SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Taarifa ya Habari 20 Disemba 2024 20.12.2024 18:38
Eneo la kusini mashariki Queensland, lina jiandaa kukaribisha afueni ya hali ya hewa baada ya dhoruba kusababisha barabara kufungwa, umeme kupotea na mafuriko.
Mchungaji Mgogo "tunza ujana wako kwa ajili ya future yako" 20.12.2024 14:05
Mchungaji Daniel Mgogo ni maarufu sana katika mitandao yakijamii, kwa jinsi anavyo huburi.
Taarifa ya Habari 17 Disemba 2024 17.12.2024 20:29
Mawaziri wa kigeni na ulinzi wa Uingereza na Australia wamefanya mkutano wao wa kila mwaka ((AUKMIN)) mjini London ambako amekubali kuimarisha zaidi ushirikiano kwa ulinzi, biashara na sera yakigeni.
Mahakama yazima ndoto ya Edgar Lungu 13.12.2024 7:48
Mahakama ya katiba ya Zambia imesikiza ombi la Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu lakupewa ruhusa yakuwania urais wa taifa hilo.
Taarifa ya Habari 13 Disemba 2024 13.12.2024 22:50
Serikali ya Albanese imetangaza mfumo mpya waku lazimisha mitandao yakidigitali yakufidia vyombo vya utangazaji vya Australia kwa matumizi ya habari zao.
Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi 10.12.2024 8:35
Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.
Taarifa ya Habari 10 Disemba 2024 10.12.2024 16:55
Waziri wa Huduma za Serikali Bill Shorten ametangaza kuwa shirika la Services Australia, lime tekeleza karibu nusu ya mapendekezo yote kutoka Tume yakifalme kwa mfumo usio halali wa Robodebt.
Kiongozi wa Queensland atetea mabadiliko ya haki ya vijana yenye misimamo mikali 06.12.2024 6:38
Kiongozi wa Queensland na Mwanasheria Mkuu wame tetea mageuzi ya haki ya vijana yenye utata ya jimbo hilo, licha ya ukosoaji kutoka wadau na Umoja wa Mataifa.
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024 06.12.2024 21:50
Kura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.
Australia yabadilisha msimamo wa miaka 20 kwa uvamizi wa Israel katika maeneo ya Palestine 06.12.2024 6:36
Australia imebadilisha msimamo wayo kwa azimio la Umoja wa Mataifa, linalo taka Israel isitishe kukalia kwa mabavu maeneo ya wapalestina.
Mh JP Mwirigi "ili nchi ipate heshima yake, kuna miundombinu lazima ijenge" 03.12.2024 13:23
Maamuzi ya utoaji wa kandarasi ya ukarabati ya baadhi ya miundombinu, yame iweka serikali ya Kenya chini ya shinikizo kubwa hivi karibuni.
Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024 03.12.2024 19:28
Umoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.
Kuelewa jinsi maduka ya dawa yanavyo fanya kazi Australia 03.12.2024 16:27
Nchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.
Taarifa ya Habari 29 Novemba 2024 29.11.2024 18:08
Waziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.
Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini 29.11.2024 7:32
Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.
Taarifa ya Habari 26 Novemba 2024 26.11.2024 15:15
Mchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.
Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi 26.11.2024 13:35
Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.
Mh JP Mwirigi "nili ota nina soma muswada bungeni" 19.11.2024 27:41
Mh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.
Taarifa ya Habari 19 Novemba 2024 19.11.2024 18:42
Ripoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.
Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia 19.11.2024 14:11
Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.
Taarifa ya Habari 15 Novemba 2024 15.11.2024 19:29
Australia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.
Jinsi yakupata akaunti ya benki inayo kufaa 15.11.2024 11:11
Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.
Barua ya marekebisho ya katiba yawasilishwa Bungeni DRC 15.11.2024 7:20
Bunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.
Taarifa ya Habari 12 Novemba 2024 12.11.2024 16:19
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.
Dj Mozz "Nataka kipaji changu kinifikishe katika tamasha zakimataifa" 12.11.2024 13:41
Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden