SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1019 avsnitt

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au

Skapare

SBS

Kategori

News

Poddens webbplats

www.sbs.com.au

Senaste avsnittet

28 sep 2026

Var kan du lyssna?

Poddar i appen Replaio Radio Kommer snart

Poddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar

Ladda ned på Google Play Installera gratis Android nästan 10 mn nedladdningar · betyg 4,8 iOS snart

Avsnitt

Taarifa ya Habari 20 Februari 2025 20.02.2025

Mkuu wa shirika la usalama wa ndani nchini Australia ana onya, kuna ongezeko la wimbi la watoto wanao lengwa kutumia maudhui ya itikadi kali mtandaoni, na ame ongezea kuwa makampuni makubwa ya mtandao wakijamii yana nafasi kubwa yaku zuia shughuli hizo, kwa kutumia vifaa vinavyo wezesha bidhaa zao.

Jinsi ya kukabiliana na unyanyasaji shuleni au mtandaoni 19.02.2025

Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia. Ila wazazi wanastahili fanya nini mtoto wao anapo nyanyaswa shuleni?

Taarifa ya Habari 18 Februari 2025 18.02.2025

Onyo limetolewa kuhusu matokeo ya kura ambayo matokeo hayo ya karibu huenda yasi mulike kura zawa Australia.

Uchomaji wakitamaduni: kutumia moto kulinda dhidi ya moto na kufufua Nchi 18.02.2025

Kuishi katika mazingira yenye moto kama Australia, wengi wetu hupata ugumu waku ona moto kama kitu kingine zaidi yakuwa tisho.

Taarifa ya Habari 17 Februari 2025 17.02.2025

Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na wabunge huru, kama vyama viwili vikubwa nchini havita weza unda serikali ya wengi.

Taarifa ya Habari 13 Februari 2025 13.02.2025

Waziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wagonjwa wenye asili ya Israel.

Dkt Damacent afunguka kuhusu umuhimu wakuwafanya vipimo vya tezi dume 12.02.2025

Wanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma.

Taarifa ya Habari 11 Februari 2025 11.02.2025

Kundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Australia.

Jinsi ya kuandaa ombi la kazi 11.02.2025

Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

Taarifa ya Habari 10 Februari 2025 10.02.2025

Hesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne.

Nanga "Tutaweka polisi wa taifa, utawala, na mfumo wa haki” 10.02.2025

Waasi wa M23 wametangaza nia yao ya “kuikomboa Kongo yote” wakati wa mkutano wa hadhara mjini Goma.

Taarifa ya Habari 7 Februari 2025 07.02.2025

Serikali ya Wilaya ya Kaskazini ime fikia makubaliano ya thamani yama milioni ya dola na mashirika yawa Australia wa kwanza, kutoa huduma kwa maeneo ya vijijini.

Jinsi ya kupata Malipo ya Likizo ya Wazazi nchini Australia 07.02.2025

Nchini Australia, baadhi ya wazazi wanaweza pokea malipo ya likizo ya wazazi kutoka serikali na waajiri wao. Ila si kila mtu ana stahiki.

Taarifa ya Habari 6 Februari 2025 06.02.2025

Nchi zaki Arabu, Umoja wa Mataifa na washirika wakaribu wa Marekani wamekosoa pendekezo la Donald Trump kuchukua ukanda wa Gaza, naku tawanya wa Palestina kuwa hatua hiyo ita yumbisha kanda hiyo na kudhoufisha juhudi zakupata suluhu ya nchi mbili.

Taarifa ya Habari 4 Februari 2025 04.02.2025

Wanasiasa wame ashiria kufunguliwa kwa Bunge la taifa kwa kuhudhuria ibada katika Kanisa laki Katoliki la Mtakatifu Christopher, mjini Canberra leo asubuhi Jummanne 4 Feb 2025.

Ongezeko ya gharama ya shule yalazimisha baadhi ya familia kufanya maamuzi magumu 04.02.2025

Mwaka wa shule wa 2025 uli anza Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili walirejea shuleni Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.

Taarifa ya Habari 3 Februari 2025 03.02.2025

Waziri wa Kigeni Penny Wong amesema vikwazo vipya vya kufadhili ugaidi kwa mtandoa wa kundi lawa neo-Nazi wa mtandaoni kwa jina la Terrorgram, ni sehemu ya hatua za serikali dhidi ya mashambulizi dhidi ya ubaguzi wa wayahudi pamoja na uhalifu wa chuki.

Bw Omari "watu wana anza sema wakati wa Kabila ulikuwa afadhali kuliko sasa" 03.02.2025

Hali ya usalama inavyo zidi kudorora katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndivyo serikali ya Rais Tshisekedi inavyo zidi kuwa chini ya shinikizo kubwa.

Taarifa ya Habari 31 Januari 2025 31.01.2025

Serikali ya shirikisho na Victoria zime tia saini mkataba wa uwekezaji wenye thamani ya dola bilioni $2.5 kwa elimu, ambayo serikali hizo zime sema uwekezaji huo utawasaidia wanafunzi, wafanyakazi pamoja na familia.

Rais Tshisekedi awarai vijana wajiunge na jeshi kupambana na M23 31.01.2025

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, amewarai vijana kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa kusaidia kupambana na waasi wa M23 wanaojaribu kukamata maeneo makubwa zaidi mashariki mwa nchi hiyo.

Jaguar "Tunaomba nchi jirani zisaidie kutafuta amani na usalama DRC" 28.01.2025

Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo.

Taarifa ya Habari 28 Januari 2025 28.01.2025

Mweka hazina wa Shirikisho Jim Chalmers ana amini kuwa takwimu za mfumuko wa bei zitakazo tolewa kesho jumatano, zinaweza wapa wa Australia afueni ya gharama ya maisha wanayo hitaji sana.

Shinikizo ya gharama yamaisha yafanya wanafunzi wasajiliwe katika shule za umma 28.01.2025

Mwaka wa shule wa 2025 ume anza hii leo Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili wanatarajia kurejea shuleni kesho Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.

Tundu Lissu ashinda uchaguzi wa uongozi wa CHADEMA 24.01.2025

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetua kiongozi wake mpya kuelekea uchaguzi Mkuu wa urais wa mwezi Oktoba.

Taarifa ya Habari 24 Januari 2025 24.01.2025

Mweka hazina Jim Chalmers amesema makato ya ushuru ya serikali yame leta utofauti kwa walipa ushuru, wakati matokeo ya kura ya maoni yanaonesha ongezeko la hali yaku kata tamaa kuhusu afueni ya gharama ya maisha.

Lyssna på podden SBS Swahili - SBS Swahili i Replaio

Radio och poddar i en och samma app - gratis och utan konto. Installera redan idag och missa inte premiären

Ladda ned på Google Play

Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden