Amedeus D. Raphael
Amedeus Live Podcast
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo. Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mtazamo wa Mkristo,Mapitio ya Vitabu,
Author
Amedeus D. Raphael
Category
Podcast website
Latest episode
Apr 1, 2024
Where to listen?
Podcasts in the app Replaio Radio Coming soonPodcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts
Episodes
Washirika na Wasambazaji wa Uzima wa Kiungu 30.10.2020 11:05
Rhapsodi ya Uhakika, Oct 30, 2020. Wewe ni mbebaji wa halisia za milele. Unapotokezea, uzima hudhihirika. Unapowagusa wagonjwa na walioonewa, uzima wa ndani yako unahamishiwa na kuingizwa ndani yao, ukiwaletea utimilifu na ukamilifu. Ndio maana Yesu akatuamuru katika Mathayo 10:8, ”Ponyeni wagonjwa, watakaseni wakoma, wainueni wafu, na mkawatimue pepo.”
Zungumza Kwa Usahihi Na Uwe Na Maisha Makuu 29.10.2020 10:12
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 29, 2020. Mithali 18:21 inasema, “ Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake .” Utavuna mavuno ya mambo mema kupitia maneno yako. Maneno ni vitu; maneno ni nguvu ya uumbaji. Maisha yako leo ni matokeo ya maneno yako. Mithali 15:4 inasema, “Ulimi safi ni mti wa uzima….” Kama maneno yako ni mazuri, maisha yako yatakuwa makamilifu, bor...
Kuishi katika Mamlaka Yake 28.10.2020 10:30
Rhapsodi ya Uhakika, Oct 28, 2020. Waf 2:9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; Waf 2:10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; Waf 2:11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Wenye Dhamana Ya Ujumbe Uzaao Matunda 27.10.2020 10:23
Rhapsodi ya Uhakika, Oct 27, 2020. Kuishi bila Kristo ni kuishi pasipo Mungu; katika hukumu. Hii ndio maana unalazimika kuwa na bidii katika roho, ukiihubiri Injili (Warumi 12:11). Umetumwa kuipeleka nuru ya Injili kwa wale wenaoishi gizani (Matendo 13:7). Kwa hiyo, usiizuilie; usiwe mwenye kughairi. Kuwa na uthubutu na utambue kuwa wewe ni mwenye dhamana ya ujumbe wenye kuzaa matunda.
Yeye Anamfadhili Mvuna Nafsi 26.10.2020 10:11
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 26, 2020 Baadhi ya watu wameutoa muda na mali zao katika kuhakikisha kuwa Injili inafika katika kila taifa la duniani. Wanafanya mambo makubwa katika kuiendeleza ajenda ya Mungu, wakiufidia upungufu na kutoweza kwa wengine. Wanatoa fedha nyingi sana katika kuisukuma Injili; na kadri watoavyo, ndivyo Bwana aelekezavyo zaidi rasilimali katika njia yao ili wakafanikishe mamb...
Kudhihirisha Maisha Ya Kristo Ndani Yako 24.10.2020 9:12
Rhapsodi ya Uhakika, Oct 24, 2020. Ukristo ni udhihirisho wa nje wa utendaji kazi wa Neno la Mungu ndani roho ya mwanadamu. Kama Mkristo, wewe ndiwe taswira ya Kristo, kila hatua unayoichukua inapaswa kuwa ni udhihirisho wa uzima wa Kiungu ndani yako. Hivyo ndivyo namna Yesu alivyoishi pale Alipokuwa akienenda katika dunia. Alikuwa ni udhihirisho wa Mungu; udhihirisho wa maisha ya Kiungu
Fikiria Unyakuo Katika Mawazo Yako 24.10.2020 10:22
Rhapsodi ya Uhakika Unyakuo wa Kanisa u karibu kuliko wakati wowote. Tu katika nyakati za hitimisho au mwishoni mwa “nyakati za ishara” kabla kutokea kwa Bwana. Ni muhimu kwamba ukawe tayari kwa ajili Yake. 1 Wathesalonike 4:16-17 inasema “wafu katika Kristo” watainuka kwanza, na wale walio hai na wamebaki watanyakuliwa pamoja nao ili kumlaki Bwana angani.
Sababu Tatu Za Msingi Za Kwanini Uvune Nafsi 23.10.2020 10:20
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 23, 2020. Kuna sababu tatu za msingi za kwanini unalazimika kuihubiri Injili na kuvuna nafsi kama Mkristo. Kwanza ni imani yako katika Bwana Yesu na Injili Yake tukufu. Sababu ya pili ni upendo wako Kwake na tumaini la kurejea Kwake hivi punde. Sababu ya tatu ni maagizo Yake kwetu ya kuvuna nafsi. Sababu hizi tatu zikusukume kuvuna nafsi.
Yesu Ndiye Mungu Mwenyewe 22.10.2020 12:25
Rhapsodi ya Uhakika: Oct 22, 2020 Yesu ni Mungu katika mwili wa binadamu, lakini watu hawakujua. Yeye ni Adonai, Yaani Bwana, Mungu! Ndiye aliyemwambia Musa, “Baba zako, Ibrahimu, Isaka na Yakobo walinijua kama, Mungu Mwenyezi (mweza wa yote), lakini mimi ni Yehova” (Kutoka 6:3). Yehova ni Yahweh. Na kama haujawahi kuzaliwa mara ya pili, kama bado haujamfanya Yesu kuwa Bwana wa maisha yako, iseme...
Mjue Kama Bwana 21.10.2020 10:13
Rhapsodi ya Uhakika: Oct 21, 2020. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba (Wafilipi 2:9-11).
Yesu ni Udhihirisho wa Taswira ya Mungu 20.10.2020 12:07
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 20, 2020 Mpenzi Bwana Yesu, utukufu, heshima na ukuu wote ni Wako. Wewe ni Mfalme wa utukufu, furaha ya mbinguni, na nyota ing’aayo ya asubuhi! Wewe ni udhihirisho wa utukufu wa Mungu, uzuri wa Uungu, na taswira kamilifu ya Nafsi ya Baba. Ninakuabudu na kukuheshimu Mwokozi wa thamani, kwa maana hayupo wa kufanana na Wewe! Ufalme Wako na ukatawale nchini, na kusimama daima...
JIgundue Ndani Yake 19.10.2020 9:40
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 19, 2020. Ukristo si kuhusiana na kukazana kuingia uweponi mwa Mungu; Ukristo ni kubeba uwepo wa Mungu. Wewe ni hema Yake ya ushuhuda iishiyo. Unapofika popote, uwepo wa Mungu hufika! Wewe ndiwe “uwepo.” Haleluya!
Wewe Unaimiliki Dunia 18.10.2020 10:13
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 18, 2020. 1Co 3:21 Basi, mtu ye yote na asijisifie wanadamu. Kwa maana vyote ni vyenu; 1Co 3:22 kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu; 1Co 3:23 nanyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.
Lifuate Neno wala Sio Akili Zako 17.10.2020 10:14
Rom 8:7 Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii. Rom 8:8 Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu. Rom 8:9 Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.
Jijue Wewe ni Nani na Ishi sawasawa na Asili yako 16.10.2020 8:58
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 16, 2020. Jas 1:22 Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. Jas 1:23 Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, mtu huyo ni kama mtu anayejiangalia uso wake katika kioo. Jas 1:24 Maana hujiangalia, kisha huenda zake, mara akasahau jinsi alivyo. Jas 1:25 Lakini aliyeitazama sheria...
Uzao wa Upendo 15.10.2020 10:22
Upendo huvumila kwa kitambo kirefu na una subira pamoja na fadhili; upendo kamwe hauhusudu wala kutokota kwa wivu, haujivuni wala hautakabari, haujidhihirishi kwa majivuno (1 Wakorintho 13:4 toleo la “AMPC”).
Jina lake lina Mamlaka Yote 14.10.2020 10:22
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 14, 2020. Matendo 3:16 Na kwa imani katika jina lake, jina lake limemtia nguvu mtu huyu mnayemwona na kumjua; na imani ile iliyo kwake yeye imempatia huyu uzima huu mkamilifu mbele yenu ninyi nyote. Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhu...
Yesu ni Neno Lililojivika Mwili 13.10.2020 10:06
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 13, 2020. Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika (Yohana 1:1-3). Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani...
Chukua Nafasi yako kama Mfalme-Kuhani 12.10.2020 11:42
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 12, 2020 Ghasia hazitasikika tena katika nchi yako, wala ukiwa au uharibifu ndani ya mipaka yako, bali utaziita kuta zako Wokovu na malango yako Sifa (Isaya 60:18 tolea la “AMPC”). Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia...
Muunganiko wetu na Baba - ROR Oct 11, 2020 11.10.2020 10:23
Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye (1 Wakorintho 6:17).
Tamka Na Umba Kile Unachokitaka 09.10.2020 10:31
Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri (Waebrania11:3).
Ni Kuhusiana Na Asili Yako Ya Kiungu 09.10.2020 9:22
Rhapsodi ya Uhakika - Oct 9. “…kwa maana nalitoka kwa Mungu, nami nimekuja; wala sikuja kwa nafsi yangu, bali yeye ndiye aliyenituma.” Kwa matokeo ya muunganiko huu, Alisema, “Na yote aliyo nayo Baba ni yangu…” (Yohana 16:15).
Sisi tu watu wa Namna Yake - ROR Oct 8, 2020 08.10.2020 9:54
2Co 6:16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na...
Dumisha Hamasa yako kwa ajili ya Injili - ROR Oct 7, 2020 08.10.2020 9:59
Rom 12:11 kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana; Kuwa mwenye bidii na hamasa katika kazi ya injili. Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote. Neno ni jip...
Unakila kitu unachokihitaji 06.10.2020 11:24
ROR Oct 6, 2020. Baada ya mambo hayo neno la Bwana likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, MIMI NI NGAO YAKO, NA THAWABU YAKO KUBWA SANA Mwanzo 15:1 > Mungu ni urithi wako, fungu lako, Ngao yako, tambua hili na tembea katika maarifa ya kweli hii. Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina a...
Similar podcasts
Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.