Maranga Amos Atima
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
Karibu kwenye podcast inayokupa maarifa ya teknolojia, sayansi na majibu ya maswali ya maisha kwa Kiswahili! Tunaangazia maendeleo ya kisasa, kuanzia akili unde yaani AI hadi ukubwa wa ulimwengu. Kila wiki, tunashirikisha uchambuzi wa habari za teknolojia, ufafanuzi wa dhana ngumu, na ushauri wa kivitendo. Jiunge nasi kupata elimu na burudani kupitia lugha yenye utajiri na asili ya Kiafrika. Kiswahili Kitukuzwe kwani ni lugha yetu na urithi wetu#TeknolojiaAfrika #SayansiKiswahili #AfrikaImara
Author
Maranga Amos Atima
Category
Podcast website
Latest episode
Jun 15, 2026
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Kiswahili Kitukuzwe - OpenAI Sora 19.02.2024 4:38
Je, umesikia chochote kuhusiana na teknolojia ya Sora ambayo inaunda video kutokana na maneno machache unyayoipa. Tazama video hii ujifunze mengi kuhusiana na Sora ya Open AI.
Kiswahili Kitukuzwe - Magari ya Umeme 13.02.2024 6:24
Jua zaidi kuhusiana na magari ya umeme na fiada zao kwa maisha yetu humu duniani.
Kiswahili Kitukuze - Misamiati ya Matunda 27.01.2024 2:08
Jua majina ya matunda kwa lugha ya kiswahili
Kiswahili Kitukuzwe - Misamiati ya Madini 25.01.2024 6:47
Katika video hii, tutaangazia misamiati ya madini kwa Kiswahili. Tutaanza kwa kuelezea maana ya madini, kisha tutaendelea kujifunza kuhusu aina tofauti za madini, matumizi yao, na jinsi ya kuyatambua.
Kiswahili Kitukuzwe - Misamiati Ya Rangi 02.01.2024 4:10
Kipindi hiki kitakupa tafsiri ya misamiati ya rangi kutoka kwenye lugha ya kimombo kuja kwenye lugha ya kiswahili. Sikiliza ili ujifunze mengi. Natumai kipindi hiki kitakufaa. Asante!
Kiswahili Kitukuzwe - Misamiati ya Teknolojia 24.12.2023 5:33
Kipindi hiki kitakusaidia kujifunza tafrisi ya misamiati ya kitechnologia. Karibu sana na natumai utanufaika.
Kiswahili Kitukuzwe - Utangulizi 21.12.2023 8:03
Huu ni utangulizi wa msururu wa vipindi vya kutukuza kiswahili ambavyo vitaangazia kuongezea maarifa ya misamiati kutoka nyaja tofauti tofauti. Lengo kuu ni kukomaaza ufahamu kwa lugha hii tukufu katika miktadha mbali mbali za kimaisha. Karibu sana na kiswahili kitukuzwe!
Gemini AI in swahili 18.12.2023 2:41
Google imewezakuvumbua aina mpya ya akili bandia yenye uwezo wajuu kuliko akili tarakilishi zingine duniani. Sikiza podcast hii ili ujijuze mengi. Asante
"Artificial Intelligence" Kwa kiswahili ni nini? 30.11.2023 4:32
Je, umepata kujua neno "artificial intelligence" kwa kiswahili ni nini? Sikilizi podcast hii ili ujifunze tafsiri tatu ya msamiati huu mpya. Astanteni
Kurushwa Kwa Starship Ya Pili 26.11.2023 3:23
Safari ya kurudi mwezini na kwenda kwenye sayari ya Mirihi iko karibu. Katika kipindi hiki, tutachunguza majaribio ya roketi zinazojengwa na kampuni ya SpaceX yenye nia ya kupeleka watu kwenye sayari zingine.
Vitate, visawe na vitawe 18.11.2023 2:46
Je, tofauti ya vitate, visawe na vitawe ni nini?
Je, neno 'empire' kwa kiswahili ni nini? 08.11.2023 2:57
Jielimishe zaidi kwenye podcast hii inayoikuuza na kufunza kiswahili
Je, tafsiri ya neno 'climate' kwa kiswahili ni nini? 01.11.2023 2:27
Sikiliza hii podcast ili iweze kujifunza tafsiri ya neno 'climate'. Asante
Je, neno 'browser' kwa kiswahili ni nini? 30.10.2023 2:30
Sikiza podcast hii ili uweze kujifunza tafsiri ya 'browser' na 'browse' kwa kiswahili.
Halmashauri ya Manispaa 27.10.2023 1:45
Je, neno 'Municipal Council' laitajwe kwa Kiswahili?
Mchakato 25.10.2023 1:48
Je, unajua 'process' kwa Kiswahili yaitwaje?
Umpembuzi Yakinifu 21.10.2023 2:32
Je, unajua neno 'feasibility study' kwa kiswahili yaitwaje?
Misamiati ya Matunda 31.03.2022 4:24
Je? Unajua tunda la 'apple' linaitwaje kwa Kiswahili? Sikiliza podcast hii ndio uwezekujua hio na mengine mengi
Misamiati ya madini 09.03.2022 5:56
Katika kipindi hiki tunakalimani misamiati ya madini kutoka lugha ya kingereza kuja kwa lungha ya Kiswahili. Asanteni
Kufanya Kiswahili ifane 11.11.2021 26:26
Jinsi ya kufanya Kiswahili iwe Lugha ya kupendeza na Mwalimu Augustine Thumbe
Kipindi cha Tatu 07.11.2021 20:37
Mjadala wa Nafasi ya Kiswahili Nchini Kenya na mgeni wetu maalum Mwalimu Augustine Thumbe.
Kipindi Cha Pili 01.11.2021 4:19
Nafasi ya kiswahili hapa Kenya na Ukanda wa Afrika Mashariki
Christianity in Africa 10.10.2021 18:10
Why Africa is so religious and it's effects on Africans
Kipindi cha kwanza 11.05.2021 2:00
Mazungumzo ya Kiswahili. Mada: Malezi ya kale na ya kisasa
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.