SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Taarifa ya Habari 26 Agosti 2025 26.08.2025 16:07
Serikali ya Albanese inatarajiwa kuleta mbele mpango wakupanua mfumo unao ruhusu wanao nunua nyumba ya kwanza, kuweka amana ya hadi asilimia tano. Wakati marudio ya awali ya mpango huo yalikuwa na kikomo cha kila mwaka kwa washiriki, mfuno huo kwa sasa utakuwa wazi wa kila mtu anaye nunua nyumba.
Elewa haki za Ardhi zawa Aboriginal nchini Australia 26.08.2025 11:12
Unaweza sikia wito huu katika maandamano, “tuna taka nini? Haki za ardhi!” ila wito huo una maana gani?
Australia kutambua utaifa wa Palestina 14.08.2025 9:49
Australia ita tambua Palestina kama taifa katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wa Septemba.
Taarifa ya Habari 5 Agosti 2025 05.08.2025 12:17
Waziri wa mambo ya nje Penny Wong ame muhamasisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, asikize wito wakisitisha vita mara moja Gaza.
Tamasha ya Garma yawavutia wageni kutoka Australia na kwingineko 05.08.2025 12:28
Sherehe ya Garma katika Kijiji cha Kaskazini Mashariki Arnhem Land, cha Wilaya ya Kaskazini, ime tamatika kwa mwaka mwingine.
SBS Learn Eng Ep 38 Jinsi ya kuzungumza kuhusu muziki 05.08.2025 19:32
Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
Taarifa ya Habari 4 Agosti 2025 04.08.2025 5:06
Serikali ya shirikisho imetangaza msaada kwa Gaza uta ongezwa kwa $20 milioni hii leo Jumatatu 4 Agosti, masaa machache baada yamakumi yama elfu kutembea katika Daraja maarufu la bandari ya Sydney, jana Agosti 3, katika maandamano dhidi ya vita vinavyo endelea Gaza.
Kenya, Uganda na Tanzania tayari kwa sherehe ya soka 04.08.2025 5:39
Wapenzi wa soka barani Afrika wana elekea Kenya, Uganda na Tanzania kuhudhuria michuano ya Afrika iliyo ahirishwa mwaka jana.
Mvutano wakibiashara waibuka kati ya Tanzania na Kenya 01.08.2025 7:49
Kenya imepinga sheria mpya za biashara na kodi za Tanzania ikizitaja kuwa za kibaguzi na zinazohatarisha ushirikiano wa kiuchumi Afrika Mashariki.
Taarifa ya Habari 1 Agosti 2025 01.08.2025 15:09
Waziri Mkuu Anthony Albanese ana enda kuhudhuria tukio kubwa linalo waleta pamoja wa Australia wa Asili katika wilaya ya Kaskazini.
SBS Learn Eng Ep 89 Jinsi yakuzungumza kuhusu nyumba yako 01.08.2025 15:49
Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
Jinsi yaku anza biashara yako ya nyumbani nchini Australia 01.08.2025 14:19
Biashara ya nyumbani inaweza sikika kuwa yakuvutia kwa wengi. Ina punguza gharama, inatoa fursa mbali mbali, inafaa taaluma tofauti, na silazima kazi hiyo ifanyiwe ofisini.
Taarifa ya Habari 31 Julai 2025 01.08.2025 5:56
Wanafunzi milioni tatu nchini Australia wata punguziwa deni zao za elimu, hii ni baada ya muswada wa Labor ulio tazamiwa sana kupitishwa bungeni hii leo.
Taarifa ya Habari 29 Julai 2025 29.07.2025 16:04
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema anaendeleza juhudi zakupunguza shinikizo za gharama ya maisha, akimulika mpango wakupunguza bei za madawa.
Je ni bora kuhudumia mtu mwenye ugonjwa wakusahau nyumbani au la? 29.07.2025 10:24
Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.
Muthoni "kuna vitu unaweza fanya kupunguza kasi ya ugonjwa wa dementia" 25.07.2025 14:46
Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.
Taarifa ya Habari 25 Julai 2025 25.07.2025 15:40
Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.
Australia Yafafanuliwa: pengo la elimu yawa Australia wa Asili na njia ya mbele 25.07.2025 16:44
Elimu ni njia yakupata fursa ila, kwa muda mrefu wanafunzi wa Asili nchini Australia, wame kabiliana na vizuizi vya kupata mafanikio.
Taarifa ya Habari 24 Julai 2025 24.07.2025 6:37
Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.
Dr Nadine "Afrika Diaspora Co-operative itatupa fursa za uwekezaji" 23.07.2025 12:36
Wanachama wa jamii zenye asili ya Afrika wanao ishi jimboni New South Wales, wame ungana kuunda shirika linalo toa fursa za uwekezaji wa muda mrefu.
SBS Learn Eng Ep 43 Jinsi yakuzungumza kuhusu kusoma na vitabu 22.07.2025 14:52
Je, unajua jinsi yaku zungumza kuhusu kusoma na vitabu?
Taarifa ya Habari 22 Julai 2025 22.07.2025 14:15
Waziri Msaidizi wa Waziri Mkuu amesema serikali iko tayari kuwafanyia kazi wa Australia, katika kikao cha kwanza cha bunge la shirikisho hii leo.
Msimu mpya wa Bunge wafunguliwa Canberra- kwa wakongwe na wageni 22.07.2025 14:18
Wanasema siasa hutengeza wenza wa ajabu, na bunge la 48 limejaa wenza hao.
Rwanda yajipata pabaya katika ripoti ya kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa 07.07.2025 7:07
Ripoti ya siri ya watalaam wa Umoja wa Mataifa imeishtumu Rwanda kwa kutoa maagizo na kudhibiti shughuli za waasi wa M23.
Taarifa ya Habari 4 Julai 2025 04.07.2025 15:48
Kamishna wa zamani wa tume yakifalme ame kosoa serikali, kwa kufeli kuchukua hatua haraka kwa mfumo wakitaifa wakufanya ukaguzi kwa ajili yakufanya kazi na watoto.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden