Kijiwe Nongwa

Kijiwe Nongwa.

Music SW ↓ 74 episodes

Podkasti inayoangazia yanayotokea katika muziki wa bongo fleva kila siku ya Jumanne.

Author

Kijiwe Nongwa

Category

Music

Podcast website

podcasters.spotify.com

Latest episode

Oct 29, 2024

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

KIJIWE NONGWA EP 56: RAYVANNY | BEBERU DECLARATION REVIEW | ZUCHU NA KENDRICK LAMAR. 05.12.2023

Karibu kwenye episode ya 56 ya KijiweNongwa na Leo tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Rayvanny na Conboi. Mazungumzo yetu yanaangazia pia album mpya ya Wakazi inayoitwa Beberu Declaration na tunamaliza mjadala na tamasha la MoveAfrica ambalo Kendrick Lamar atatumbuiza katika Jiji la Kigali Rwanda na hatakuwa peke yake Zuchu atakuwa nae,tunagusia Hilo pia. Karibu utusikilize.

KIJIWENONGWA EP 55: NYIMBO MPYA | VISIT BONGO REVIEW | SINGELI NA DJ MISOMISONDO. 28.11.2023

Karibu kwenye episode ya 55 ya KijiweNongwa na wiki hii tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Phina, Yammy, Country boy na Christian Bella. Tunaiangazia pia album ya Harmonize #VisitBongo na tunamalizia kwa kumuangalia #DjMisoMisondo na hali ya Singeli kwa Sasa. Karibu utusikilize.

KIJIWENONGWA EP 54: D-VOICE | SWAHILI KID | BIEN | TMA. 22.11.2023

Karibu kwenye episode ya 54 ya Kijiwe nongwa. Tumezungumza kuhusu Dvoice na kuingia kwake WCB, Album yake ya Swahili Kid. Ukali wa Bien kwenye album yake mpya ya Alusa Why Are You Topless na Kamati mpya ya uratibu kwenye Tanzania Music Awards (TMA). Bila kusahau #MtazamoKijiweni. Karibu utusikilize.

KIJIWE NONGWA EP 53: NYIMBO MPYA | MAJANI ALBUM | GRAMMIES. 14.11.2023

Karibu kwenye episode ya 53 ya KijiweNongwa na Leo tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Gnako na Diamond, Mimi Mars na Darassa na Barnaba. Tunazungumzia pia album ya PFunk Ya Majani, Kuna kitu kipya kisikilize kwenye Mtazamo na tunafunga na GRAMMIES nominations. Tusikilize hapa.

KIJIWE NONGWA EP 52: WAMEYATIMBA | HONEY | SAUTISOL HIATUS. 07.11.2023

Karibu sana kwenye episode ya 52 ya kijiwe nongwa tumeongelea kufungiwa kwa Whozu,Billnass na Mbosso, nini nafasi ya maadili kwa wasanii tukiangazia wimbo Zuchu. SautiSol pia wanachukua mapumziko baada ya miaka 20 ya kuwa pamoja kama band, nini maana yake na nini tukitarajie kutoka kwao? Karibu utusikilize.

KIJIWENONGWA EP 51: NYIMBO MPYA | BIEN | COLORSSHOW 31.10.2023

Karibu kwenye episode yetu ya 51. Tunazungumza nyimbo mpya kutoka kwa Zuchu, Bien na Nyashinski. Tunangazia pia show ya Rema kwenye Ballon D'or na Muziki wa Kenya na mahusiano yake na makampuni makubwa ya Kimataifa kama Spotify na Colors. Karibu utusikilize.

KIJIWENONGWA EP 50: MWAKA MMOJA | RAMADEE INFINITY EP | ALIKIBA | NYASHINSKI. 25.10.2023

Tunayo furaha sana kufikisha mwaka mmoja tangu tumeanza kufanya KijiweNongwa. Tunashukuru kwa kutusikiliza. Tumeichambua EP mpya ya RamaDee, Performance ya Alikiba kwenye AFL na NYASHINSKI kwenye Serengeti Festival. Tusikilize hapa.

KIJIWENONGWA EP 49: SHEM | CASTLELIGHT SUPERIOR SETS | SAUTI ZA BUSARA 2024. 17.10.2023

Karibu katika episode yetu ya 49, tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Ibraah,Marioo na Phina. Mazungumzo yetu yanaangazia pia Castlelight Superior Sets kwa ujumla pamoja na matamasha mengine ya muziki. Tunamaliza mjadala wetu na Sauti za Busara kwa mwaka 2024. Karibu utusikilize. Usisahau kusubscribe,kucomment na kutupa rating.

KIJIWENONGWA EP48: NYIMBO MPYA | BENPOL | MAVIN 10.10.2023

Karibu kwenye episode ya 48 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Tundaman, Mimi Mars, Mabantu na Darassa. Tumegusia ujio wa album ya BENPOL ya Flamingo na Mavin Record kuwa sokoni. Karibu utusikilize. Usisahau Kusubscribe ili upate episode zetu Kila zinapotoka.

KIJIWENONGWA EP47: NYIMBO MPYA | ABIGAIL CHAMS 5 EP UCHAMBUZI | PLANET BONGO 03.10.2023

Karibu kwenye episode ya 47 ya kijiwe nongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Rayvanny, Appy na Christian Bella. Abigail Chams ana EP mpya inayoitwa 5, tunaichambua na kutoa maoni kuihusu na mwisho tunamalizia na kuondoka kwa Dullah kutoka E.A Radio na pengo atakaloliacha. Karibu utusikilize.

KIJIWE NONGWA EP 46: NYIMBO MPYA | ZIIKI PRESS | MANDOJO NA DOMOKAYA 26.09.2023

Tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Dayoo, Barnaba, Killy, Kontawa na Jay Melody. Tunachambua pia press ya Regional Manager wa Ziiki Afrika Mashariki Bi Camilla Owora na BongoFleva Honours ya Mandojo na Domokaya. Tunamalizia na historia ya nyimbo ya Mambo Matano ya Lady JayDee. Karibu.

KIJIWE NONGWA EP 45. 25.09.2023

Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.

KIJIWE NONGWA EP 44. 25.09.2023

Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.

KIJIWE NONGWA EP 41. 25.09.2023

Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.

KIJIWENONGWA EP 40. 25.09.2023

Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.

KIJIWE NONGWA EP 38 25.09.2023

Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii.

KIJIWE NONGWA EP 37 25.09.2023

Yaliyotokea kwenye BongoFleva wiki hii

KIJIWE NONGWA EP 36. 25.09.2023

Yaliyotokea kwenye Bongo Fleva wiki hii

KIJIWE NONGWA EP 32 25.09.2023

Yaliyotokea kwenye bongo flea wiki hit

KIJIWE NONGWA EP 30: MAZUNGUMZO NA NIKKI MBISHI | SAUTISOL | ZUCHU VS WCB 09.06.2023

Karibu katika episode ya Leo ambayo tunazungumza na Nikki Mbishi kuhusuiana na KatibaMpyaAlbum pamoja na yaliyotokea katika muziki wiki hii. Tusikilize.

KIJIWE NONGWA EP 29: KUNUNUA MUZIKI | TIKTOK | BONGO FLEVA HONORS. 06.06.2023

Karibu kwenye episode yetu ya Leo,tunaizungumzia uuzwaji wa MUZIKI na nyimbo zenye mfumo.wa TikTok. Tusikilize hapa.

KIJIWE NONGWA EP 28: ON FIRE ALIKIBA | SAUTI SOL | NANDY 26.05.2023

Karibu utusikilize tukichambua mapya katika bongo fleva wiki hii ikiwemo nyimbo ya On fire ya Alikiba, utengano wa SautiSol na nyimbo mpya ya Nandy.

Kijiwe Nongwa Ep 27: TKYK DELUXE REVIEW MARIOO | RAYVANNY FLOWERS 3 REVIEW | BEI YA ALBUM BONGO 17.05.2023

Karibu kwenye episode ya 27 ya Kijiwe Nongwa, tumeiangalia Deluxe version ya The Kid You Know ya Marioo, Performance ya Marioo kwenye show yake. Tumeiangalia pia Ep ya Rayvanny Flowers 3 tukamalizia kuangalia Bei ya album kwenye soko la muziki Tanzania.

Kijiwe Nongwa Ep 26: MIKATABA YA WASANII | SINGLE AGAIN. 13.05.2023

Tunaangalia jinsi ambavyo mikataba ya wasanii wa kitanzania na penginepo inavyoumiza na kushangaza. Ujio wa pili wa Amapiano na jinsi Single Again ya Harmonize ilivyosambaa.

Kijiwe Nongwa Ep 25: TMA 2023 MAONI NA MAWAZO | FID Q 13.05.2023

Usiku wa Tuzo uliwadia na tulikuwa The Superdome kuushuhudia. Nini kilitokea wapi palikuwa sawia? Jiunge nasi tukizungumza kuhusu Tuzo za muziki Tanzania 2023.

Listen to the Kijiwe Nongwa. podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.