Linnet

Linnet Talks

Society SW ↓ 10 episodes

Linnet Talks are all about socio-cultural issues, things that are a heartbeat of our communities; Family, Children, Young people and the most important of them all You. We dive deep into honest talks that make the listener look inwards and see life from a different outlook. These podcasts are for deep thinkers and transformers: people who want to change their lives for the better. There are no gray zones, just clear lines and the truth, leaving  the audience with a fresh perspective of life. These podcasts are in Kiswahili language, the Language of the East African community and the diaspora w...

Author

Linnet

Category

Society

Podcast website

www.buzzsprout.com

Latest episode

Jun 16, 2026

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Responsible Parenting; Walezi Ingawa Sio Wapenzi 16.06.2026

Mtoto ndio mhusika mkuu katika Episode hii. Jukumu la Malezi wakati wazazi wameachana au kutengana mara nyingi huwa linaangukia kwa mzazi mmoja wakati mwingi mama au ndugu wasio wazazi. Ni mda sasa wa kuongelea swala zima la "Responsible Parenting" na "Co-parenting" katika mazingira ya wazazi wawili wasio wapenzi. Ukuwaji wa jamii bora na kesho iliyo na tumaini unategemea sana...

Woman A Controversy 11.05.2026

In this episode, we swim through the deep waters of the debate of the 21st Century; Who is a woman? A tag of war between culture and change, tradition and reinvention, biology and choice and many other school of thoughts. Tune in for a brainstorming episode of different bullet points that will leave you empowered or afraid of power. Either way, it will blow your mind.

Unaweza Mpenda Mtu Asiyekupa Kitu? 16.03.2026

Ili mahusiano yawe ya thamani kwako je utatarajia jambo? Mapenzi ili yawe matamu yanahitaji pesa? Ndoa ili iwe na raha, itabidi iwe na mtoto? Mauhusiano mengi yamevunjwa kwasababu watu hawatambui msingi wa mahusiano ni kuhusiana na sio kupeana au kuonyeshana. Pengine hauridhishwi na mahusiano uliyonayo kwasababu hayaelekei vile ungependa, naomba nibadilishe mtazamo wako. Naomba kwenye Episode hii...

Hey Champion,Utaweza! 06.03.2026

Katika episode hii ninaongea na wewe, "Tough Person," ambaye unapitia jambo ambalo hata wewe unaona ni gumu kuliko wewe. Sikiliza mpaka mwisho, ili ujuwe kwanini you are who you are; a tough one.

Letting Go 27.02.2026

Letting go has never been easy, especially when it comes to matters of the heart. This episode is exactly the encouragement you need to let go of something or someone who no longer serves a positive purpose in your life. 

Single Mama Mpenzi 13.02.2026

Kundi la wanawake wanaolea watoto pekee yao ndio kundi linalonyanyapaliwa zaidi katika jamii. Jina "Single Mama" limekuwa kama jina la kuwabeza wanawake wa kundi hili, bila kujali ni machungu mangapi wanapitia, na magumu mangapi wanavumilia wakiwa wanalea watoto wao wakiwa pekee yao. Katika "Linnet Talks", mwanamke atajisikia supported, loved and seen. Hii episode ni kwako wewe...

Mzazi, Niache Nilivyo. 13.02.2026

Je unafahamu kwamba mtoto anaweza akaanza mawazo ya kuondoa uhai wake akiwa na miaka mitano. Tafiti zinaonyesha kwamba watoto wadogo hata wa miaka 5 wameshawahi kujaribu kuondoa maisha yao na wengine wakafanikiwa. Unafahamu ni mbinu gani ambazo unaweza tumia kama mzazi, ili usikutane na tatizo hili. Karibu usikilize episode hii iliyobeba tunu za kukuwezesha mzazi kumuandaa mtoto kuwaajili ya kufik...

Let Me Be Real With You. Epi3 05.02.2026

Maisha ya kila siku yanataka mahusiano ya kweli na halisia, kikwazo ambacho kina wanyima watu wengi kufurahia mahusiano mbalimbali ni HOFU. Hofu ya kuwa "Dissapointed", ndio maana katika Epidode ya Pili ya "Let them Dissapoint You" niligusia kwamba waache watu wakuvunje moyo. Ila kwenye muendelezo wa Epidode 3 nitakuambia kwanini unafurahia zaidi Quality Relationships if you Le...

Let Them Dissapoint You. Epi2 04.02.2026

Katika Episode hii ya pili ya:"Let Them Dissapoint You", tunaangalia matarajio ya watu ambayo yamewaumiza sana. Ni muendelezo wa wazo la podcast ya iliyotangulia ya "Ulipoteza Wapi Self Confidence Yako?". Kutokana na matarajio ya watukatika maisha yetu kuwa "perfect" au kuwa vile tunataka tunawapa shida kwa kujiangalia wenyewe, matokeo hata ya kuwaadhiri kisaikolojia...

Ulipoteza wapi Self Confidence yako? 03.02.2026

Hii podcast ni kioo cha kujiangalia kwa yule ambaye anahofia kuwa amepoteza "Kujiamini" kwake. Imewazungumzia wanawake ila hata mzazi wa mtoto wa kike pia anaweza akapata mwanga, kujua ulezi wa watoto wa kike unawajenga vipi kuwa wanawake wanaojiamini au wasiojiamini.  Wanawake wasiojiamini ni janga kwenye jamii hata kama kuna haki sawa, wanawake hawazifurahi hizo haki kwasababu hawajito...

Listen to the Linnet Talks podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.