SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

News SW ↓ 930 episodes

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Author

SBS

Category

News

Podcast website

www.sbs.com.au

Latest episode

Jul 10, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Taarifa ya Habari 20 Mei 2024 20.05.2024

Serikali ya Albanese imetetea hatua zakutoa afueni kwa gharama ya maisha, licha ya bajeti ya shirikisho kuipa serikali jeki ndogo katika kura za maoni.

Ukatili dhidi ya wanawake waiweka serikali ya Tanzania chini ya shinikizo 20.05.2024

Watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania wameitaka serikali ya nchi hiyo kubuni sheria maalum kwa ajili ya kupambana na ukatili dhidi ya wanawake na wasichana kutokana na kuwepo kwa ongezeko la kubwa la ukatili katika kipindi cha hivi karibuni hali inayoendelea kutia wasiwasi.

Taarifa ya Habari 17 Mei 2024 17.05.2024

Kupungua kwa urasimu, bajeti iliyo rahisishwa, na kupungua kwa uhamiaji ni sehemu muhimu ya mpango wa chama cha mseto kwa Australia.

Bajeti yashughulikia maswala muhimu kwa jumuiya zatamaduni nyingi ila maelezo ya ziada yana hitajika 17.05.2024

Jamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo lengwa kwa wanachama wa jumuiya.

Jinsi ya kuomba kazi 15.05.2024

Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

Namna yakupata leseni yakuendesha gari 15.05.2024

Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

Taarifa ya Habari 14 Mei 2024 14.05.2024

Mweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei.

Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC 14.05.2024

Hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Taarifa ya Habari 10 Mei 2024 10.05.2024

Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kutoka Iran.

Uchunguzi wa Seneti waunga mkono mswada tata wa uhamisho 10.05.2024

Uchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uhamiaji.

Taarifa ya Habari 9 Mei 2024 09.05.2024

Serikali ya Australia ita imarisha miradi ya gesi katika hatua yakutoa suluhu kwa ongezeko la mahitaji pamoja nakusaidia mchakato wakuhamia kwa uzalishaji sufuri kufikia 2050, hoja ambayo imefichua kuwa uchimbaji utaendelea zaidi ya tarehe hiyo.

Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugo 09.05.2024

Kamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.

Taarifa ya Habari 7 Mei 2024 07.05.2024

Serikali imesema ita kuwa na akiba ya bilioni moja ya dola katika bajeti ya shirikisho ijayo, kwa kukata matumizi ya huduma ya umma ya wakandarasi, washauri na wafanyakazi wengine wa nje.

Understanding the profound connections First Nations have with the land - Kuelewa uhusiano wa kina wa Mataifa ya Kwanza na ardhi 06.05.2024

The land holds a profound spiritual significance for Aboriginal and Torres Strait Islander peoples, intricately intertwined with their identity, belonging, and way of life. - Ardhi ina umuhimu mkubwa wa kiroho kwa wa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait, iliyo unganishwa kwa ustadi na utambulisho wao, kuwa sehemu na hali yao ya maisha.

Charlie "Mashabiki wa Bien watarajie bonge la tamasha" 04.05.2024

Wakaaji wa Sydney wana jiandaa kuhudhuria moja ya tamasha kubwa ya mwaka wa 2024, inayo andaliwa na kampuni ya Beast from the East Entertainment.

Afrika Kusini ya adhimisha mwisho wa kumbukumbu ya apartheid wakati wa ongezeko ya kutoridhika nchini humo 03.05.2024

Africa Kusini ina adhimisha miaka 30 tangu uchaguzi wakwanza wayo waki demokrasia ambapo kila raia wa Afrika Kusini aliweza piga kura.

Taarifa ya Habari 3 Mei 2024 03.05.2024

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema waendesha mashtaka wa shirikisho walifanya uamuzi mubaya kuruhusu dhamana kwa mfungwa wa uhamiaji, ambaye baadae anadaiwa kumshambulia bibi mmoja mjini Perth katika tukio la uvamizi wa nyumba.

MCA Tricky "Nili ingia katika ucheshi kujibamba" 03.05.2024

MCA Tricky ni mmoja wa wacheshi maarufu nchini Kenya, kazi zake zina endelea kuwavutia mashabiki wengi.

Taarifa ya Habari 30 Aprili 2024 30.04.2024

Ripoti mpya kuhusu mauaji nchini Australia, imeonesha kuwa idadi ya wanawake ambao wame uawa na wapenzi wao wa sasa au wazamani, imeongezeka kwa asilimia 28 mwaka huu hadi Juni 2023.

Mafuriko yasababisha maafa makubwa Afrika Mashariki 30.04.2024

Zaidi ya watu 130,000 wame hamishwa na mafuriko nchini Kenya wakati idadi ya vifo ina endelea kuongezeka tena baada ya bwawa kuvunjika Jumatatu.

Taarifa ya Habari 29 April 2024 29.04.2024

Mratibu wa maandamano yakupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake mjini Canberra, amesema waziri mkuu alidanganya kuhusu, kuto ruhusiwa kuzungumza katika tukio hilo.

Viongozi wadini, Waziri Mkuu waomba uwepo wa heshima na maelewano katika jamii 26.04.2024

Viongozi kutoka jumuiya za wayahudi, waislamu na wakristo mjini Sydney wame kemea kwa pamoja vurugu na maneno yakugawanya ambayo yame ibuka kufuatia matukio mawili ya shambulizi ya visu mjini Sydney.

Taarifa ya Habari 26 Aprili 2024 26.04.2024

Aliyekuwa mu Australia wa mwaka wa zamani Rosie Batty ame ihamasisha serikali ya New South Wales izingatie kuanzisha tume yakifalme kwa ukatili wa nyumbani.

Maveterani washerehekewa naku kumbukwa katika siku ya ANZAC 26.04.2024

Maelfu ya watu walijumuika kote nchini Australia, na ng’ambo kutambua siku ya ANZAC.

Utofauti wa tamaduni zawa Anzac wa Australia 24.04.2024

Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.

Listen to the SBS Swahili - SBS Swahili podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.