RFI Kiswahili
Muziki Ijumaa
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026 12.06.2026 9:54
Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali
Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali 22.05.2026 10:02
Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow @billy bilali
Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu 08.05.2026 10:00
Ijumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia @billy bilali
Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka Kenya 13.03.2026 10:05
Wiki hii mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amekuandalia burudani murua, toka kwa wasanii kama vile Fally Ipupa, Acid Vokoz, Chella, Okello Max na Harmonize
Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati 09.01.2026 10:23
Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia. Wiki hii tunasafiri kimuziki kutoka Marekani, kupitia Karibiani, hadi Afrika Mashariki na Afrika ya Kati, tukifurahia nyimbo zenye ujumbe wa furaha, mapenzi, imani na utu. Safari yetu inaanza nchini Marekani kwa kibao “Celebration” cha kundi la...
Kenya : Muziki ndani ya rfi Kiswahili 24.12.2025 10:00
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa. Skiza makala ya jumaa hili.
Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali 13.12.2025 10:05
Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.
Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupenda 21.02.2025 10:03
Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa
Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali 27.12.2024 10:12
Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili
Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika 19.07.2024 10:02
Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.
Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa 28.06.2024 15:40
Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.
Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaa 07.06.2024 10:00
Muziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha
Muziki Ijumaa 27.04.2024 10:04
Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda 19.04.2024 10:40
Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.
Muziki Ijumaa ,Burudani kabambe 26.01.2024 10:05
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa na Florence Kiwuwa 22.12.2023 10:04
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka 18.11.2023 10:00
Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.
BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA 15.09.2023 10:03
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.