SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au
Var kan du lyssna?
Poddar i appen Replaio Radio Kommer snartPoddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar
Avsnitt
Yaliyojiri Afrika:Marekani kutathmini upya ushirikiano wake na Uganda baada ya uchaguzi 02.02.2026 8:44
Kwa maelezo ama habari zaidi elekea kwenye tovuti yetu ya sbs.com.au/swahili.
Makala leo:mkataba wa muungano wa falepili kati ya australia na tuvalu wazinduliwa rasmi 02.02.2026 6:25
Mkataba wa Muungano wa Falepili kati ya Australia na Tuvalu uliangaziwa kama wa kwanza wa aina yake duniani, ukiwa na kifungu kimoja cha makubaliano kinachoruhusu hadi watu 280 wa Tuvalu kuhamia Australia kila mwaka kama njia ya kukabiliana na viwango vya bahari vinavyoongezeka na kutishia ardhi yao. Kikundi cha kwanza cha wahamiaji chini ya makubaliano haya sasa wamewasili Australia. Hata hivyo,...
#102 Getting organised (Med) - #102 Jinsi ya kujipanga 02.02.2026 10:31
Learn practical English phrases for getting organised and managing daily tasks, including planning ahead, meeting deadlines, and staying on top of responsibilities. - Jifunze misemo ya Kiingereza kwa vitendo ili kujipanga na kusimamia majukumu ya kila siku, ikiwemo kupanga mapema, kufikia tarehe za mwisho, na kuwajibikia majukumu yenu.
#101 Having a laugh (Med) - #101 Jinsi tofauti ya kuelezea kicheko 02.02.2026 11:18
Learn how to talk about things that make you laugh. Practise phrases that help you share stories, react to jokes, and enjoy conversations more. - Jifunze jinsi ya kuzungumzia mambo yanayowachekesha. Fanyeni mazoezi ya misemo inayowasaidia kushiriki hadithi, kuitikia vichekesho, na kufurahia mazungumzo zaidi.
Public transport in Australia: breaking down the basics - Australia yafafanuliwa:mambo ya msingi kuhusu usafiri wa umma nchini Australia 30.01.2026 8:09
Like in most countries, public transport in Australia is the cheapest way to get around. It includes trams, buses, trains and ferry services. And each state or territory has its own transport network. However, navigating Australia’s public transport system with ease requires knowing the basics around how it works and what to expect. - Kama ilivyo katika nchi nyingi, usafiri wa umma nchini Australi...
Taarifa ya habari:tahadhari ya jua na joto kali iliyovunja rekodi yaendelea kutolewa 30.01.2026 11:23
**WATU WAWILI WAKAMATWA NA POLISI BAADA YA TUKIO LA UFYATULIAJI RISASI HUKO GEELONG. **KIPITO CHA RAFAH KATI YA EGYPT NA GAZA KUFUNGULIWA BAADA YA MIAKA MIWILI ** TAHADHARI KUHUSU MLIPUKO WA VIRUSI VYA NIPAH HUKO INDIA.
Yaliyojiri Afrika:Watanzania bado wanakabiliwa na athari za baada ya uchaguzi wa hivi karibuni 29.01.2026 8:52
Watanzania bado wanakabiliwa na athari za baada ya uchaguzi wa hivi karibuni, huku wanahabari wakizuiwa kuripoti usimulizi mbele ya tume ya uchunguzi. Makubaliano kati ya Congo na Marekani kuhusu madini yana dosari kubwa.
Makala leo:Maelfu wanadai fidia baada ya Huduma za Australia kutumia sheria za msaada wa watoto visivyo 29.01.2026 7:30
Ripoti muhimu imefichua kuwa Service Australia ilikwepa kwa makusudi sheria za malezi ya watoto kwa muda wa miaka sita, ikiwa imezuia ndani kwa ndani malipo kwa zaidi ya wazazi 16,000 ambao walitoa chini ya asilimia 35 ya huduma kwa watoto wao. Wakati shirika hilo lilipinga kuwa sheria ilileta "matokeo yasiyotarajiwa" kwa kuulazimisha walezi wakuu kulipa wale wenye majukumu kidogo ya huduma, Ombud...
Makala leo:Wito kwa shule kusaidia kubaini ishara za ndoa za kulazimishwa 29.01.2026 4:40
Wanafunzi wanaporudi shuleni kwa mwaka mpya, Polisi wa Shirikisho la Australia(Federal Police) wanatoa wito kwa shule kuwa waangalifu kwa ishara za wanafunzi kulazimishwa kuingia kwenye ndoa za kulazimishwa.
Makala leo:Je, Australia inapaswa kuyafikiria upya maelewano yake na Marekani? 29.01.2026 10:21
Vitisho vya kijeshi vya Donald Trump na vita vya kibiashara vinavyoandika wasiwasi kwa washirika, baadhi ya wataalamu wanatoa wito wa kufikiria upya ushirikiano wa muda mrefu wa Australia na Marekani. Mjadala umeimarishwa na hotuba ya Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, katika Jukwaa la Kiuchumi Duniani, ambayo iliwashauri nchi zenye nguvu ya kati kupinga kudhoofisha maadili yao kwa maamuzi ya ngu...
Makala leo:kundi la wanasayansi watafiti asili, chakula na kukua kwa samaki 27.01.2026 6:54
Mamilioni ya watu duniani kote huugua kila mwaka kutokana na vyakula visivyo salama au vilivyochafuliwa. Baadhi ni kutokana na udanganyifu wa vyakula, kitendo cha kuuza makusudi bidhaa za chakula bandia, zilizodanganywa au zilizobadilishwa kwa faida ya kifedha. Wanasayansi wa Australia wameunda njia mpya za kukabiliana na tatizo hili la mabilioni ya dola
Makala leo:Siku ya Australia yaadhimishwa licha ya maoni mbalimbali 27.01.2026 6:01
Siku ya Australia imeadhimishwa kote nchini kwa sherehe za uraia na tuzo za Mwanaustralia wa Mwaka. Siku hiyo pia imeadhimishwa na watu wa Kabila la Aborijini na Visiwa vya Torres Strait ambao wamekusanyika kote nchini kwa matukio ya kila mwaka kuadhimisha Januari 26 - ikiwa ni pamoja na maandamano ya Siku ya Mvamizi.
Tarifa ya habari:mamlaka za dharura zatoa tahadhari juu ya jua kali 27.01.2026 10:25
**MAMLAKA ZA DHARURA ZATOA TAHADHARI KUHUSU HALI YA HEWA LEO PANDE TOFAUTI VICTORIA **CHAMA CHA LIBERALS LIKO CHINI YA SHINIKIZO NA MSUKUMO WA ZIADA **KUNA PENDEKEZO MPYA YA KUFANYA MAFUTA YA KUJIKINGA NA JUA KUWA LAZIMA SHULENI
#100 More or less? Talking about quantities - #100 Kiasi na idadi 23.01.2026 8:33
Learn how to talk about amounts and quantities in everyday English. - Je, unajua jinsi ya kutumia kiasi na idadi katika kiingereza ya kila siku?
Taarifa ya habari:Wanachama wa National wajiuzulu kufuatia sheria tata za hotuba za chuki 23.01.2026 11:31
**Polisi wamsaka mtuhumiwa wa mauaji New South Wales ** Waustralia hamsini na tatu wataiwakilisha taifa kwenye Michezo ya Olimpiki **Na tamasha ya muziki ya Tamworth yaanza kesho.
Makala:Serikali ya Victoria kuendelea na ubomozi wa nyumba za umma licha ya upinzani 23.01.2026 13:05
Katika wakati wa mgogoro wa makazi na gharama za maisha, serikali ya Victoria iko katika mchakato wa kubomoa minara yote 44 ya makazi ya umma ya Melbourne. Licha ya upinzani mkubwa na uchunguzi wa bunge unaotaka kusitishwa kwa haraka kwa kazi hizo, serikali ya Victoria inaendelea na mipango hiyo. Kuhama nyumba huchukuliwa kuwa moja ya matukio yenye msongo mkubwa zaidi katika maisha ya mtu. Kwa hiv...
Yaliyojiri Afrika:Mkuu wa jeshi la Uganda atishia kumuua kiongozi wa upinzani Boby Wine 23.01.2026 8:45
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili.
Taarifa ya habari:Nchi za Ulaya zajiandaa kutetea eneo la Denmark 20.01.2026 12:13
**Papa waendelea kuwashambulia watu huko Sydney ** Rais Donald Trump aendelea na mchakato wake wa kuchukua Greenland **Soko la Samaki la Sydney sasa limefunguliwa
Makala leo:Mkakati mpya wa usalama wa maji wazinduliwa 19.01.2026 7:58
Tangu kuanza kwa kiangazi, watu 33 wamepoteza maisha yao kutokana na kuzama maji huko Australia. Kwa kuwa kuzama maji kunatokea zaidi tangu Janga la COVID-19, Baraza la Usalama wa Maji la Australia limetoa Mkakati Mpya wa Usalama wa Maji wa Australia 2030, ambao unalenga kuimarisha juhudi za kitaifa kupunguza vifo vya kuzama maji kwa asilimia 50 kufikia mwisho wa muongo huu.
Yaliyojiri Afrika:Upinzani wakataa matokeo ya uchaguzi Uganda 19.01.2026 8:47
Mwanahabari Jason Nyakundi anatujuza yanayoendelea Afrika. Kwa habari ama maelezo zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili.
Makala leo:jinsi ya kutambua na kuepuka ulaghai wa AI 16.01.2026 10:44
Utafiti mpya unaonyesha kwamba Waustralia wanaamini kupita kiasi juu ya uwezo wao wa kutambua ulaghai wa AI deepfake, hata teknolojia inavyoendelea kuwa ngumu zaidi kugundua. Wataalamu wanatahadharisha kwamba wadanganyifu wanaiba imani na hisia, na wanatoa wito kwa nyinyi kusimama, kuthibitisha na kukataa ujumbe unaotia shaka. Ikiwa mnadhani mngeweza kutambua ulaghai wa deepfake za AI papo hapo, h...
Yaliyojiri Afrika:kura zimeanza kuhesabiwa Uganda licha ya matatizo ya kiufundi hapo awali 16.01.2026 9:03
Kwa maelezo au habari zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.su/swahili.
Taarifa ya habari:tume ya kifalme ya kuchunguza hotuba za chuki yakosa uungwaji mkono 16.01.2026 9:31
** Kikundi cha Kiyahudi kinatoa wito wa mabadiliko na ucheleweshaji wa marekebisho ya hotuba za chuki za serikali... ** Angalau watu watano wameuawa katika mashambulio ya anga ya Israeli katika Ukanda wa Gaza ** Donald Trump ametishia kutuma wanajeshi kwenda Minneapolis ili kutuliza maandamano yanayoendelea juu ya matendo ya maafisa wa uhamiaji wa shirikisho katika Minnesota.
Taarifa ya habari:Kevin Rudd ajiuzulu kama balozi wa Australia nchini Marekani 13.01.2026 9:08
**Kevin Rudd ajiuzulu kama balozi wa Marekani... **Mlipo wa bomu waua maafisa wa polisi kaskazini mwa Pakistan... **Meta yazua shauku kuhusu Australia kuongeza umri wa kutumia mitandao ya kijamii. Kwa habari ama maelezo zaidi tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili.
Yaliyojiri Afrika:Uganda yajiandaa kwa uchaguzi mkuu Alhamisi 12.01.2026 9:08
Mwanahabari Jason Nyakundi anatujuza yanayoendelea Afrika. Tembelea tovuti yetu sbs.com.au/swahili kwa maelezo au habari zaidi.
Liknande poddar
Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden