yame saidia juhudi za wazima moto wanao kabiliana na moto ambao haukuwa ukidhibitika katika maeneo ya Grampians jimboni Victoria, baada ya hali mbaya zaidi ya hali ya hewa kwa moto wa vichaka tangu tukio la Black Summer la 2019.
Jeshi la polisi la Kenya lakanusha kuhusika na utekaji wa wakosoaji wa serikali 27.12.2024 8:33
Jeshi la polisi Kenya limekanusha kuhusika na visa vya karibuni vya utekaji unaowalenga wakosoaji wa serikali. Watu 74 walitekwa tangu maandamano ya kuipinga serikali, huku 26 wakiwa bado hawajulikani waliko.
Understanding Indigenous knowledge of weather and seasons - Kuelewa maarifa ya hali ya hewa na misimu yawatu wa asili 27.12.2024 10:16
You’re probably familiar with the four seasons—Summer, Autumn, Winter, and Spring—but did you know that First Nations people have long recognised many more? Depending on the location, some Indigenous groups observe up to six distinct seasons each year. - Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu...
Taarifa ya Habari 26 Disemba 2024 27.12.2024 6:59
Mamlaka wa Urusi na Australia wachunguza ripoti kuwa, raia wa Australia amekamatwa akipigania Ukraine.
Taarifa ya Habari 24 Disemba 2024 24.12.2024 19:55
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali tathmini ya upinzani kuwa amefeli kwa swala la uhamiaji, wakati ripoti za mihadarati kama heroin, methamphetamine na fentanyl kuingia katika vizuizi vya uhamiaji vya Australia.
Wangeci "nilikuwa mkali sana katika mawasiliano yetu ya kwanza" 24.12.2024 17:10
Je, unakumbuka ulipo mwona mpenzi wako mara ya kwanza? alikupokea ulivyo tarajia, au ilibidi uboreshe mstari yako kabla ujaribu tena?
Kuelewa maarifa ya wa Australia wa Kwanza kuhusu hali ya hewa na misimu 22.12.2024 11:59
Pengine unafahamu misimu minne- Majira ya joto, vuli, majira ya baridi na masika ila, unafahamu kuwa watu wa Mataifa ya Kwanza wame tambua misimu mingine mingi kwa muda mrefu?
Kauli ya mwanae Museveni yazua kero kwa majirani Sudan na DRC 20.12.2024 6:50
Serikali ya Sudan inaitaka Uganda iombe rasmi msamaha, kutokana na kile imekitaja kuwa ujumbe wa kuchukiza na hatari ulioandikwa na mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba, aliyetishia kuivamia Khartoum kijeshi.
Bw Chumba "tukishikana mikono itatupa urahisi kufanya vitu vikubwa pamoja" 20.12.2024 8:32
Viongozi wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi New South Wales wanajiandaa kuwasilisha vyeti vya usajili wa Jumuiya kwa wanachama wao jioni ya Ijumaa 20 Disemba 2024.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden