Linus Siwiti
Linus Siwiti's podcast
This podcast special for spiritual, social motivation, physical, lesson
Be sure to visit the podcast's website and support the creator: www.spreaker.com
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Episode 17 - Tafakari ya Maandiko Ya BibliaLinus Siwiti's podcast 30.07.2020 14:58
18 Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu. Mithali 30:18 19 Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana. Mithali 30:19 20 Hivyo ndivyo mwendo wa mwanamke mzinifu; Hula, akapangusa kinywa chake, Akasema, Sikufanya uovu. Mithali 30:20 21 Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutete...
MAMBO 3 YA MSINGI YA KUFANYIA KAZI UNAPOANZA WIKI MPYA 05.07.2020 11:02
Mambo matatu ya msingi unapoanza wiki mpya 1. Usiamke na mawazo ya wiki ambayo imeisha 2. Amka mapema sana weka mipaka yako vizuri 3. Usiamke na kukimbilia kwenye simu bali amka mshukuru Mungu, kwa wiki ambayo imeisha na wiki unayoianza panda mbegu.
Episode 13 - Linus Siwiti's podcast 01.07.2020 13:16
*TESTIMONY THE BRIDGE OF VICTORY* ushuhuda daraja la mafanikio. Karibu kwenye program mpya ya ushuhuda daraja la ushidi hapa utapata kusikiliza shuhuda mbalimbali ambazo zitakupa kujifunza Kila siku na hamasa ya kuona upo uwezekana kwa yale ambayo unapitia Leo nilikuwa na Baba yangu mkubwa Henry Siwiti ambaye aliugua kwa Muda mrefu sana zaidi ya miaka 32 leo Ni mzima na kumbukumbu zimerudi.
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.