Clifford Sangai
SportsCast
Clifford Sangai anaungana na wachambuzi mbalimbali kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Mabadiliko ambayo Koeman anayafanya ndani ya Barcelona 19.12.2020 22:40
Kila kocha huja na mbinu na falsafa yake, Barcelona chini ya Ronald Koeman ni tofauti na ya makocha waliopita hususani katika namna wanavyocheza. SportsCast imeangazia mabadiliko ya kimbinu ambayo kocha huyo ameyaleta katika klabu ya Barcelona. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09
Kwanini Arsenal imetengeneza nafasi chache za kufunga? 13.12.2020 28:01
Arsenal ya msimu huu imekua ikitegemea krosi zaidi ili kufikisha mpira kwenye box la timu pinzani. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew ambaye anachambua kwa kina mbinu za Arsenal kwa msimu huu na kutoa ufafanuzi juu ya uhaba wa nafasi za kutengeneza magoli katika kikosi cha Mikel Arteta. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter...
Umuhimu wa Viungo katika mfumo wa Sven 03.12.2020 26:31
Pira biriani la simba linachagizwa na umahiri wa viungo walio chini ya kocha Sven Vandenbroeck ambaye kupitia mfumo wake timu imeweza kutengeneza nafasi nyingi za kufunga na kumiliki mpira kwa asilimia kubwa. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kuangazia kwa kina umuhimu wa kila kiungo wa Simba ndani ya mfumo wa Sven. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscas...
Nafasi ambayo Paul Pogba anapaswa kucheza 23.11.2020 27:00
Je Bruno Fernandes amechukua nafasi ya Pogba uwanjani?, Inawezekana Pogba na Bruno wakafiti kwenye timu moja?. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujibu maswali hayo na kuangazia zaidi uwezo wa Paul Pogba katika nafasi mbalimbali pindi awapo uwanjani. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s...
Kuna haja ya kurejesha sub 5 EPL? 14.11.2020 17:05
Utaratibu wa kufanya mabadiliko uwanjani kwenye ligi kuu Uingereza umehusishwa kuleta madhara mbalimbali kwa wachezaji. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili kwa kina madhara hayo kwa wachezaji na mapendekezo ya makocha mbalimbali. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09
Mipango ya Cedric Kaze & Tatizo Sugu la Waamuzi 10.11.2020 28:26
Je Kocha Cedric Kaze ameleta mabadiliko yoyote kwenye kikosi cha Yanga? Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kuichambua kwa kina mipango Kaze ndani ya Yanga kadhalika pia tunaangazia kwa undani zaidi tatizo la waamuzi kushindwa kuhimili michezo katika Ligi Kuu Bara. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/S...
Namna Liverpool inavyokabiliana na pengo la Virgil Van Djik 26.10.2020 23:32
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kuangazia Liverpool iliyo chini ya Jurgen Klopp inavyokabiliana na pengo la Van Djik. Pia tumeangazia kwa kina mabeki ambao Liverpool inaweza kuwasajili ili kuziba pengo la Van Djik na Mfumo mpya ambao Klopp anautumia kwa sasa. Tufuate katika mtandao wa Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09 Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshi...
Champions League: Rashford ang'ara tena Paris & Madrid yaendeleza rekodi mbaya UEFA 22.10.2020 22:07
UEFA Champions League imerejea tena kwa kishindo. Safu ya Ulinzi ya Manchester ikiwatia kibindoni Mbappe na Neymar, Frank Lampard aweka rekodi mpya Chelsea, Makinda wa Barcelona wang'ara mbele ya Messi, Mbinu za Simeone zagonga mwamba, Klopp afanya maamuzi magumu Amsterdam na Madrid msimu mpya mambo yaleyale. Uchambuzi wa kina wa yaliyojiri kwenye Champions League unaletwa kwenu na Clifford anayeu...
Namna gani Mikel Arteta ni tofauti na Pep Guardiola? 19.10.2020 24:56
Arteta na Pep wanafanana katika nyanja mbalimbali lakini soka ndio limewaleta pamoja. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili historia za makocha hawa wawili kadhalika pia na utofauti wa mbinu wanazotumia katika timu wanazoziongoza.
Dirisha la Usajili: Man Utd, Arsenal, Liverpool, Everton, Barcelona & Bayern Munich. 09.10.2020 44:05
Dirisha la usajili barani ulaya limekua la kuvutia sana, likihusisha wachezaji mbalimbali kujiunga na vilabu vikubwa barani Ulaya. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili namna vilabu barani ulaya vimetumia dirisha hili la usajili ili kuimarisha vikosi vyao na kuleta ushindani katika ligi zao. Tumeangazia dili la Cavani kwenda Manchester United, Partey kwenda Arsenal na Douglas Co...
Kwa namna gani Krmpotic alifeli kuiunganisha timu ya Yanga? 04.10.2020 30:03
Krmpotic hana historia ya kukaa kwenye klabu kwa zaidi ya mwaka mmoja na amekua akilalamikiwa kwa namna anavyopanga kikosi chake. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew ambaye anachambua kwa kina namna Krmpotic alivyofeli kuiunganisha timu ya Yanga.
Manchester City; Msimu mpya mambo yaleyale & Sintofahamu ya Penati za 'Handball' EPL. 01.10.2020 29:06
Hadi sasa Manchester City imetumia kiasi cha Pauni milioni 400 kwa ajili ya safu ya ulinzi tangu kocha Pep Guardiola atue klabuni hapo lakini bado hakuna utofauti na wamekua wakiruhusu magoli ya aina ileile. Sheria mpya ya 'Handball' imeleta sintofahamu nyingi hususani kwa mashabiki na makocha katika ligi kuu ya uingereza. Clifford Sangai anaungana na mchambuzi Prosper Bartalomew kujadili maswa...
SportsCast-Trailer 30.09.2020 1:30
Ungana nasi mara mbili kwa wiki tukikuchambulia soka kwa namna ya kipekee kabisa.
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.