Linus Siwiti
Linus Siwiti's podcast
This podcast special for spiritual, social motivation, physical, lesson
N'hésitez pas à visiter le site du podcast et à soutenir son créateur : www.spreaker.com
Où écouter ?
Les podcasts dans l'appli Replaio Radio Bientôt disponibleLes podcasts arrivent très bientôt dans l'appli. Installe-la dès maintenant et découvre en avant-première une toute nouvelle façon de vivre les podcasts
Épisodes
MTU WANGU WA LEO 05.02.2025 11:28
Tunajifunza kutoka kwa George Samwel Claison. Mwandishi wa kitabu Cha "the richest man in Babylon" mtu tajiri katika mji wa babeli
Bill Ackman_1735078991364_1.mp3 24.12.2024 6:58
"Uzoefu ni kufanya makosa na kujifunza kutokana na makosa hayo". Tunapoelekea mwisho wa mwaka 2024, inawezekana pia i nawe ni miongoni mwawale amabo Kuna vitu vimeumiza sana sababu ya makosa ya kibinadam au kutokujua sio mda wa kujilaumu badala ya yake nijifunza.
Tafuta kuwa wathaman mbele ya Mwenyezi Mungu.mp3 25.11.2024 10:49
1 Lakini sasa, Bwana aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu. Isaya 43:1 2 Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza. Isaya 43:2 3 Maana mimi ni Bwana, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wa...
MAMBO 4 YA KUFANYA UNAPOANZA WIKI MPYA 20.10.2024 13:09
1. Kuwa na utamaduni wa kufanya tafakari wiki inapoisha 2. Weka malengo mapya mahususi ya wiki mpya 3. Weka mikakati ya kukusaidia kufikia malengo Yako ya wiki, note epuka kurudi makosa ya wiki iliyopita 4. Kuwa natafakari kila siku inapoisha
MAMBO 4 YA KUFANYA UNAPOANZA WIKI MPYA 20.10.2024 13:09
1. Kuwa na utamaduni wa kufanya tafakari wiki inapoisha 2. Weka malengo mapya mahususi ya wiki mpya 3. Weka mikakati ya kukusaidia kufikia malengo Yako ya wiki, note epuka kurudi makosa ya wiki iliyopita 4. Kuwa natafakari kila siku inapoisha
KUNYAMAZA VS KUNENA.m4a 29.06.2024 7:37
7 Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena; Mhubiri 3:7b
TUNZA FURAHA YAKO (Maintain Your Happiness) 21.02.2024 12:27
Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha. Kutoka 33:14 Likumbukeni neno lile alilowaamuru Musa mtumishi wa Bwana, akisema, Bwana, Mungu wenu, anawapa ninyi raha, naye atawapa nchi hii. Yoshua 1:13 Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema? Ruthu 3:1
MAMBO MAWILI YA KUFANYA ILI SIKU YAKO IWE NA MAFANIKIO.aac 19.02.2024 3:06
Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya. Zaburi 37:5 Mkabidhi Bwana kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika. Mithali 16:3
USIHOFU JUU YA MAMBO YA DUNIANI KUWA NA HOFU ya MUNGU 13.08.2021 15:01
1 Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu. Ufunuo wa Yohana 2:1 2 Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo; Ufunuo wa Yohana 2:2 3 ten...
Hamasika Time "Mambo Matatu Ya Kufanya Mjasiriamali, Mfanyabiashara Unapopitia Changamoto" 12.08.2021 15:00
Mambo matatu ya kufanya unapopitia changamoto katika Biashara au Ujasiriamali: 1. Badilisha mfumo wa biashara, 2. Boresha Biashara yako 3. Tumia changamoto kuzigundua fursa zingine.
NEEMA YA ASUBUHI Linus Siwiti's podcast 13.06.2021 15:00
10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Waefeso 6:10 11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Waefeso 6:11 12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. Waefeso 6:12 13 Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote z...
SATURDAY KAA TUONGEE27 - Linus Siwiti's podcast 21.02.2021 10:09
Karibu msikilizaji katika kipindi Cha kaa tuongee ikiwa ni kwa mara ya Kwanza kabisa Leo tunaongelea swala kubwa KUJIFUNZA na KUWEKA BIDII
Episode 26 -TAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast 11.12.2020 10:04
WAFILIPI 4:18-19
Episode 27 - TUTAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast 02.10.2020 15:00
2 Tazama, nimekufanya mdogo kati ya mataifa; Umedharauliwa sana. Obadia 1:2 3 Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi? Obadia 1:3 4 Ujapopanda juu kama tai, Ijapokuwa kioto chako kimewekwa kati ya nyota, Nitakushusha kutoka huko; asema Bwana. Obadia 1:4 7 Watu wote wa mapatano yako Wamekufuk...
UFANYE NINI UNAPO PITIA JARIBU Au CHANGAMOTO YEYOTE 02.09.2020 15:00
1Wakorintho 10:11-16
MAMBO GANI YA KUFANYA UNAPO ANZA WIKI AU SIKU MPYA 23.08.2020 15:01
1. Tambua maisha yana badilika hayapo moja kwa moja (life is not linear) 2. Weka mipango mipya kila siku(Put new planning daily) 3. Chunja mawanzo yako (Filter your thoughts)
NAFASI YA KIJANA KATIKA UTUMISHI 13.08.2020 6:46
"Nafasi ya kijana katika Utumishi ni kubwa sana, wewe kijana unanafasu gani katika Utumishi?. Maana vijana tuna nguvu Kuna Mithali ya kiafrika naipenda inasema "Vijana tunaweza kutembea haraka lakini wazee wanaijua njia".
Episode 19 -NUKUU ZA MAISHA Linus Siwiti's podcast 06.08.2020 2:19
Karibu kwenye ujio mpya wa nukuu za maisha ni kila siku saa nne usiku kuanzia tarehe 06/08/2020
Episode 18 - TAFAKARI YA BIBLIA Linus Siwiti's podcast 05.08.2020 14:59
MATHAYO 5:1-10 Karibu siku ya leo ungane nami katika maombi ya letayo Heri katikati maisha Bwana atakupogania Mara baada ya kusikiliza podcast kama utakuwa na hitaji binafsi ka maombi andika tu kwenye Comment nahitaji maombi au wasiliana nami kwa namba nilizo kutaji kwenye podcast . Nami nitaomba kwa ajili yako
Podcasts similaires
Replaio n'est pas éditeur de podcasts ; les noms des émissions, les visuels et l'audio appartiennent à leurs auteurs et sont diffusés via des flux RSS publics