SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1019 avsnitt

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au

Skapare

SBS

Kategori

News

Poddens webbplats

www.sbs.com.au

Senaste avsnittet

28 sep 2026

Var kan du lyssna?

Poddar i appen Replaio Radio Kommer snart

Poddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar

Ladda ned på Google Play Installera gratis Android nästan 10 mn nedladdningar · betyg 4,8 iOS snart

Avsnitt

Taarifa ya Habari 14 Machi 2025 14.03.2025

Wauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni hatua mashirika ya kilele yamesema itapunguza muda wakusubiri nakupiga jeki matokeo ya huduma ya afya.

Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura 14.03.2025

With another federal election due this year, there are steps you will need to take before casting your vote for the first time. Plenty of resources are available to help you enrol to vote and have your say in shaping our nation. - Uchaguzi mwingine wa shirikisho ukitarajiwa mwaka huu, kuna hatua utahitaji chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza. Kuna rasilimali nyingi zaku kusaidia kuji...

Taarifa ya Habari 13 Machi 2025 13.03.2025

Ripoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara mbili kati ya Januari 2023 na Novemba 2024.

Matt Gitau "Jumamosi itakuwa fursa nzuri yakutafuta majibu ya changamoto zinazo tukumba" 13.03.2025

Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, New South Wales imekabiliana na taarifa baada ya nyingine yaku sikitisha katika siku za hivi karibuni.

Taarifa ya habari 11 Machi 2025 11.03.2025

Mamlaka jimboni New South Wales wamesema jibu baada ya kimbunga Alfred lime hamia rasmi katika mwelekeo wa uokoaji. Hakuna onyo za dharura ambazo zimetolewa kwa kuhama.

Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura? 11.03.2025

Akili ya bandia ni teknolojia mpya ambayo watu wanajaribu kuelewa. Watafiti waki jumuishwa.

Taarifa ya Habari 10 Machi 2025 10.03.2025

Taarifa za marufiko ya gafla zimetolewa kwa maeneo ya pwani ya New South Wales na Queensland, baada ya tukio la kimbunga cha kitropiki Alfred.

Taarifa ya Habari 7 Machi 2025 07.03.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema ame idhinisha ombi la wanajeshi 120, watakao enda mara moja New South Wales kusaidia katika juhudi zaku kabiliana na Kimbunga Alfred.

Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unastahili fanya kujisajili kupiga kura 07.03.2025

Uchaguzi mwingine wa shirikisho unatarajiwa kufanywa mwaka huu, kuna hatua unastahili chukua kabla yakupiga kura yako kwa mara ya kwanza.

Taarifa ya Habari 6 Machi 2025 06.03.2025

Ofisi ya utabiri wa hali ya hewa, ime toa taarifa mpya kuhusu wakati kimbunga chaki tropiki Alfred, kina tarajiwa kufika katika nchi kavu.

Ramadan na Eid ni nini, na huadhimishwaje huku Australia? 05.03.2025

Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.

Jinsi ya kuzungumza kuhusu asili yako 05.03.2025

Je! wewe ni mgeni nchini? ungependa fanya mazoezi ya kujieleza kwa Kiingereza?

The AI Election: Will artificial intelligence influence how Australia votes? - Uchaguzi wa AI: Je akili ya bandia ita shawishi jinsi wa Australia wata piga kura? 05.03.2025

Experts say AI could have significant impacts on democracy and trust. - Watalaam wanasema AI inaweza kuwa na madhara makubwa kwa demokrasia na uaminifu.

Taarifa ya Habari 4 Machi 2025 04.03.2025

Waziri wa Fedha Katy Gallagher amesema wa Australia wanastahili tarajia bajeti ya shirikisho inayotegemewa, na ambayo itasaidia familia kwa shinikizo za gharama ya maisha.

Jinsi AI ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani 04.03.2025

Tuna jiandaa kwa uchaguzi wa shirikisho. Hivi karibuni, wa Australia wata elekea katika vituo vya kupiga kura kuwachagua viongozi wetu wapya.

Taarifa ya Habari 3 Machi 2025 03.03.2025

Data ina onesha kuwa soko la nyumba nchini Australia lime ibuka kutoka miezi mitatu ya kudorora, baada ya kupunguzwa kwa kiwango cha riba cha kwanza katika zaidi ya miaka minne hali iliyo inua hisia za wanunuaji.

The AI Election: How artificial intelligence impacted the world's biggest ballots - Uchaguzi wa AI: Jinsi akili bandia ilivyo athiri chaguzi kubwa duniani 28.02.2025

From "Communist Kamala" to Bollywood endorsements, artificial intelligence and disinformation played a big role in some of the biggest democratic elections last year. - Kutoka "Kamala mkomunisti" hadi kwa uidhinishwaji wa Bollywood, akili bandia na taarifa potofu zilikuwa na nafasi kubwa katika chaguzi kubwa zaki demokrasia mwaka jana.

Taarifa ya Habari 28 Februari 2025 28.02.2025

Wanasiasa wakuu wa Australia wamesema hatma ya mkataba wenye thamana yama bilioni ya dola na Marekani ume hakikishwa, baada ya Rais Donald Trump kuonekana nikama amesahau jina la mkataba huo wa nchi tatu zinazo jumuisha Uingereza.

Wangeci "katika hii nchi wanathamini sana watu wenye ujuzi wa kazi za mikono" 28.02.2025

Wangeci Kones alikuja Australia akiwa na matumaini yakutumia shahada yake ya masoko, katika kazi sawia na alivyo kuwa akifanya nchini Kenya.

Taarifa ya Habari 28 Februari 2025 27.02.2025

Kiongozi wa upinzani ame mkosoa waziri mkuu kwa kufeli kuwa wazi kuhusu wakati jeshi la ulinzi lili pewa taarifa kuhusu mazoezi ya China katika Bahari la Tasman.

Jinsi yakupata shughuli za baada ya shule za bei nafuu na jumuishi 25.02.2025

Shughuli za baada ya shule huwapa watoto na vijana faida nyingi, kuanzia kujifunza ujuzi mpya hadi jinsi yakupata marafiki wapya. Wakati kuna chaguzi nyingi nchini ya vitu vyakufanya nchini Australia, shughuli hizo zina weza kuwa ghali.

Taarifa ya Habari 25 Februari 2025 25.02.2025

Waziri Mkuu amesema serikali ya shirikisho inapitia bajeti "mstari kwa mstari" kupata jinsi yakuwekeza ahadi yake ya Medicare.

Anthony Albanese azindua jeki ya kihistoria ya thamani ya $8.5 bilioni ya matibabu bila malipo 25.02.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese, Jumapili mchana alizindua ahadi yaki historia kwa Medicare, kama lengo la kampeni ya uchaguzi mkuu wa shirikisho wa 2025 wa chama cha Labor.

Taarifa ya Habari 24 Februari 2025 24.02.2025

Chama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor, kwa huduma za matibabu bila malipo zita wafikia wanao ihitaji zaidi.

Hezron "Tuwe na mazoea ya kujuliana hali" 24.02.2025

Mwenyekiti wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi mjini Sydney, New South Wales Bw Hezron Baranga, ali andaa mkutano maalum wa wanaume wa jumuiya yake kwa lengo lakujuliana hali nakupanga malengo ya mwaka.

Lyssna på podden SBS Swahili - SBS Swahili i Replaio

Radio och poddar i en och samma app - gratis och utan konto. Installera redan idag och missa inte premiären

Ladda ned på Google Play

Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden