SBS
SBS Swahili - SBS Swahili
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Yaliyojiri Afrika:Rwanda haikubali kutishwa na Marekani 10.02.2026 7:16
Kwa habari na melezo zaidi, tembelea tovuti ya sbs.com.au.
What actually happened on January 26? - Australia yafafanuliwa:Nini kilifanyika Januari 26? 10.02.2026 8:07
January 26 is one of the most debated dates in Australia’s history. Often described as the nation’s birthday, the day marks neither the formal founding of the colony nor the creation of the Commonwealth. Instead, it reflects a layered history shaped by colonisation, political decisions, and ongoing First Nations resistance. Understanding what actually happened on January 26 reveals why the date is...
Makala leo:Australia na Indonesia wasaini mkataba wa usalama 09.02.2026 8:29
Waziri Mkuu Anthony Albanese amepongeza makubaliano mapya ya usalama na Indonesia kama mabadiliko muhimu kuelekea ushirikiano wa karibu wa ulinzi kati ya nchi hizi mbili. Hata hivyo, wachambuzi wanaonya kwamba mkataba huo unaweza kuja na gharama kubwa, ikiwezekana kupuuza masuala ya haki za binadamu yanayoendelea huko Papua Magharibi na wasiwasi kuhusu mwelekeo wa kisiasa wa siku zijazo wa serikal...
Makala leo:Shirika la Haki za Binadamu laonya kuwa demokrasia iko hatarini ikilinganishwa na miaka ya 1980 09.02.2026 10:49
Demokrasia na utaratibu wa kimataifa unaozingatia sheria ziko hatarini, kulingana na ripoti ya kila mwaka ya Shirika la haki za binadamu ama Human Rights Watch. Kuna msisitizo mahususi juu ya Marekani na kile ambacho chombo cha kimataifa kinaelezea kama kudorora kwa haki za binadamu, lakini pia kuna tahadhari juu ya Australia. Sera za uhamiaji na kuwekwa kizuizini kwa vijana za Australia zinaorodh...
Taarifa ya habari:waziri Mkuu Anthony Albanese atasaini mkataba wa kihistoria wa usalama na Rais wa Indonesia 06.02.2026 12:20
**WAZIRI MKUU ANTHONY ALBANESE YUKO INDONESIA KUSAINI MKATABA WA KIHISTORIA WA USALAMA **MAJESHI YA MAREKANI NA URUSI YATANGAZA KUANZA KUSHIRIKIANA TAARIFA ZA KIJESHI HUKU MAZUNGUMZO YA AMANI NA UKRAINE YAKIENDELEA **WATU ZAIDI YA MIA MOJA HAMSINI WAFARIKI BAADA YA SHAMBULIO NIGERIA
Yaliyojiri Afrika: AL Islam Gaddafi, mwanawe Omar Gaddafi, auwawa 06.02.2026 8:48
*AL-Islam Gaddafi auwawa Libya *Vikwazo vimewekwa na Marekani dhidi ya watu wanaodaiwa kuchochea vita Sudan
Makala leo:viwango vya riba vyaongezeka baada ya kusitishwa kwa miaka miwili 06.02.2026 6:36
Benki ya Hifadhi ya Australia imehitimisha mapumziko ya miaka miwili kwa kuongeza viwango vya riba hadi asilimia 15, jambo ambalo limeanzisha mjadala mkali wa kisiasa juu ya kama matumizi ya serikali au mahitaji ya watu binafsi ndiyo yanayosababisha mfumuko wa bei kuendelea. Wakati Mweka Hazina anatetea bajeti na kuashiria mashinikizo ya nje, Upinzani na Kijani wanadai kuwa sera za sasa zinawaadhi...
Makala leo:Utafiti umebaini ongezeko la upekuzi usio na kibali katika jamii zenye tamaduni mbalimbali 06.02.2026 4:44
Utafiti mpya unaonyesha kuwa jamii zilizo na mchanganyiko wa rangi tofauti zinafanyiwa upekuzi bila kibali mara tatu na nusu zaidi kuliko jamii katika maeneo yenye watu wengi weupe. Kulingana na uchambuzi wa matumizi ya nguvu za upekuzi zisizo za kawaida na Polisi wa Victoria, hali hii inaonekana hata pale ambapo maeneo ya jamii zenye watu wengi weupe yana viwango vya juu vya uhalifu.
How does IVF work in Australia? - Australia yafafanuliwa:IVF hufanyaje kazi nchini Australia? 05.02.2026 8:30
Did you know that IVF is not the first, but in fact the last step in a sequence of fertility treatments? In Vitro Fertilisation is regulated by state and territory laws. It can also be expensive and emotionally challenging. Here’s what to expect when aiming to start a pregnancy with IVF in Australia. - Je, mnajua kwamba IVF si hatua ya kwanza, bali ni hatua ya mwisho katika mlolongo wa matibabu ya...
Makala leo:Mildura imevunja rekodi ya joto kali,mabadiliko ya hali ya hewa yanapoendelea,nini kinafuata? 05.02.2026 13:11
Kwa wengi katika kusini-mashariki mwa Australia, siku baada ya Siku ya Australia ilileta hali ya joto kali na rekodi za viwango vya joto. Katika Mildura, jimboni Victoria, kaskazini-magharibi zaidi, joto lilifikia nyuzi 48.6. Na wakati maeneo ya pwani yalifurahia kupungua kwa joto, maeneo ya bara yalilazimika kukabiliana na joto kali lililodumu kwa wiki moja. Wataalamu wanasema aina hizi za matuki...
Taarifa ya habari:Benki ya hifadhi inatarajiwa kuongeza kiwango cha riba 03.02.2026 11:28
**BENKI YA HIFADHI INATARAJIWA KUONGEZA KIWANGO CHA RIBA **INDIA NA MAREKANI WAMEFIKIA MAKUBALIANO YA KIBIASHARA **KITUO CHA KITAIFA CHA DAWA ZA KULEVYA CHATOA TAHADHARI KUHUSU DAWA HATARI ZA STAREHE ** IRAN INAJIANDAA KWA MAZUNGUMZO NA MAREKANI KUHUSU NYUKLIA
Yaliyojiri Afrika:Marekani kutathmini upya ushirikiano wake na Uganda baada ya uchaguzi 02.02.2026 8:44
Kwa maelezo ama habari zaidi elekea kwenye tovuti yetu ya sbs.com.au/swahili.
Makala leo:mkataba wa muungano wa falepili kati ya australia na tuvalu wazinduliwa rasmi 02.02.2026 6:25
Mkataba wa Muungano wa Falepili kati ya Australia na Tuvalu uliangaziwa kama wa kwanza wa aina yake duniani, ukiwa na kifungu kimoja cha makubaliano kinachoruhusu hadi watu 280 wa Tuvalu kuhamia Australia kila mwaka kama njia ya kukabiliana na viwango vya bahari vinavyoongezeka na kutishia ardhi yao. Kikundi cha kwanza cha wahamiaji chini ya makubaliano haya sasa wamewasili Australia. Hata hivyo,...
#102 Getting organised (Med) - #102 Jinsi ya kujipanga 02.02.2026 10:31
Learn practical English phrases for getting organised and managing daily tasks, including planning ahead, meeting deadlines, and staying on top of responsibilities. - Jifunze misemo ya Kiingereza kwa vitendo ili kujipanga na kusimamia majukumu ya kila siku, ikiwemo kupanga mapema, kufikia tarehe za mwisho, na kuwajibikia majukumu yenu.
#101 Having a laugh (Med) - #101 Jinsi tofauti ya kuelezea kicheko 02.02.2026 11:18
Learn how to talk about things that make you laugh. Practise phrases that help you share stories, react to jokes, and enjoy conversations more. - Jifunze jinsi ya kuzungumzia mambo yanayowachekesha. Fanyeni mazoezi ya misemo inayowasaidia kushiriki hadithi, kuitikia vichekesho, na kufurahia mazungumzo zaidi.
Public transport in Australia: breaking down the basics - Australia yafafanuliwa:mambo ya msingi kuhusu usafiri wa umma nchini Australia 30.01.2026 8:09
Like in most countries, public transport in Australia is the cheapest way to get around. It includes trams, buses, trains and ferry services. And each state or territory has its own transport network. However, navigating Australia’s public transport system with ease requires knowing the basics around how it works and what to expect. - Kama ilivyo katika nchi nyingi, usafiri wa umma nchini Australi...
Taarifa ya habari:tahadhari ya jua na joto kali iliyovunja rekodi yaendelea kutolewa 30.01.2026 11:23
**WATU WAWILI WAKAMATWA NA POLISI BAADA YA TUKIO LA UFYATULIAJI RISASI HUKO GEELONG. **KIPITO CHA RAFAH KATI YA EGYPT NA GAZA KUFUNGULIWA BAADA YA MIAKA MIWILI ** TAHADHARI KUHUSU MLIPUKO WA VIRUSI VYA NIPAH HUKO INDIA.
Yaliyojiri Afrika:Watanzania bado wanakabiliwa na athari za baada ya uchaguzi wa hivi karibuni 29.01.2026 8:52
Watanzania bado wanakabiliwa na athari za baada ya uchaguzi wa hivi karibuni, huku wanahabari wakizuiwa kuripoti usimulizi mbele ya tume ya uchunguzi. Makubaliano kati ya Congo na Marekani kuhusu madini yana dosari kubwa.
Makala leo:Maelfu wanadai fidia baada ya Huduma za Australia kutumia sheria za msaada wa watoto visivyo 29.01.2026 7:30
Ripoti muhimu imefichua kuwa Service Australia ilikwepa kwa makusudi sheria za malezi ya watoto kwa muda wa miaka sita, ikiwa imezuia ndani kwa ndani malipo kwa zaidi ya wazazi 16,000 ambao walitoa chini ya asilimia 35 ya huduma kwa watoto wao. Wakati shirika hilo lilipinga kuwa sheria ilileta "matokeo yasiyotarajiwa" kwa kuulazimisha walezi wakuu kulipa wale wenye majukumu kidogo ya huduma, Ombud...
Makala leo:Wito kwa shule kusaidia kubaini ishara za ndoa za kulazimishwa 29.01.2026 4:40
Wanafunzi wanaporudi shuleni kwa mwaka mpya, Polisi wa Shirikisho la Australia(Federal Police) wanatoa wito kwa shule kuwa waangalifu kwa ishara za wanafunzi kulazimishwa kuingia kwenye ndoa za kulazimishwa.
Makala leo:Je, Australia inapaswa kuyafikiria upya maelewano yake na Marekani? 29.01.2026 10:21
Vitisho vya kijeshi vya Donald Trump na vita vya kibiashara vinavyoandika wasiwasi kwa washirika, baadhi ya wataalamu wanatoa wito wa kufikiria upya ushirikiano wa muda mrefu wa Australia na Marekani. Mjadala umeimarishwa na hotuba ya Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, katika Jukwaa la Kiuchumi Duniani, ambayo iliwashauri nchi zenye nguvu ya kati kupinga kudhoofisha maadili yao kwa maamuzi ya ngu...
Makala leo:kundi la wanasayansi watafiti asili, chakula na kukua kwa samaki 27.01.2026 6:54
Mamilioni ya watu duniani kote huugua kila mwaka kutokana na vyakula visivyo salama au vilivyochafuliwa. Baadhi ni kutokana na udanganyifu wa vyakula, kitendo cha kuuza makusudi bidhaa za chakula bandia, zilizodanganywa au zilizobadilishwa kwa faida ya kifedha. Wanasayansi wa Australia wameunda njia mpya za kukabiliana na tatizo hili la mabilioni ya dola
Makala leo:Siku ya Australia yaadhimishwa licha ya maoni mbalimbali 27.01.2026 6:01
Siku ya Australia imeadhimishwa kote nchini kwa sherehe za uraia na tuzo za Mwanaustralia wa Mwaka. Siku hiyo pia imeadhimishwa na watu wa Kabila la Aborijini na Visiwa vya Torres Strait ambao wamekusanyika kote nchini kwa matukio ya kila mwaka kuadhimisha Januari 26 - ikiwa ni pamoja na maandamano ya Siku ya Mvamizi.
Tarifa ya habari:mamlaka za dharura zatoa tahadhari juu ya jua kali 27.01.2026 10:25
**MAMLAKA ZA DHARURA ZATOA TAHADHARI KUHUSU HALI YA HEWA LEO PANDE TOFAUTI VICTORIA **CHAMA CHA LIBERALS LIKO CHINI YA SHINIKIZO NA MSUKUMO WA ZIADA **KUNA PENDEKEZO MPYA YA KUFANYA MAFUTA YA KUJIKINGA NA JUA KUWA LAZIMA SHULENI
#100 More or less? Talking about quantities - #100 Kiasi na idadi 23.01.2026 8:33
Learn how to talk about amounts and quantities in everyday English. - Je, unajua jinsi ya kutumia kiasi na idadi katika kiingereza ya kila siku?
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.