Kijiwe Nongwa
Kijiwe Nongwa.
Podkasti inayoangazia yanayotokea katika muziki wa bongo fleva kila siku ya Jumanne.
Author
Kijiwe Nongwa
Category
Podcast website
Latest episode
Oct 29, 2024
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
KIJIWE NONGWA EP 83: NYIMBO MPYA | LADY JAYDEE & ZUCHU | SONGWRITING 29.10.2024 43:55
Karibu katika episode yetu ya 83 ya KijiweNongwa. Tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Marioo, Harmonize na Nandy. Show ya #BongoFlevaHonors ya LadyJaydee, kulinganishwa na Zuchu na umuhimu wa waandishi wa nyimbo. Karibu kutusikiliza.
KIJIWE NONGWA EP 82: TMA RECAP | NIKKI MBISHI | BONGO RECORDS. 22.10.2024 51:02
Karibu kwenye episode ya 82 ya KijiweNongwa. Tunaomba radhi kwa kupotea kwa muda, tumerejea. Tunazungumzia usiku wa tuzo za #TMA2023 zaidi kwenye mabaya tuliyoyaona na wapi pa kijirekebisha. Tunazungumzia pia mradi mpya wa Nikki Mbishi, Spana za Unju, Video mpya ya Bosi ya Ferooz na Juma Nature kutoka Bongo Records. Tunamalizia na nyimbo tulizosikiliza. Tunatumai utafutahia kutusikiliza. Karibu.
KIJIWENONGWA EP 80 : TMA . 23.09.2024 1:18:21
Karibu kwenye episode yetu ya 80. Nyimbo mpya kutoka kwa Yammi na Mbosso bila kusahau ujio wa EP ya Alikiba.
KIJIWENONGWA EP 81: MPYA | NYASHINSKI | BONGO FLEVA 23.09.2024 1:08:24
Karibu kwenye episode yetu ya 81, tuko na Fredrick Mulla kuzungumza kuhusu muziki wa Kenya na pia sakata la NYASHINSKI na Cedo.
KIJIWE NONGWA EP 78: SIMBA & YANGA DAY | ASAKE "LUNGU BOY" | BEI YA SHOW. 06.08.2024 1:12:16
Karibu kwenye episode ya 78 ya KijiweNongwa, Leo tunazungumza kuhusu Show za Simba Day na Yanga. Tunaangazia Bei elekezi ya show na kasi ya wasanii wa Nigeria kutoa album kwa haraka. Karibu utusikilize.
KIJIWENONGWA EP 77: KOMASAVA RMX | DITTO | SOGGY 31.07.2024 1:18:43
Tunazungumzia Komasava Rmx pamoja na kesi ya Ditto na Soggy. Tusikilize.
KIJIWENONGWA EP 76: NYIMBO MPYA | BIEN | WASANII NA BONGO RECORDS. 25.07.2024 1:20:48
Karibu kwenye episode yetu ya 76 ya KijiweNongwa leo tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Rayvanny, Harmonize na Dizasta. Tunaicheki pia album ya BIEN Alusa Why are you topless (Deluxe). Kwa kumalizia tunaangazia Record labels na wasanii. Nini wajibu wa wasanii wetu kwa Record Labels hizi. Tuna imani utaifurahia episode hii.
KIJIWENONGWA EP 75: PHINA | JAYMELODY | REMA 16.07.2024 1:03:17
Karibu kwenye episode ya 75 ya KijiweNongwa. Leo tunazungumza kuhusu nyimbo mpya ya Phina #WeHuogopi, JayMelody na show yake pale Warehouse. Tunamalizia na mazungumzo kuhusu Rema na project yake mpya ya #Heis , muonekano wake na jinsi sanaa inavyochochea uhalisia. Karibu utusikilize.
KIJIWENONGWA EP 74: NYIMBO MPYA| MBUZI ALBUM REVIEW| BET 14.07.2024 52:17
Nyimbo mpya wiki hii, album mpya ya Young Lunya pamoja na kutoka patupu BET. Karibu utusikilize.
KIJIWENONGWA EP 73: NYIMBO MPYA | BADDEST 47 | REMIXES & SAMPLES 11.07.2024 49:41
Nyimbo mpya
KIJIWE NONGWA EP 72: NYIMBO MPYA | ROMA - NIPENI MAUA YANGU RMX | TMA 17.06.2024 1:08:45
Karibu kwenye episode ya 72 ya kijiwe nongwa.
KIJIWENONGWA EP 71: KIJIWE HURU. 14.06.2024 1:05:39
Karibu kwenye episode ya 71 ya Kijiwenongwa na Leo ni kijiwe HURU. Tumezungumza mambo kadha wa kadha na baadhi ya mashabiki wa #KijiweNongwa. Karibu utusikilize.
KIJIWENONGWA EP 70: NYIMBO MPYA | YOGO BEATZ | MUZIKI WA SAMIA. 13.06.2024 1:10:55
Karibu kwenye episode ya 70 ya KijiweNongwa na hapa tunazungumzia Album ya Harmonize,#MuzikiWaSamia. Nini maoni yako?
KIJIWE NONGWA EP 69: NYIMBO MPYA | MARIOO | BET AWARDS 28.05.2024 47:05
Karibu kwenye episode ya 69 ya kijiwe nongwa.
KIJIWENONGWA EP 68: NYIMBO MPYA | JAY MELODY THERAPY REVIEW | MOCASSIN YA JAYMOE. 19.05.2024 1:14:46
Karibu kwenye episode ya 68 ya KijiweNongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya ya JayMOE NA Country boy #Mocassin. Review ya album ya JayMelody Therapy na recap ya BongoFleva honors ya kwake AyMasta. Karibu utusikilize.
KIJIWE NONGWA EP 67: NYIMBO MPYA | HAKUNA MATATA | DULLAH CROWN FM 19.05.2024 1:12:22
Karibu kwenye episode yetu ya 67 ya KijiweNongwa, tunazungumzia nyimbo mpya, vionjo vya kiasili kwenye nyimbo mpya ya Marioo na Dullah na Lesa kwenda Crown Fm. Karibu utusikilize.
KIJIWE NONGWA EP 66: TMA | BONGO RECORDS & BOOM PLAY| TID | UTAMADUNI. 10.04.2024 1:22:54
Heri ya sikukuu ya Eid, karibu kwenye episode ya 66 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzi tuzo za muziki Tanzania, muziki wa Bongo records kutolewa Boomplay, Wali Nazi ya TID na QCHIEF na UTAMADUNI wa mtanzania katika muziki. Tusikilize.
KIJIWENONGWA EP 65: NYIMBO MPYA | CROWN FM | HIPHOP IMEKUFA. 16.03.2024 1:08:59
Alikiba amekuja na media house mpya na tunazungumzia Hilo kwa undani sana, Je, Hip hop imekufa kama anavyosema Moni?
KIJIWENONGWA EP 64: NYIMBO MPYA | ZUCHU | MAVIN X UMG | MAUA NA ALIKIBA. 15.03.2024 1:37:31
Kufungiwa kwa Zuchu na mkataba mpya kati ya Mavins na Universal Music Group. Vipi Maua na King Kiba?
KIJIWENONGWA EP 63: NYIMBO MPYA | DAH & MAPOZ | BONGO FLEVA 15.03.2024 37:17
Dah ya Nandy na Mapoz ya Simba zinafanya vizuri, huu ni mwelekeo mzuri kuirudia bongo Fleva?
KIJIWENONGWA EP 62: NYIMBO MPYA | BDP VS VANILLA | JOH MAKINI 13.03.2024 1:03:34
Mwamba wa kaskazini Leo anachuku headlines, lakini ni wewe peke yako unadhani Baraka De prince na Vanilla wanasound the same? Iko hapa.
KIJIWENONGWA EP 60: NYIMBO MPYA | WAKAZI VS ROMA | ZAYLISA. 26.01.2024 49:47
Karibu kwenye kipindi chetu Cha 60 kwenye episode yetu ya KijiweNongwa. Na wiki hii tunazungumzia Nyimbo mpya kutoka kwa Vanillah, Nandy pamoja na Mbosso Khan. Kwa ufupi sana tunazungumzia Album ya Dizasta Vina ya #AFatherFigure na kwanini Wakazi na Roma wanavutana saaana mitandaoni? Kumalizia kabisa ni nyimbo ya Dullah Makabila, Furahi. Hii ni ya Zaylisa kabisa. Tusikilize hapa
KIJIWE NONGWA EP 59: MWAKA MPYA | FLAMINGO EP REVIEW | RAYVANNY MAREMIX. 26.01.2024 56:44
Heri ya mwaka mpya na karibu katika episode yetu ya kwanza kabisa kwa mwaka 2024. Tunaanza kwa kuangalia nini kimetokea tukiwa mapumzikoni, EP mpya ya Ben Pol #Flamingo tunazungumzia hapa na zile tuhuma za Rayvanny ameisha anafanya MAREMIX tu, kuanzia kwa MisoMisondo mpaka kwa Dayoo #HuuMwaka? Zote tumechambua hapa. Karibu sana
KIJIWENONGWA EP 58: NYIMBO MPYA | LOUI NA LEGACY RECORDS | NYIMBO YA MWAKA. 19.12.2023 1:15:01
Karibu kwenye episode ya 58 ya KijiweNongwa ambayo pia ni episode yetu ya mwisho kwa mwaka 2023. Tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Whozu, Maua Sama, Stamina na K2ga. Tunaambaa zaidi na kujaribu kuelewa nini kinaendelea kati ya Loui na Label yake ya Legacy Records. Ipi ni nyimbo ya Mwaka? Tunazungumza kuhusu nyimbo kubwa mwaka huu na kuiteua moja kuwa nyimbo ya Mwaka. Nini tukitarajie 2024 kutok...
KIJIWENONGWA EP 57: NYIMBO MPYA | PROFESSOR JAY | ALBUM YA MWAKA. 12.12.2023 1:16:17
Karibu kwenye episode ya 57 ya Kijiwe nongwa, na Leo tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Rayvanny,Alikiba na Dizasta vina. Tunaiangazia pia EP ya Professor Jay Nusu Kuzimu Nusu Peponi na kumalizia na Album zetu Bora kwa mwaka 2023. Karibu utusikilize.
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.