SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Uchunguzi wa kizazi ambao unaweza okoa maisha yako 09.09.2025 13:25
Saratani ya Kizazi inaweza zuiliwa, kama ina gunduliwa mapema.
Taarifa ya Habari 9 Septemba 2025 09.09.2025 15:13
Dau Akouny, mmoja wa wavulana wawili walio uawa katika shambulizi la kisu mjini Melbourne wikiendi iliyopita, amekumbukwa na familia yake kama "mtoto mzuri" na alikuwa "sehemu ya mustakabali wa kesho wa jumuiya."
Mpango wakupiga jeki idadi ya walimu wa ufundi kushughulikia uhaba wa ujuzi nchini Australia 09.09.2025 9:38
Serikali ya shirikisho imetangaza mpango wenye thamani ya $30 milioni, kupiga jeki idadi ya wakufunzi wa elimu ya ufundi.
Taarifa ya Habari 5 Septemba 2025 05.09.2025 15:10
Waziri wa mambo ya tamaduni nyingi Anne Aly, amechangia ujumbe wa mshikamano na jumuiya yawa Hindi wa Australia, kufuatia maandamano dhidi ya wahamiaji.
SBS Learn Eng Ep 94 Zungumza kuhusu autism 05.09.2025 19:24
Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu autism?
Serikali ya hamasishwa ikabiliane na ongezeko la itikadi kali za mrengo wa kulia 02.09.2025 14:12
Wanasiasa wame laani ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni iliyo onyeshwa katika maandamano kadhaa dhidi ya uhamiaji wikiendi iliyo pita.
Taarifa ya Habari 2 Septemba 2025 02.09.2025 14:16
Mbunge wa upinzani Matt Canavan amesema sera za uhamiaji za seriakli, zina wasukumu watu kuwa na maoni yenye misimamo mikali. Amesema serikali ya Labor imefungua anacho ita milango ya mafuriko ya uhamiaji baada ya janga la UVIKO-19, na inawaruhusu watu kuingia nchini kiholela chini ya ya sera zake za sasa.
Rwanda na DR Congo zakubali kuwarejesha wakimbizi makwao 02.09.2025 6:53
Shirika la UNHCR limesema viongozi wa Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekubali kuwarejesha wakimbizi walio toroka makwao mashariki mwa DRC.
Maelfu waandamana dhidi ya uhamiaji, huku wa Nazi waki chochea vurugu 02.09.2025 19:47
Wimbi la maandamano ya kitaifa dhidi ya uhamiaji yame shuhudiwa katika miji mikubwa ya Australia.
Taarifa ya Habari 29 Agosti 2025 29.08.2025 15:46
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema Richard Marles alikuwa na mkutano wenye tija na mshiriki wake kutoka Marekani Pete Hegseth, huku kukiwa mkanganyiko kuhusu kama, kuna mkutano rasmi ulio fanyika kati yao.
Understand Aboriginal land rights in Australia - Elewa haki za ardhi zawa Aboriginal nchini Australia 29.08.2025 8:42
You may hear the protest chant, “what do we want? Land rights!” —but what does it really mean? Land is at the heart of Aboriginal and Torres Strait Islander identity, culture, and wellbeing. Known as “Country,” it includes land, waterways, skies, and all living things. In this episode of Australia Explained, we explore Indigenous land rights—what they involve, which land is covered, who can make c...
Taarifa ya Habari 26 Agosti 2025 26.08.2025 16:07
Serikali ya Albanese inatarajiwa kuleta mbele mpango wakupanua mfumo unao ruhusu wanao nunua nyumba ya kwanza, kuweka amana ya hadi asilimia tano. Wakati marudio ya awali ya mpango huo yalikuwa na kikomo cha kila mwaka kwa washiriki, mfuno huo kwa sasa utakuwa wazi wa kila mtu anaye nunua nyumba.
Elewa haki za Ardhi zawa Aboriginal nchini Australia 26.08.2025 11:12
Unaweza sikia wito huu katika maandamano, “tuna taka nini? Haki za ardhi!” ila wito huo una maana gani?
Australia kutambua utaifa wa Palestina 14.08.2025 9:49
Australia ita tambua Palestina kama taifa katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wa Septemba.
Taarifa ya Habari 5 Agosti 2025 05.08.2025 12:17
Waziri wa mambo ya nje Penny Wong ame muhamasisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, asikize wito wakisitisha vita mara moja Gaza.
Tamasha ya Garma yawavutia wageni kutoka Australia na kwingineko 05.08.2025 12:28
Sherehe ya Garma katika Kijiji cha Kaskazini Mashariki Arnhem Land, cha Wilaya ya Kaskazini, ime tamatika kwa mwaka mwingine.
SBS Learn Eng Ep 38 Jinsi ya kuzungumza kuhusu muziki 05.08.2025 19:32
Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
Taarifa ya Habari 4 Agosti 2025 04.08.2025 5:06
Serikali ya shirikisho imetangaza msaada kwa Gaza uta ongezwa kwa $20 milioni hii leo Jumatatu 4 Agosti, masaa machache baada yamakumi yama elfu kutembea katika Daraja maarufu la bandari ya Sydney, jana Agosti 3, katika maandamano dhidi ya vita vinavyo endelea Gaza.
Kenya, Uganda na Tanzania tayari kwa sherehe ya soka 04.08.2025 5:39
Wapenzi wa soka barani Afrika wana elekea Kenya, Uganda na Tanzania kuhudhuria michuano ya Afrika iliyo ahirishwa mwaka jana.
Mvutano wakibiashara waibuka kati ya Tanzania na Kenya 01.08.2025 7:49
Kenya imepinga sheria mpya za biashara na kodi za Tanzania ikizitaja kuwa za kibaguzi na zinazohatarisha ushirikiano wa kiuchumi Afrika Mashariki.
Taarifa ya Habari 1 Agosti 2025 01.08.2025 15:09
Waziri Mkuu Anthony Albanese ana enda kuhudhuria tukio kubwa linalo waleta pamoja wa Australia wa Asili katika wilaya ya Kaskazini.
SBS Learn Eng Ep 89 Jinsi yakuzungumza kuhusu nyumba yako 01.08.2025 15:49
Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
Jinsi yaku anza biashara yako ya nyumbani nchini Australia 01.08.2025 14:19
Biashara ya nyumbani inaweza sikika kuwa yakuvutia kwa wengi. Ina punguza gharama, inatoa fursa mbali mbali, inafaa taaluma tofauti, na silazima kazi hiyo ifanyiwe ofisini.
Taarifa ya Habari 31 Julai 2025 01.08.2025 5:56
Wanafunzi milioni tatu nchini Australia wata punguziwa deni zao za elimu, hii ni baada ya muswada wa Labor ulio tazamiwa sana kupitishwa bungeni hii leo.
Taarifa ya Habari 29 Julai 2025 29.07.2025 16:04
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema anaendeleza juhudi zakupunguza shinikizo za gharama ya maisha, akimulika mpango wakupunguza bei za madawa.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.