Amedeus D. Raphael

Amedeus Live Podcast

Religion SW ↓ 244 episodes

Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo. Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mtazamo wa Mkristo,Mapitio ya Vitabu,

Author

Amedeus D. Raphael

Category

Religion

Podcast website

amedeuslive.blogspot.com

Latest episode

Apr 1, 2024

Where to listen?

Podcasts in the app Replaio Radio Coming soon

Podcasts are coming to the app soon. Install now and be the first to see a whole new take on podcasts

Get it on Google Play Install for free Android 5M+ downloads · 4.8 rating iOS soon

Episodes

Rhapdosi ya Uhakika - Oktoba 2020 01.10.2020

Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome.  Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2200 duniani na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote.  Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.  http://distribution.rhapsodyofrealities.org/dept/?team=center1 ...

Rhapdosi ya Uhakika - September 2020 01.09.2020

Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome.  Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2000 dunia na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote.  Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.  http://distribution.rhapsodyofrealities.org/dept/?team=center1

Rhapdosi ya Uhakika - August 2020 01.08.2020

Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome.  Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2000 dunia na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote.  Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.  http://distribution.rhapsodyofrealities.org/dept/?team=center1

Rhapdosi ya Uhakika - Julai 2020 01.07.2020

Kitabu cha kila siku, chenye neno la kila siku, kina andikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome.  Kinapatikana kwenye lugha zaidi ya 2000 dunia na kina sababisha shuhuda njema na bora kwa mia ya mamilioni ya watu ulimwenguni kote.  Neno ni jipya kila siku na unaweza kubofya link hapo chini kupata nakala yako leo hii.  http://distribution.rhapsodyofrealities.org/dept/?team=center1

Rhapsodi ya Uhakika - June 2020 01.06.2020

Kitabu kinachotoka kila mwezi chenye neno la kila siku.  Kitabu kimendikwa na Mchungaji Chris Oyahkilome na Kimesomwa na Ndg. Amedeus Deogratius.  Utajifunza mengi yapasayo maisha ya ushindi, afya bora, ustawi, upendo, haki, imani na namna bora ya kumwabudu Mungu katika roho na kweli. 

Unabii - Elewa Nguvu inayotawala Mustakhabali wa Maisha Yako 20.05.2020

Kitabu kimeandikwa na Mch. Chris Oyakhilome na Kimefanyiwa mapitio kwa njia ya Sauti na Amedeus D.R.  Kimegawanyika katika sura 8 na kinaanza na Utangulizi unaitwa watu wa Unabii.  Utangulizi - Watu wa Unabiii Utabiri na Kutamka Kabla ya Jambo kutukia. Bonde la Mifupa Mikavu Nyinyi Ndinyi Miungu Wewe ni Nabii wa Maisha Yako Ongoza Mkondo wa Maisha yako kwa Kinywa Chako Nini unapaswa kufa...

Rhapsodi ya Uhakika - May 2020 01.05.2020

Pata wasaa wa kusikiliza neno la Mungu kila siku kupitia kitabu cha Rhapsodi ya Uhakika, chenye neno la kila siku.  Kitabu hiki kina andikwa na Mchungaji Chris Oyahkilome na kinasomwa kwenu na Mtumishi Amedeus Deogratius.

Rhapsodi ya Uhakika April ,2020 - "Mwezi wa Maombi" 01.04.2020

Pata Nakala mbalimbali za mwezi wa nne kama: Kuomba kwa ajili ya Nafsi Zilizopotea - April 1

Rhapsodi ya Uhakika March 2020 "Mwezi wa Maarifa" 03.03.2020

Sikiliza neno la Mungu lilojaa maarifa, hekima na ujuzi juu ya aina ya maisha ya kiungu ambayo Mungu amekukirimia. Zipo Episode 31 kwa ajili ya kuboresha maisha yako na kukuleta katika urithi wako ndani ya Kristo. Mungu akubariki Sana.

Rhapsodi ya Uhakika - Feb. 2020 "Mwezi wa Nyimbo" 28.02.2020

Sikiliza nakala mbalimbali za rhapsodi ya Uhakika kwa lugha ya kiswahili, kitabu kinachotoka kila mwezi na chenye neno la kila siku. Mojawapo Yale utakayosikia mwezi huu ni pamoja na Yesu Ni Adonai, Pokea, simama wima na imara, waongoze wengine katika wokovu n.k. kitabu hiki kinaandikwa na mtumishi wa Mungu MCH. Chris Oyakhilome, PhD.

Tabia za Mkristo katika Maisha ya Kila Siku 22.09.2019

Amri mpya ni Ipi? Maungamo yako ya Kila siku ni yapi? Namna ya kutatua mafarakano au ugomvi katika maisha.  Jifunze namna ya kutakasa mawazo na fikra zako. Nyanja tano kuu katika maisha za kuishi na kudhihirisha Utawala uliopewa ndani ya Kristo.  . 

Kanuni za Mafanikio 21.09.2019

Je, mtazamo wa Mungu ni nini kuhusu Mafanikio? Fahamu kusudi la Mungu kuhusu Mafanikio.  Kanuni za Mafanikio sawa sawa na Neno la Mungu. Fungi la Kumi, Limbuko la Kwanza, Matoleo ya Hiari, Matoleo ya Mbegu (Mbegu ya Imani). Biblia inasemaje kuhusu swala la Kufanya kazi na kutokuwa tegemezi. 

Tumia Kinywa Chako Vyema 29.08.2019

Kinywa chako kinatoa dira ya maisha. Uzima na mauti vipo kwenye Nguvu ya Kinywa, kwa hiyo zungumza uzima, afya, ushindi, mafanikio na yote yanayofanana na haya na wala sio mengineyo.

Fanya Nguvu Ipatikane 28.08.2019

Unaweza kuathiri ulimwengu wako kwa namna kubwa sana kupitia maombi yako. Maombi ya mwenye haki yafaa sana akiomba kwa bidiii.

Noeli (Krismasi) ni Kristo Ndani Yako. 27.08.2019

Alikuja ili iwezekane kwetu sisi kupokea fursa kufanyika kuwa wana wa Mungu. Kristo ndani yangu ni Tumaini la Utukufu.

Likubali Pendo Lake 27.08.2019

Ni kuhusiana na Pendo lake na sababu ya Kristo Kuja kuzaliwa hapa duniani. Jifunze kuhusu Pendo la kimiminika la Kristo.

Kristo Pasaka Wetu 22.08.2019

Sikiliza somo hili na upate kujua maana halisi ya neno pasaka na umuhimu wake kwenye maisha yako ya kila siku.  Biblia inasema utaijua kweli na kweli itakuweka huru. Sikiliza Kweli hii nayo itakuweka huru. #Mti wa Uzima

Alituleta katika Ushirika 22.08.2019

Dhumuni kubwa zaidi lilomfanya Yesu aje duniani ni  ili kutuleta katika ushirika na Baba, katika umoja na Mungu.   Alikuja ili atulete katika daraja moja na Mungu.

Amedeus Live 21.08.2019

Jukwaa sahihi kwa ajili yako wewe na familia yako, ndugu, jamaa na marafiki. Jumuika nasi kila siku kujifunza neno la Mungu, kupitia rhapsodi ya Uhakika matoleo ya rika zote, fanya ukiri wa Imani kila mara na shiriki katika ibada za maombi na maombezi kwa ajili ya familia, miji,na mataifa ya ulimwengu. Hii ni podcast Yako.

Listen to the Amedeus Live Podcast podcast in Replaio

Radio and podcasts in one app - free, with no sign-up. Install today and do not miss the launch

Get it on Google Play

Replaio is not a podcast publisher; show names, artwork and audio belong to their authors and are distributed through public RSS feeds.