SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1019 avsnitt

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au

Skapare

SBS

Kategori

News

Poddens webbplats

www.sbs.com.au

Senaste avsnittet

28 sep 2026

Var kan du lyssna?

Poddar i appen Replaio Radio Kommer snart

Poddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar

Ladda ned på Google Play Installera gratis Android nästan 10 mn nedladdningar · betyg 4,8 iOS snart

Avsnitt

Serikali ya shirikisho yazungumza kwa ukali baada ya kupotea kwa huduma ya simu ya dharura ya Optus 23.09.2025

Waziri wa Shirikisho wa Mawasiliano amesema Optus inastahili tarajia adhabu kubwa, kufuatia kupotea kwa huduma ya namba ya dharura ya 000, hali ambayo ime husishwa na vifo kadhaa.

Kamerhe chini ya shinikizo kuondolewa kama spika wa bunge la DRC 22.09.2025

Taratibu zinazolenga kumfuta kazi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Vital Kamerhe zinaendelea huku kukishuhudiwa hali ya mfarakano kati ya rais Félix Tshisekedi na mshirika wake huyo wa zamani.

Taarifa ya Habari 19 Septemba 2025 19.09.2025

Kampuni ya pili kwa ukubwa ya madini imetangaza inapunguza ajira. Anglo American Australia imesema ita angaza kupunguza idadi ya wafanyakazi Queensland, na takriban wafanyakazi 200 wata athirika.

Raia wapya wa Australia wakaribishwa katika sherehe katika Siku ya Uraia ya Australia 19.09.2025

Maelfu ya watu wanasherehekea kuwa raia wapya wa Australia, katika sherehe zilizo andaliwa na halamshauri za jiji kote nchini kwa siku ya Uraia wa Australia.

SBS Learn Eng Ep 93 Namna ya kujigamba kuhusu gari lako katika Kiingereza 19.09.2025

Je, unajua jinsi ya kujigamba kuhusu gari lako?

Taarifa ya Habari 16 Septemba 2025 16.09.2025

Naibu Waziri Mkuu Richard Marles amekana madai kuwa uwekezaji wa $12 bilioni iliyo tangazwa juzi ime undwa ili kutuliza maombi ya Marekani kwa Australia kuongeza matumizi yake katika ulinzi.

SBS Learn Eng Ep 95 Anga la usiku 16.09.2025

Je, unajua jinsi ya kuelezea kuhusu anga la usiku?

Kitu chakufanya unapo kutana na wanyamapori kwenye mali yako 15.09.2025

Popote ulipo nchini Australia, kutoka jiji kuu lenye shughuli nyingi, hadi katika viunga vya mji, katika mji wa kikanda au kijijini, kuna uwezekano unaweza kutana na aina mbali mbali za wanyamapori wazuri wa Australia.

Taarifa ya Habari 15 Septemba 2025 15.09.2025

Benki ya ANZ imekiri kujihusisha na mwenendo usiofaa, katika huduma iliyotoa kwa serikali ya Australia, kulingana na Tume ya Uwekezaji na usalama ya Australia (ASIC).

Mutamba ahukumiwa kifungo cha kazi ngumu DR Congo 15.09.2025

Waziri wa Sheria wa zamani wa DR Congo, Constant Mutamba amehukumiwa na mahakama mjini Kinshana kufanya kazi ngumu kwa miaka mitatu.

Félicien Kabuga apambana kupata nchi itakayo mpokea badala ya Rwanda 12.09.2025

Mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, Félicien Kabuga anakabiliana na wakati mgumu kupata nchi itakayo mpokea kwa muda kutoka gereza la The Hague, Uholanzi.

Taarifa ya Habari 12 Septemba 2025 12.09.2025

Waziri Mkuu amesifu msaada wa wanachama wa kongamano la Visiwa vya Pasifiki, Australia inapo saka uenyeji wa kongamano la mazingira la Umoja wa Mataifa la, COP-31.

SBS Learn Eng Ep 22 Njia Rasmi na isiyo rasmi ya kualika watu 12.09.2025

Je, unajua jinsi ya kuwapa watu mwaliko rasmi na usio rasmi?

The cervical screening test that could save your life - Uchunguzi wa kizazi ambao unaweza okoa maisha yako 12.09.2025

Cervical cancer is preventable, but only if you catch it early. Cultural and personal barriers have often meant that women avoid cervical cancer testing. But now with the help of a world-leading test, Australia is aiming to eliminate cervical cancer by 2035. The test is a safe and culturally sensitive option for women from all backgrounds. Best of all it could save your life—or that of someone clo...

Uchunguzi wa kizazi ambao unaweza okoa maisha yako 09.09.2025

Saratani ya Kizazi inaweza zuiliwa, kama ina gunduliwa mapema.

Taarifa ya Habari 9 Septemba 2025 09.09.2025

Dau Akouny, mmoja wa wavulana wawili walio uawa katika shambulizi la kisu mjini Melbourne wikiendi iliyopita, amekumbukwa na familia yake kama "mtoto mzuri" na alikuwa "sehemu ya mustakabali wa kesho wa jumuiya."

Mpango wakupiga jeki idadi ya walimu wa ufundi kushughulikia uhaba wa ujuzi nchini Australia 09.09.2025

Serikali ya shirikisho imetangaza mpango wenye thamani ya $30 milioni, kupiga jeki idadi ya wakufunzi wa elimu ya ufundi.

Taarifa ya Habari 5 Septemba 2025 05.09.2025

Waziri wa mambo ya tamaduni nyingi Anne Aly, amechangia ujumbe wa mshikamano na jumuiya yawa Hindi wa Australia, kufuatia maandamano dhidi ya wahamiaji.

SBS Learn Eng Ep 94 Zungumza kuhusu autism 05.09.2025

Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu autism?

Serikali ya hamasishwa ikabiliane na ongezeko la itikadi kali za mrengo wa kulia 02.09.2025

Wanasiasa wame laani ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni iliyo onyeshwa katika maandamano kadhaa dhidi ya uhamiaji wikiendi iliyo pita.

Taarifa ya Habari 2 Septemba 2025 02.09.2025

Mbunge wa upinzani Matt Canavan amesema sera za uhamiaji za seriakli, zina wasukumu watu kuwa na maoni yenye misimamo mikali. Amesema serikali ya Labor imefungua anacho ita milango ya mafuriko ya uhamiaji baada ya janga la UVIKO-19, na inawaruhusu watu kuingia nchini kiholela chini ya ya sera zake za sasa.

Rwanda na DR Congo zakubali kuwarejesha wakimbizi makwao 02.09.2025

Shirika la UNHCR limesema viongozi wa Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekubali kuwarejesha wakimbizi walio toroka makwao mashariki mwa DRC.

Maelfu waandamana dhidi ya uhamiaji, huku wa Nazi waki chochea vurugu 02.09.2025

Wimbi la maandamano ya kitaifa dhidi ya uhamiaji yame shuhudiwa katika miji mikubwa ya Australia.

Taarifa ya Habari 29 Agosti 2025 29.08.2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema Richard Marles alikuwa na mkutano wenye tija na mshiriki wake kutoka Marekani Pete Hegseth, huku kukiwa mkanganyiko kuhusu kama, kuna mkutano rasmi ulio fanyika kati yao.

Understand Aboriginal land rights in Australia - Elewa haki za ardhi zawa Aboriginal nchini Australia 29.08.2025

You may hear the protest chant, “what do we want? Land rights!” —but what does it really mean? Land is at the heart of Aboriginal and Torres Strait Islander identity, culture, and wellbeing. Known as “Country,” it includes land, waterways, skies, and all living things. In this episode of Australia Explained, we explore Indigenous land rights—what they involve, which land is covered, who can make c...

Lyssna på podden SBS Swahili - SBS Swahili i Replaio

Radio och poddar i en och samma app - gratis och utan konto. Installera redan idag och missa inte premiären

Ladda ned på Google Play

Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden