Dede Issangya
Maisha Talk
Inahusu maongezi kuhusu maisha kama maisha, kwenye maisha kuna vitu vingi kama mapenzi, uonevu kwa wanawake, watoto na wanaume pia, biashara, siasa, etc.....
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: podcasters.spotify.com
Author
Dede Issangya
Category
Podcast website
Latest episode
Aug 13, 2023
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Different kind of relationship/ aina mbalimbali za mahusiano 13.08.2023 17:30
Choose your relationship wisely, how you want your relationship to be or perceived with others, know exactly what you want. Jua unataka nini katika mahusiano yako
Why do people break up?/kwanini watu wanaachana?? 06.08.2023 10:36
Kuna sababu mbali mbali za mahusiano kama vile dharau, uaminifu nakadhalika
Dalili za kufahamu mpenzi wako anakusaliti 26.03.2023 5:15
Katika mapenzi usaliti upo na nijambo ambalo linaumiza sana sasa basi kama unamfaham mpenzi wako vyema basi utaweza kufaham kama amebadilika, sikiliza episode hii mpaka mwisho upate kujua dalili za mpenzi ambae anakusaliti
Uaminifu katika mahusiano ni jambo muhimu sana 20.03.2023 10:31
Katika mahusiano ni vyema kuaminiana na mahusiano ni ya watu wawili akija watatu jua huyo ni kidudu mtu na ataja waharibia mahusiano yenu bure tu
Wanawake tuache tabia za kutegemea wanaume kwa kila jambo 14.01.2023 12:47
Wanawake wengi tuko na tabia ya kutegemea wanaume kwa kila jambo lakini pia tunapaswa kujielewa na kujifaham vizur na tuchague ni maisha ya aina gani unataka kuyaishi na tujishughulishe ili kupata vile tunavyovihitaji, the best person to depend on is yourself and you will never be disappointed ever.
Kusoma alama/signs katika mahusiano. 20.02.2021 19:27
Siku zote watu huwa tupo kwenye mahusiano lakin mahusino hayo huenda yalishaosha kitambo ila tu bado hatuelewi kuwa yameshaisha au bado mtu unalazimisha kuwa kwenye mahusiano ambayo yameshafikia ukingon so e end up with a broken heart every now and then and there's no one to console you because you're the one who chose to suffocate yourself instead of moving on.
Aina za wanawake ambao wapo katika ndoa na wanaume pia ambao wapo katika ndoa 28.06.2020 10:00
Kuna wanaume ambao wanasaliti wake zao na hawajui kwanini wanasaliti wake zao, wanawake wanao jiamini kupitiliza mpaka wanafanya waume zao wawasaliti na mengineyo mengi. Wanaume na wanawake ambao hawajiamini, na ambao hawaeleweki kama wanajiamini au la.
Wanaume wasitese familia zao kwasababu ya starehe zao za aina yoyote ile. 26.06.2020 14:32
Maisha ya nyumbani ambayo wanaume wanafanya starehe lakini mwisho wa siku wanatesa familia zao, wanaume mkimaliza kufanya starehe zenu mkirudi nyumbani usitese familia yako fikiria familia yako sana, amani upendo wako kwa familia yako udumishe kiasi kwamba watoto wako wasiwe wanatamani maisha ya watoto wengine. Wanawake tupambania furaha ya watoto wenuna cha zaidi sana usiwe unajisahau wewe mwenye...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.