SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 1019 avsnitt

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Glöm inte att besöka poddens webbplats och stötta skaparen: www.sbs.com.au

Skapare

SBS

Kategori

News

Poddens webbplats

www.sbs.com.au

Senaste avsnittet

28 sep 2026

Var kan du lyssna?

Poddar i appen Replaio Radio Kommer snart

Poddar kommer snart till appen. Installera nu och bli först med att uppleva ett helt nytt sätt att lyssna på poddar

Ladda ned på Google Play Installera gratis Android nästan 10 mn nedladdningar · betyg 4,8 iOS snart

Avsnitt

Makala leo: Waumini wa dini laki Islamu wa anza mfungo wa Ramadan nchini Australia na duniani kote 20.02.2026

Mwezi mtukufu wa Ramadan ume anza, Waislamu kote duniani wakisherehekea Iftar katika siku ya pili ya kipindi cha mfungo.

Taarifa ya Habari: Polisi wamkamata kakake Mfalme Charles 20.02.2026

Andrew Mountbatten-Windsor ameachiliwa huru chini ya uchunguzi baada ya polisi wa Uingereza kumhoji kwa saa muda wa masaa 12 kwa tuhuma za utovu wa nidhamu katika ofisi ya umma.

SBS Learn Eng Ep 65 Jinsi yakuzungumza kuhusu michezo ya Olimpiki 20.02.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

Taarifa ya Habari: Jamii yawa Islamu nchini katika hali ya tahadhari kubwa 19.02.2026

Ripoti mpya ya kiuchumi inaonya Australia ina elekea kupoteza hadhi yake, kama taifa lenye deni la chini, huku mikopo ya serikali ikifikia viwango ambavyo havija onekana tangu vita vya pili vya dunia.

SBS Learn Eng Ep 103 Namna yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni 18.02.2026

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

Angus Taylor ashinda kura ya uongozi wa upinzani wa shirikisho 17.02.2026

Angus Taylor amechukua uongozi wa chama cha Liberal katika kura ya maamuzi ya chama chake kwa ushindi thabiti wa kura 34 dhidi ya 17 zilizotolewa kwa aliyekuwa kiongozi wake.

Taarifa ya Habari: Sera ya upinzani yakupiga maarufuku baadhi ya wahamiaji kuingia nchini yazua gumzo 17.02.2026

Mbunge wa chama cha One Nation Barnaby Joyce, amesema ni wazi sera ya uhamiaji ya chama chake, ina ungwa mkono na chama cha Liberal, akihoji madai ya baadhi yama seneta wa chama cha Liberal kuwa hawana taarifa kuhusu mpango huo wa uhamiaji.

Yaliyojiri Afrika: Burundi yapewa nafasi ya uwenyekiti AU 17.02.2026

Kuteuliwa kwa Burundi kuwa mwenyekiti wa umoja wa Afrika, kunatarajiwa kuleta tija katika juhudi zakutatuwa migogoro inayo zikabili baadhi ya nchi za jumuia hiyo kutokana na Burundi kuwa na uzoefu katika maswala ya kusimamia amani.

ACCC yadai Coles ilidai ilipunguza bei- lakini haikufanya hivyo 17.02.2026

Shirika la uangalizi la watumiaji la Australia, lina fungulia mashtaka duka la Coles katika mahakama ya shirikisho.

Taarifa ya Habari: Mshtakiwa wa mauaji ya Bondi afikishwa mahakamani 16.02.2026

Mwanaume ambaye ame shtumiwa kwa kushiriki katika shambulizi laki gaidi katika fukwe ya Bondi, amefikishwa mahakamani.

Yaliyojiri Afrika: Upinzani dhidi ya kampuni za USA kupata madini ya DRC waongezeka 13.02.2026

Upinzani dhidi ya mpango waku ruhusu kampuni za Marekani kupata madini muhimu nchini Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, una ongezeka baada ya Rais Tshisekedi kurejea nchini kutoka mkutano wa madini ulio fanyika Marekani wiki iliyopita.

Taarifa ya Habari: Sussan Ley astaafu kutoka siasa 13.02.2026

Kiongozi wa upinzani wa kwanza wa kike nchini Australia Sussan Ley ametangaza kuwa amestaafu kutoka siasa.

Australia yafafanuliwa: Jinsi yakupona kutokana na moto wa vichaka 13.02.2026

Hali ya mazingira ya joto na ukavu pamoja na mandhari yakipekee, hufanya Australia iwe mojawapo ya nchi zinazo kabiliwa na moto wa vichaka zaidi duniani.

Taarifa ya habari:Ziara ya rais wa Israel Isaac Herzog, yazua utata 10.02.2026

**ZIARA YA RAISI WA ISRAEL AUSTRALIA YAZUA UTATA HUKU WAANDAMANAJI NA POLISI WAKIKABILIANA KATIKA MAANDAMANO DHIDI YA RAIS HUYO ** SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA KWANZA WA FAMILIA NA UNYANYASAJI WA WANAWAKE NA WATOTO WA MATAIFA YA KWANZA. **NA CHAMA CHA LIBERAL BADO LIANENDELEA KUWA NA MZOZO WA UONGOZI WA CHAMA BAADA YA KUGAWANYIKA KWA SIKU 17

Yaliyojiri Afrika:Rwanda haikubali kutishwa na Marekani 10.02.2026

Kwa habari na melezo zaidi, tembelea tovuti ya sbs.com.au.

What actually happened on January 26? - Australia yafafanuliwa:Nini kilifanyika Januari 26? 10.02.2026

January 26 is one of the most debated dates in Australia’s history. Often described as the nation’s birthday, the day marks neither the formal founding of the colony nor the creation of the Commonwealth. Instead, it reflects a layered history shaped by colonisation, political decisions, and ongoing First Nations resistance. Understanding what actually happened on January 26 reveals why the date is...

Makala leo:Australia na Indonesia wasaini mkataba wa usalama 09.02.2026

Waziri Mkuu Anthony Albanese amepongeza makubaliano mapya ya usalama na Indonesia kama mabadiliko muhimu kuelekea ushirikiano wa karibu wa ulinzi kati ya nchi hizi mbili. Hata hivyo, wachambuzi wanaonya kwamba mkataba huo unaweza kuja na gharama kubwa, ikiwezekana kupuuza masuala ya haki za binadamu yanayoendelea huko Papua Magharibi na wasiwasi kuhusu mwelekeo wa kisiasa wa siku zijazo wa serikal...

Makala leo:Shirika la Haki za Binadamu laonya kuwa demokrasia iko hatarini ikilinganishwa na miaka ya 1980 09.02.2026

Demokrasia na utaratibu wa kimataifa unaozingatia sheria ziko hatarini, kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Shirika la haki za binadamu ama Human Rights Watch. Kuna msisitizo mahususi juu ya Marekani na kile ambacho chombo cha kimataifa kinaelezea kama kudorora kwa haki za binadamu, lakini pia kuna tahadhari juu ya Australia. Sera za uhamiaji na kuwekwa kizuizini kwa vijana za Australia zinaorodh...

Taarifa ya habari:waziri Mkuu Anthony Albanese atasaini mkataba wa kihistoria wa usalama na Rais wa Indonesia 06.02.2026

**WAZIRI MKUU ANTHONY ALBANESE YUKO INDONESIA KUSAINI MKATABA WA KIHISTORIA WA USALAMA **MAJESHI YA MAREKANI NA URUSI YATANGAZA KUANZA KUSHIRIKIANA TAARIFA ZA KIJESHI HUKU MAZUNGUMZO YA AMANI NA UKRAINE YAKIENDELEA **WATU ZAIDI YA MIA MOJA HAMSINI WAFARIKI BAADA YA SHAMBULIO NIGERIA

Yaliyojiri Afrika: AL Islam Gaddafi, mwanawe Omar Gaddafi, auwawa 06.02.2026

*AL-Islam Gaddafi auwawa Libya *Vikwazo vimewekwa na Marekani dhidi ya watu wanaodaiwa kuchochea vita Sudan

Makala leo:viwango vya riba vyaongezeka baada ya kusitishwa kwa miaka miwili 06.02.2026

Benki ya Hifadhi ya Australia imehitimisha mapumziko ya miaka miwili kwa kuongeza viwango vya riba hadi asilimia 15, jambo ambalo limeanzisha mjadala mkali wa kisiasa juu ya kama matumizi ya serikali au mahitaji ya watu binafsi ndiyo yanayosababisha mfumuko wa bei kuendelea. Wakati Mweka Hazina anatetea bajeti na kuashiria mashinikizo ya nje, Upinzani na Kijani wanadai kuwa sera za sasa zinawaadhi...

Makala leo:Utafiti umebaini ongezeko la upekuzi usio na kibali katika jamii zenye tamaduni mbalimbali 06.02.2026

Utafiti mpya unaonyesha kuwa jamii zilizo na mchanganyiko wa rangi tofauti zinafanyiwa upekuzi bila kibali mara tatu na nusu zaidi kuliko jamii katika maeneo yenye watu wengi weupe. Kulingana na uchambuzi wa matumizi ya nguvu za upekuzi zisizo za kawaida na Polisi wa Victoria, hali hii inaonekana hata pale ambapo maeneo ya jamii zenye watu wengi weupe yana viwango vya juu vya uhalifu.

How does IVF work in Australia? - Australia yafafanuliwa:IVF hufanyaje kazi nchini Australia? 05.02.2026

Did you know that IVF is not the first, but in fact the last step in a sequence of fertility treatments? In Vitro Fertilisation is regulated by state and territory laws. It can also be expensive and emotionally challenging. Here’s what to expect when aiming to start a pregnancy with IVF in Australia. - Je, mnajua kwamba IVF si hatua ya kwanza, bali ni hatua ya mwisho katika mlolongo wa matibabu ya...

Makala leo:Mildura imevunja rekodi ya joto kali,mabadiliko ya hali ya hewa yanapoendelea,nini kinafuata? 05.02.2026

Kwa wengi katika kusini-mashariki mwa Australia, siku baada ya Siku ya Australia ilileta hali ya joto kali na rekodi za viwango vya joto. Katika Mildura, jimboni Victoria, kaskazini-magharibi zaidi, joto lilifikia nyuzi 48.6. Na wakati maeneo ya pwani yalifurahia kupungua kwa joto, maeneo ya bara yalilazimika kukabiliana na joto kali lililodumu kwa wiki moja. Wataalamu wanasema aina hizi za matuki...

Taarifa ya habari:Benki ya hifadhi inatarajiwa kuongeza kiwango cha riba 03.02.2026

**BENKI YA HIFADHI INATARAJIWA KUONGEZA KIWANGO CHA RIBA **INDIA NA MAREKANI WAMEFIKIA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA **KITUO CHA KITAIFA CHA DAWA ZA KULEVYA CHATOA TAHADHARI KUHUSU DAWA HATARI ZA STAREHE ** IRAN INAJIANDAA KWA MAZUNGUMZO NA MAREKANI KUHUSU NYUKLIA

Lyssna på podden SBS Swahili - SBS Swahili i Replaio

Radio och poddar i en och samma app - gratis och utan konto. Installera redan idag och missa inte premiären

Ladda ned på Google Play

Replaio är ingen poddutgivare; programnamn, omslag och ljud tillhör sina upphovspersoner och distribueras via offentliga RSS-flöden