SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.sbs.com.au
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Hatimae Martin Fayulu atangaza atawania Urais DRC 01.10.2023 8:24
Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.
Taarifa ya Habari 26 Septemba 2023 26.09.2023 15:05
Daniel Andrews ametangaza uamuzi wake wakujiuzulu kama kiongozi wa Victoria.
Jinsi yakujiandaa kufanya mtihani wa uraia wa Australia 26.09.2023 12:43
Kuwa raia wa Australia ni uzoefu wa kusisimua na wenye zawadi kwa wahamiaji wengi.
Wambui azindua kampuni ya mavazi ya Ga-Kenia 06.09.2023 6:30
Tamasha ya Africultures hutoa fursa nyingi kwa wajasiriamali kukutana na kupata wateja wapya.
Taarifa ya Habari 5 Septemba 2023 05.09.2023 18:16
Serikali imesema haita piga hatua nyuma kwa pendekezo la sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, licha ya matokeo mapya ya kura ya maoni ambayo yanaonesha hali si nzuri kwa kura ya maoni ijayo.
Wimbo maarufu wa John Farnham watumiwa katika kampeni ya kura ya Ndio 05.09.2023 7:01
Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ndani ya katiba inafeli.
Taarifa ya Habari 4 Septemba 2023 04.09.2023 7:24
Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amekosoa msimamo wa kiongozi wa upinzani Peter Dutton kwa Sauti yawa Australia wa kwanza bungeni.
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2023 03.09.2023 16:44
Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema uamuzi wa serikali ya Labor kukataa ombi la shirika la ndege la Qatar, kuongeza huduma zaidi nchini Australia kuta wadhuru wa Australia.
Delphine "Jamii imepokea kazi zetu vizuri ila, tunahitaji waje tushirikiane nao zaidi" 03.09.2023 7:27
Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika viwanja kwa Sydney Olympic Park kwa tamasha ya Africultures 2 Septemba 2023.
Brian "Kita eleweka 16 Septemba ndani ya Melbourne Pavilion" 31.08.2023 17:47
Brian 'Swagga Boy' Agina ni bondia mwenye asili ya Kenya anaye ishi jimboni Victoria, Australia.
Kuku ashawishi ushindi katika tamasha ya Tamaduni Day 31.08.2023 9:40
Wanachama wa jumuiya yawa Kenya wanao ishi jimboni Victoria, hivi karibuni walishiriki katika tamasha ya tamaduni zao.
Taarifa ya Habari 29 Agosti 2023 29.08.2023 17:04
Waziri Mkuu Anthony Albanese, ajiaandaa kutangaza tarehe ya kura ya moani kwa Sauti yawa Australia wa Kwanza bungeni.
Jinsi yaku saidia wanyamapori walio jeruhiwa nchini Australia 29.08.2023 12:21
Australia ni nyumbani kwa baadhi ya wanyamapori wa aina mbalimbali na wanaovutia duniani, matokeo ya kutengwa kwa Australia kama bara na historia yakipekee ya mageuzi ambayo yametokea kwa ma milioni ya miaka.
Marekani yaweka vikwazo dhidi ya wanajeshi na wanamgambo wa DRC na Rwanda 27.08.2023 7:00
Wanajeshi na wanamgambo 6 kutoka DR Congo na Rwanda wame wekewa vikwazo na Marekani kwa madai yaku chochea mizozo katika mashariki mwa Congo.
Historia ya tengezwa katika fainali ya kombe la dunia mjini Sydney 23.08.2023 9:22
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kote duniani, walijumuika mbele ya runinga zao kutazama fainali ya Kombe la Dunia la FIFA kutoka mjini Sydney, Australia.
Taarifa ya Habari 22 Oktoba 2023 22.08.2023 16:21
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema kampeni ya La kwa sauti yawa Australia wa kwanza bungeni, inajaribu kupotosha watu dhidi yakuwatambua wa Australia wa kwanza nakuanzisha tume ya ushauri katika katiba.
Richard Tuta "Nchi inapokumbwa na migogoro, maendeleo husahaulika" 22.08.2023 7:29
Nchi nyingi barani Afrika zina endelea kukabiliana na changamoto za migogoro na uhaba wa maendeleo kila uchao.
Kudhibiti ugonjwa wa vituo vya malezi ya watoto: Vidokezo kwa wahamiaji wapya na wazazi wa mara ya kwanza 22.08.2023 9:41
Kuanza kupeleka mtoto katika huduma ya malezi ya watoto mapema, inaweza kuwa suluhisho la vitendo kwa kusawazisha matarajio ya kazi na wajibu wa uzazi.
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2023 20.08.2023 18:32
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema sifa ya Australia duniani, ime imarika serikali inapo wekeza katika ulinzi pamoja na mahusiano yakimkakati.
Mchakato wa urithi ni upi nchini Australia 20.08.2023 10:06
Tofauti na nchi zingine, wa Australia huwa hawalipi kodi ya urithi kwa mali wanazo rithi.
Styve Derrick "tuna fursa za kazi ila tunakosa wafanyakazi Sweden" 17.08.2023 10:09
Makampuni na biashara nyingi duniani zina, endelea kukabiliana na changamoto yakuwapata wafanyakazi.
Justin "Covid ilisaidia watu wengi kujitambulisha katika jamii yawakenya Victoria" 17.08.2023 11:32
Ni kawaida kwa wahamiaji na watu walio wasili Australia kama wakimbizi, kujiunga na vikundi vya jumuiya za asili yao.
Taarifa ya Habari 15 Agosti 2023 15.08.2023 15:52
Takwimu mpya kutoka ofisi ya takwimu ya Australia, inaonesha kuwa mishahara imeongezeka sambamba na mfumuko wa bei katika robo ya Juni.
Ndahiro "kama haumudu sarafu yako hauna uhuru" 15.08.2023 7:20
Mapinduzi ya kijeshi nchini Niger yamezua hali ya wasiwasi, miongoni mwa nchi jirani katika eneo la Sahel.
Taarifa ya Habari 14 Agosti 2023 15.08.2023 6:49
Wazazi wa mwomba hifadhi kutoka Iran aliye uawa wakati wa mgomo katika kisiwa cha Manus mnamo 2014, wamefikia suluhu ya siri na serikali ya shirikisho pamoja na kampuni ya ulinzi ya G4S.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.